mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mwenye miaka 18 matatani kwa tuhuma za kujifungua na kumtupa mtoto chooni

    Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linaendelea kufanya uchunguzi wa kina kuhusu tukio linalomhusisha mwanafunzi wa kidato cha nne, Julitha Saimon (18) siyo jina lake sahihi, kutoka Shule ya Sekondari Nkasi, ambaye alijifungua na kisha kumtupa mtoto chooni. Akizungumzia tukio hilo leo Jumatano Aprili...
  2. JamiiForums Tanzania Inafurahisha saana kuona jamii ilivyobadilisha mtazamo kuhusu watoto wa nje. Well done.

    Sasa hivi utaratibu ni njoo na wawili nilete wawili kisha tuongeze mmoja maisha yaendelee. Weekend baba yupo kwa baby mama na mama yupo kwa baby daddy wanaita kucooparent. Role model wao ni Chibu. Well done...ili kuwa ni suala la muda. Wewe uliye pata watoto kabla ya kuoa/kuolewa watoto ni...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima ahimiza Serikali za Mitaa kuimarisha ulinzi na usalama kwa mtoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali za mitaa ni kitovu cha utekelezaji wa mikakati ya ulinzi na usalama wa mtoto iwapo jamii itatoa taarifa kwa wakati kuhusu changamoto za kifamilia ambazo ni tishio kwa ustawi wa watoto Ili wataalamu wa ustawi wa jamii kwenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona Salama Jabir haolewi na hana Mtoto

    Naona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
  5. JamiiForums Tanzania Mke amejifungua mtoto wa kichina

    MKE WANGU AMEJIFUNGUA MTOTO WA KICHINA NA SISI WOTE NI WA AFRIKA TENA WEUSI. Kaka habari yako ndugu yangu, mimi umenikuta msala tena mzitoo, msala wa aibuuu kaka nimevuliwa nguo!!!! Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka sasa, yani ndoa yetu ina mwaka mmoja...... sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Familia ya Neema aliyedai badilishiwa mtoto yakataa kata kata kupokea mwili wa Marehemu kuzika, Yadai yule si mtoto wao

    Familia ya NEEMA inaendelea kusisitiza, Nurse Kwa mara ya Kwanza alimletea NEEMA mtoto akiwa kwenye Kanga nyingine ( Hapa Mtoto anaweza kua alikua ndie ila tu Kanga zilichanganywa). Baada ya NEEMA kuhoji Kanga si zake, mtoto huyu Ndani ya kanga zisizo za NEEMA, akarudishwa Kwa Mzazi mwingine...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye Watoto Watatu halafu Wote ni Wezi na hawana mbele wala Nyuma na Mwanaume asiye na Mtoto kabisa Kwako Wewe nani hapa mwenye Afadhali?

    Na katika huu Uzi najikita tu zaidi Kusoma Maoni / Majibu yenu kwa huu Ubishani nimeukuta mahala na ninauleta Kwenu.
  8. JamiiForums Tanzania Video ya binti akivuta sigara

    Katika siku kadhaa kumekuwa na video ikimuonesha binti mdogo mwenye miaka inayokadiriwa kuwa kati ya 12 mpaka 14 akifika duka moja na kuwasha sigara kisha kuivuta. Ni video fupi ambayo imesambaa kwa kasi sana, Facebook, Tiktok na hapa X (Twitter). Kwa baadhi ya watu inaweza kuwa ni video...
  9. JamiiForums Tanzania Kama hauwezi kumlea huyo mtoto mpeleke kwa baba yake sio unasumbua watu

    Ni ngumu kuwaelewa wanawake weusi wa kibongo . MTU anazaa Ila inapofika hatua ya malezi anaanza sumbua watu kuhusu matunzo wakati aliyemzalisha yupo Anakula bata .
  10. JamiiForums Tanzania Chatgpt ni the best Deepseek bado cha mtoto sana.

