mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Zuchu na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa kike

    Leo ilikiwa baby shawer ya Zuchu baada ya jana kuachia picha akiwa mjamzito. Leo wameonesha kiwa tumboni kwa Zuchu kuna baby girl
  2. JamiiForums Tanzania IGP Wambura Azindua Call Centre Ya Dawati La Jinsia Na Ulinzi Wa Mtoto

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, leo Julai 31, 2026, amezindua rasmi Call Centre ya Dawati la Jinsia na Ulinzi wa Mtoto wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa Dawati hilo uliofanyika mkoani Dodoma. Call Centre hiyo imeanzishwa ili kuboresha upokeaji na ushughulikiaji wa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto Wa GSM Wa Katoro Alipata Zaidi Ya Billion 1.4 Ndani ya Muda Mfupi Kama Zawadi kwenye Send off Yake Lakini CHADEMA wanahenyeka hadi leo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika CHADEMA Imechokwa na watanzania,Imekatalika kwa watu,Imepuuzwa na wananchi ,Imesuswa na wote wenye akili Timamu na wenye kujitambua . CHADEMA Imepoteza Ushawishi kwa Makundi yote . Hakuna kundi wala rika wala Eneo utasema ndiko CHADEMA inakubalika ama ngome...
  4. JamiiForums Tanzania Jifunze Taratibu za Kuasili Mtoto (Podcast)

    Pata elimu juu taratibu za kuasili mtoto nchini Tanzania (Child Adoption), 👶🏽sikiliza MAELEZO PODCASTS 🎙️Tunapatikana katika audio channel zote 📌 https://open.spotify.com/episode/6KZNCZnEwTcFxgCQNR0hM0?si=2BlFR_VgT2inuUbeL6U4zw&utm_source=copy-link
  5. JamiiForums Tanzania Video mtoto mdogo akipigana na mama yake, wazi chapa kavukavu

    NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko. Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana. Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake...
  6. JamiiForums Tanzania Kama una mtoto chini ya miaka 18 sikilizeni hapa ndio nchi inapoelekea

    Kama ujawahi kufika nchi za watu uwezi kufahamu. Hapa kwetu tunekarabisha wasiojulikana ambao ni serikali. Kwa nchi za wenzetu utekaji wa watoto ni mkubwa sana.Wengi uchukuliwa kwenda kuuzwa kutumikishwa kingono,uuzaji wa viungo na n.k. Ukiangalia wenzetu walivyo makini na watoto wao sio...
  7. JamiiForums Tanzania Picha ya dada aliyeiba mtoto Chanika sasa yawekwa wazi, atakayemuona atoe taarifa

    Unamkumbuka huyu mtoto? Aliibiwa katika hospitali ya NguvuKazi huko Chanika tarehe 06/07/2026. Mama yake alimuomba dada mmoja aliyevaa kama daktari/Muuguzi amsaidie kumshika ili aingie msalani. Alipotoka hakumuona na alipotoa taarifa kwa uongozi wa hospitali walisema hawamtambui. Baada ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza Bana: Kumbe Hamisa Mobetto ni mtoto wa Mwanza halafu hamsemi mmekaa kimya?

    Hivi hapa Tanzania kwa sasa kuna mwanamke ana fuatwa na wana wake wa Tanzania kama Hamisa Mobetto? Kuna mwanamke ana nyota Kali ya kupendwa kama Hamisa Mobetto? Nilikuwa sijui bana kumbe Hadi Wikipedia inamtambua Hamisa Mobetto kama mtoto wa Mwanza. Halafu watu wa Mwanza mmeuchuna hamuitumii...
  9. JamiiForums Tanzania 90% ya ukilaza wa mtoto chanzo ni wazazi

