Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,047
- 5,595
Jeshi la Polisi mkoa wa Kusini Unguja linamshikilia Maulid Hassan Maulid (18) kwa kosa la mauaji ya mtoto wa miaka 6, ambaye alibakwa hadi kufa akiwa njiani akienda shuleni.
Wavaa kobazi wanaongoza kwa ufedhuli huu
Ushenzi tuAkili za nyege mbaya.
Ukiendekeza matamanio lazima ujikute umefanya vitu vya hovyo, ni jambo la kikatili mnooUshenzi tu
Nyege gani mpk unaua mtt. Hawa wengi wanakuwa wavuta bangi na wanaojidunga sindano. Mambo yao ukatili ukatili tu
Minor pono + Jani haviwahi acha mtu salamaUkiendekeza matamanio lazima ujikute umefanya vitu vya hovyo, ni jambo la kikatili mnoo
Wale mapandre wa Ufaranss na S. America nao wanavaa makobazi?Wavaa kobazi wanaongoza kwa ufedhuli huu
Hivi ni kweli mtume Fulani na ndevu zake alikuwa na mke chini ya umri wa miaka kumi ??Jeshi la Polisi mkoa wa Kusini Unguja linamshikilia Maulid Hassan Maulid (18) kwa kosa la mauaji ya mtoto wa miaka 6, ambaye alibakwa hadi kufa akiwa njiani akienda shuleni.