mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo nimetambulishwa kwa mashemeji zangu, ghafla wakaanza kuimba "Mtoto kautaka", maana yake nini?

    Biharusi mtarajiwa: Money Penny njoo Money penny: nimefika mama nini mbaya Biharusi mtarajiwa: nimetambulishwa leo kwa mashemeji zangu wa kiume kwa mara ya kwanza Money penny: enhe Biharusi mtarajiwa: baada ya utambulisho wakaanza kupiga makofi, wakaanza kuimba "Uyo mtotooooooo, uyo...
  2. JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi yamshikilia Jaina Mchomvu kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Miaka 12 kisha kuficha mwili wake uvunguni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikiria Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa kwa Mrombo katika Halmashauri ya Jijini la Arusha aliyekutwa ameuawa huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu...
  3. JamiiForums Tanzania Unatafuta msaidizi wa nyumbani? Kwa Million 100 jipatie Optimus Robot kutoka kwa Elon Musk

    Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia humanoids robots zake zinazoitwa Optimus. Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza kufanya chochote unachotaka. Akazidisha akasema “Optimus ni biggest product ever katika human kind” na...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tumeachana lakini mwanamke hataki tulee mtoto pamoja; baadaye anataka aseme katelekezewa mtoto na hicho kitu mimi sikitaki

    Habari zenu wakuu, Kuna jambo moja nataka kushare na nyie, nilikuwa katika mahusiano na mwanamke mmoja tukafanikiwa kupata mtoto mmoja tuishi pamoja toka 2021 tumekuja kutengana mwezi wa sita mwaka huu na sababu iliyofanya kutengana ni mke wangu kuanza kubadilika, ana kiburi kupita kiasi...
  5. JamiiForums Tanzania Ni Nature Mwanaume anapenda na anafurahi kufanana na Mtoto wake

    NI NATURE MWANAUME ANAPENDA NA ANAFURAHI KUFANANA NA MTOTO WAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hili Wala siô Siri ingawaje wàpo wachache watapinga lakini ukweli utabaki ukweli Siku zote Wanaume hufurahi Sana na Kupenda pale àmbapo Mtoto aliyemzaa anapofanana na kuelekeana naye Kwa kiasi...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kweli nyoka hawezi kumng'ata mtoto, mama mjamzito au anayenyonyesha?

    Wanasema nyoka hawezi kuwang'ata hao watu wenye mahitaji maalumu na ikitokea amewang'ata basi kuna namna kuna ukweli wowote hapa Ipi sababu inayopelekea wasing'atwe na nyoka hasa kwa mtoto maana muda mwingine unaweza kuta anacheza nae na asimng'ate
  7. JamiiForums Tanzania Majibu ya wife baada ya kumwambia nina mtoto nje

    Sina mtoto, nilikuwa nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikuwa sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana. Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu vyote tunavyomiliki tubadili jina la umiliki, weka jina langu (lake). Nyumba, viwanja 3 (viwili vina...
  8. JamiiForums Tanzania Singlemom kurudi kwa ex na asiye na mtoto kurudi kwa ex tatizo nini hapa wakuu

    Japo mi binafsi nadhani inasababishwa na kuingia kwenye mahusiano bila upendo....kuingia kwenye mahusiano kusitirika na siyo upendo ..... Maoni yenu tafadhali...maana mapenzi yamepoteza maana sikuhizi...🚮
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa shule nzuri ya boarding kwa mtoto wa kike

    Habari, kama kichwa cha habari. Msaada wa shule nzuri kwa mtoto wa kike boarding O level. Nataman sana za kikatoliki kwa anaejua. Pia na connection naomba tafadhali. Asante.
  10. JamiiForums Tanzania Lebron James and Bronny James Wameweka Historia NBA; Baba na Mtoto Kucheza pamoja

    LeBron James and Bronny James made NBA history by becoming the first father-son duo to play together on the same team during the Los Angeles Lakers' pre-season game against the Phoenix Suns. Bronny, on his 20th birthday, entered the court during the second quarter in a 118-114 defeat to the...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu

    Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko. Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu mtoto very natural, huchoki kumsikiliza!

    Hawa jamaa waliomrekodi huyu mtoto ingekuwa wanalipwa, wamepiga bingo. Mtoto anaongea kwa lafidhi yake nafikiri kibena au kihehe kwafudhi ya kufurahisha na kuchekesha. Na hapo alipo mtoto haigizi. Na wanaomuigiza mtandaoni sasa wamekuwa wengi sana. Nimempenda huyu mtoto
  13. JamiiForums Tanzania Mwanangu wa drs la 2 nimemuuliza methali ya mtoto akililia wembe amenijibu mtoto kautaka..

    Yaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwangalia na jamii hii ilivyo kazi ipo... Taifa la kesho linabalaa sana.
  14. JamiiForums Tanzania Video: Alia kama mtoto baada ya kugundua mke wake bado ana mahusiano na mzazi mwenzie

    Sikio la kufa...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Eliud (Medical), shujaa iliyeokoa mtoto toka kwa mama aliyefariki

    Nikiwa na mradi wa kujenga hospital huko Kilosa, mkoani morogoro, miaka kadhaa nyuma, nilipata kusikia taarifa hii ikizangazaa maeneo ya wodi ya wazazi, kuwa shujaa Daktari aliyeitwa ELIUD, kamuokoa mtoto asife baada ya mama yake aliyekuwa mjamzito KUKATA ROHO, ndani ya sekunde kadhaa vipimo...
  16. JamiiForums Tanzania Siielewi hii kampeni: Mtoto wa leo ni Samia wa Kesho

    Kuna kampeni ya Leo imezinduliwa mkoani Tanga na Naibu Waziri Mkuu Mh Dotto Biteko inayoitwa Mtoto wa Leo ni Samiah wa Kesho. Hii Kampeni nimeshindwa kuuelewa kusudi lake. Je ni kweli kwamba kila mtoto wa Leo atakuwa Samiah wa Kesho?. Je, ni kweli kila mtoto anataka kuwa Kama Samiah? Je wawe...
  17. JamiiForums Tanzania Unajisifu una hela lakini umetelekeza mtoto

    📖Mhadhara wa 25: Mwanaume unaanzaje kukimbia majukumu ya kulea mtoto au watoto wako. Mwanaume rijali aliyekamilika hakimbii majukumu ya kulea damu yake, anaweza kumkimbia mwanamke aliyezaa nae lakini kamwe hakimbii jukumu la kumlea mtoto. Iwapo mwanaume rijali atamkimbia mwanamke aliyezaa nae...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 7 kamili ameharisha mara 13, dawa akipewa anaicheua

    Habar wakuu msaada wenu wa mawazo binti yangu ana miezi saba kamili sasa. Awali ya yote tangu ijumaa kaanza kuugua malaria akapewa doze ya mseto, sasa tangu alfajiri ya leo kaanza kuharisha na na tumbo kulisikia kama linatoa sauti. Kaharisha mara 13 tangu alfajiri. Asubuh tukachukua jukumu...
  19. JamiiForums Tanzania Siku nilipowashugulisha raia mtaani kwangu nilipokuwa mtoto

    Hii siku haitokaa niisahau abadan! Ilikuwa ni baada ya kushiba chakula changu cha mchana hapo home,huku nikifanya michezo ya hapa na pale. Ghafla nikakutana na kiberiti cha gesi nikakifuata na kukichukua. Ile zima washa zima washa ikanivutia nikaamua kwenda nacho mtaani. Kulikuwa na open...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

    Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale Nitumie mbinu gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…