    Kuna wazazi wengi wanalalamika watoto hawana akili,ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba wazazi wa mtoto wote ni sufuri kwa kila kitu wanachojua ni kubanduana tu. Huwa nawasisitiza wanafunzi wangu kufanya machaguo sahihi kwa wenza wao kwa tutazama kila kitu hasa thinking capacity,kuna viumbe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni. Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
  11. JamiiForums Tanzania Njama za kumuua mtoto wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu zagunduliwa

    Njama za Hezbollah kumuua mtoto wa Benjamin Netanyahu zagundulika na wahusika kukamatwa Namshukuru Mungu kwa mashirika ya ujasusi yaliyosimamisha njama hii dhidi ya mwana wa Waziri Mkuu wa Israeli. Kamati ya mawaziri ya Israeli kuhusu masuala ya Shin Bet imeidhinisha ulinzi ulioongezwa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Trauma ya Mtoto: Karatasi Iliyofinyangwa

    Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa. What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy. Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa, Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Mtoto wa kike ukiulizwa na Mwanaume anaekutaka hili swali "Niambie kuhusu wewe" huwa mnajibu nini?

    Kwangu mimi hili swali huwa linanitatanisha sana. Huwa nashindwa nianzie wapi kujibu hili swali. Kwa sababu inakuwaga kama tuko kwenye Interview ya Kazi. Au huwa wanamaanisha nini? Ni wanataka kujua kuhusu nini? Nashindwa kuelewa.
  14. JamiiForums Tanzania Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Sinza Mapambano tunaoishi karibu na Mama Wema Sepetu tunasumbuliwa na kelele za muziki nyakati za usiku

    Habari wana jamvi, Sisi wakazi wa Sinza Mapambano, wanaoishi jirani na nyumbani kwa mama mzazi wa Wema Sepetu, tunapitia changamoto kubwa kutokana na kelele za muziki unaopigwa usiku kucha katika sherehe inayofanyika eneo hilo. Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo, Wema Sepetu amefanya sherehe ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ya leo kali Mtoto BBL kanitembelea kaniacha na uchovu balaa, nilimiss sana za Kiafrika Jotroo

    Hatari sana leo Nimetembelewa na mtoto heavy ndo mambo yangu Lakin tunamalizia niende viwanja Kwanza tuka swim , tukapunga upepo kwa pool , sasa hivi nimpeleke maeneo, Maana ni mgeni, nauli nimempa mimi kutoka Dubai hadi hapa maana anaishi Dubai Mimi Raha hizi Jamani
  17. JamiiForums Tanzania Leo nipoe zangu na mtoto wa Uingereza kupata Royal salute whisky

    Mtoto kaingia 18 zangu Kasema leo nakutoa out wewe wala usiingie mfukoni nafika nkuta wameleta Royal salute whisky haha ni 800$ babeki Acha tule life Hatari
  18. JamiiForums Tanzania Kwa watalam wa tiba asilia. Je mtoto wa miaka 2 anaweza kutumia kitunguu swaumu?

    Habari wakuu. Jez mtoto wa miaka 2 anaweza akatumia kitunguu swaum kumeza?? Nataka nianze utaratibu wa mtoto wangu awe anameza nusu punje ya kitunguu swaum asubuhi kabla ya kula chochote. BabaVladimir [USER=227987]BIN NUN @At el
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto mwenye uwaraza

    Hivi hili tatizo la mtoto kua na ulalavi(kugalagala kitandani) ni ugonjwa,au ni tabia ya kurithi mana sasa anaenda mwaka wa 5(yaani anatimiza miaka 5)lakini habadiliki bado nifanye nini Mimi ili abadilike. Mwanzo akati mchanga nilijua akikua kua atabadilika lakini ndo kwanza anazidisha...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mtaka anabishana na mtoto pendwa atapona kweli?

    Makonda ni mtoto pendwa maybe kuliko wote ukiondoa Wanu. Sasa Mtaka si akubali yaishe, atapona Ukuu wake wa mkoa? Pia soma: Ni kweli Makonda Ndo ameamua kuchagua rais wa kamati ya Olympic Tanzania?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…