    Nimejaribu kukaa kupiga stories na hawa jamaa kwa kuuliza swali lile lile kwa kila mtu. Chatgpt Ana taarifa nyingi sana Ana kiswahili kimenyooka sana Ana kupa nafasi ya kutaka kujua zaidi Deepseek Taarifa yake haiwi imeshiba sana Kiswahili si kizuri makosa mengi hata kwenye kuandika tu spelling...
  11. JamiiForums Tanzania Selemani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kisa kumlawiti mtoto wake wa kumzaa

    Mahakama ya Mkoa wa Lindi, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Selemani Hussen Nyuka, mwenye umri wa miaka (32) baada ya kupatikana na hatia ya kwanza ya kumlawiti mtoto wake wa kumzaa na kosa la pili ni kuzini na maharimu (kwa maana ya kutembea na ndugu wa damu). Nyuka ambaye ni mkazi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Deo Mushi ashinda vita dhidi ya tajiri mtoto wa Ndesamburo uporaji shamba la shule ya msingi Wereni,apewa siku 14 kusalimisha hati feki

    DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
  13. JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye umri wa miaka 5 auawa kwa kuchinjwa Kimara

    Mtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam. Video: ITV Digital
  14. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yamsimamisha kazi Muuguzi aliyemhudumia Bi Neema ili kupisha uchunguzi wa sakata hilo

    Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru mnamo Machi 24, 2025. Taarifa ya leo Aprili 02 2025...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ghadhabu nchini Somalia baada ya mwanamume kukiri kuwa alioa mtoto wa miaka minane

    Kuna hisisa za Ghadhabu nchini Somalia baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane, ambaye alikuwa ametoweka kwa miezi sita, kupatikana akiishi na mwanamume aliyesema kuwa ni mumewe. Msichana huyo aliripotiwa kutoweka na familia yake katika eneo lililojitangazia uhuru wake la Puntland...
  16. JamiiForums Tanzania Mtoto mdogo mwenye Pesa Nyingi...

    Jamaa alianzia mbali sana aisee Whatever anafanya kutafuta hela nampa Heko Hapa nadhani ni miaka 50 iliyopita na alikua anaitwa Atulokole Mwajilala😅😅😅 Kwa sasa kamanda kajipata karudi ujanani na anaitwa Chief GodLove😂😂
  17. JamiiForums Tanzania Picha ya Chris Benoit baada ya kufanya mauaji ya Mke na mtoto wake

    Aliyekuwa nyota wa WWE Marehemu Chris Benoit anaonekana akipiga picha kwa ajili ya shabiki katika ofisi ya Dk Phil Astin mnamo Juni 22, 2007, kwa kuitazama watu walidhani ni vile Benoit ni mcheshi na anapenda sana mashabiki zake. Ila ajabu ni kuwa baadaye ilijulikana wakati anapiga picha hii...
  18. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtoto Mchanga Anayekadiriwa Kuwa Na Umri Wa Miezi Mitano amekutwa ametupwa kwenye Mtaro Barabara Ya Veta Ilomba

    Mtoto Mchanga Anayekadiriwa Kuwa Na Umri Wa Miezi Mitano na Sita Amekutwa Ametupwa Kwenye Mtaro Wa Kupitisha Maji Katika Barabara Ya Veta Kata Ya Ilomba Jijini Mbeya. Wakizungumza Kwa Masikitiko Makubwa Wananchi Wa Kata Hiyo Wamesema Wameumizwa, Na Kulaani Kitendo Hicho Kilichofanywa Na...
  19. JamiiForums Tanzania Nshukutu Mungu mtoto wangusio shabiki wa Yanga,kuna vijana wa ovyo sana Yanga

    Wakati CAF inapanga droo ya CAFCL ba CAFCC walijazana mitaa ya Twiga na jangwani siku nzima uyafikiri hawana shughuli. Mara tena wamejaxana ofisi za BMT kwenye kikao cha serikali na bodi ya ligi,TFF,simba na yanga. Unajiuliza hawa vijana wana akili kwelli Mshukuru Mungu kamamwanao sio shabiki...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi huyu mtoto wa Museveni dishi lake limeyumba nini?

    Huyu Kaneirugaba naona kama vile hazijamkaa sawa kichwani! https://youtu.be/geBJ2Qb-ytM?si=W_d1_OSATPupROkp
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…