mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Mtoto sio mali ya mzazi bali mzazi ni daraja tu la uhai.

    WAZAZI "PARENTS =PAIR RENT Katika ulimwengu mzazi ni yule aliyemleta mtoto duniani – mama na baba Hiyo ni tafsiri ya kijamii na kibiolojia. Lakini katika ulimwengu wa kiroho na hekima ya ndani, jukumu la mzazi lina maana pana zaidi inayogusa roho na asili ya uhai. Uumbaji wa maisha unahitaji...
  2. walitola

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi minne kukosa choo

    Habari za muda huu wakuu! Wataalam wa mambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mtoto wangu ana umri wa miezi minne, amekuwa akipata tatizo la kutopata choo kwa wakati. Anaweza akakaa hata wiki moja na zaidi ndio akapata choo na mara nyingi mpaka umbusti na dawa ambayo ni mafuta ya samaki...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kutahiri mtoto mchanga

    Mtoto atahiriwe at least at age 4 na kuendelea. Sio chini ya hapo Aliye upande wa kushoto ni David Reimer, na upande wa kulia ni Brenda Reimer — wote wawili ni mtu mmoja. Mwaka 1966, baada ya tohara iliyofanyika utotoni kwenda vibaya sana, madaktari walishauri kwamba David afanyiwe upasuaji wa...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania What names sound " Too Old" For a baby? ( Jina gani linaonekana la kizee sana kwa mtoto)?

    Naanza la kwanza 👇👇👇 1.Mussa 2..... 1000..
  5. haszu

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwenzio ni wa mwenzio tu, ukimlea usitegemee kurudishiwa fadhila

    Ni watoto wachache hukumbuka wale waliowalea na kurudi nyuma, wengi wakishakua huanza kutafuta wazazi wao au wale wanaodhani ni ndugu zao sasa, na ni bora aishie kutokukukumbuka tu, wengine huanza kutangaza ubaya kua alikua anateswa. Mnakua kwenye familia, ni wengi, wazazi hawachagui na pengine...
  6. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Je nani ata cheza na Mtoto huyu?

    The boy with all the toys but no one to play with. the boy is waiting for anyone to mention his name He is like ooh God please let anyone throw anything to us. I mean no malice to nobody
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Muhamad alioa mke wa aliyekuwa mtoto wake baada ya kuwafarakanisha na mumewe

    Zayd bin Harithah ni nani? Alikuwa mtumwa aliyepewa Mtume Muhammad, ambaye alikombolewa na kupendwa kama mwana. Mtume Muhammad alimchukua kama mwana wa kufikia (adopted son) na watu walimuita "Zayd bin Muhammad" kwa muda. Lakini baadaye Mtume alikataza kuita watoto wa kufikia kwa majina ya...
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania Love you by Wyclef Jean & Eve, ilivyomuinua mtoto nakuanza kulisakata!

    Ilikuwa ni siku ya mimi na yeye, tukiwa ndani tukirabahuka kwa muziki na pombe kwa mahaba na huba, kwenye playlist yangu nikawa nimetupia huo wimbo!.. Nikaona mwenzangu kanyanyuka mikono juujuu kama mateka!, punde namuona anaanza kucheza kwa madaha!, kiuno kikipelekwa kushoto na kulia huku...
  9. aka2030

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Amina Chifupa na Mpakanjia hana makuu

    Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaa
  10. CONSISTENCY

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mtoto mdogo nilitamani kuwa mtu uzima, ila sasa natamani kuwa mtoto mdogo!!

    So confused......!!!!! Is this true to everyone......????
  11. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Huu ni utukutu wa kawaida wa mtoto au kuna mengine

    Ni mtoto wa jamaa yangu. Huyu kijana ana miaka 12 tu ila amemtoa jasho jembamba jamaa yangu . Mtoto alianza kwa kukataa shule akienda shuleni anaishia kujificha anakuwa hafiki. Alipogundulika kuwa hafiki shule akatoroka nyumbani. Ameishi kwa kujificha ficha huko mitaani huku akitafutwa takribani...
  12. bahati93

    JamiiForums Tanzania Inatosha sasa, huyu Mtoto wa mwisho anadeka sana

    Kwanza Muumba kawadekeza sana, licha ya wao kuwa watukutu haswa, kumkosea mara kadhaa lakini bado aliwakingia kifua na kuwarudishia miaka na mali zao zilizoliwa na nzige. Hapa alaumiwe aliye juu. Pili, baba yao Jacob alikuwa anashinda jikoni na mama yake, kazi aliyokuwa anaijua ni kudeka deka...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Seven Kipara ashikiliwa kwa tuhuma za kukodi Watu wamuue mama yake mzazi, risasi yafyatuliwa yamjeruhi Mtoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtuhumiwa Seven Kipara [38] mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama na wenzake za kumuua mama yao mzazi na kumjeruhi kwa risasi mtoto aitwaye Sinzo Jifwalo mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Kijiji cha Ipwizi. Ni kwamba mnamo Juni 13, 2025 saa 6:05...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya Babu na Bibi kuwa "wapole sana" kwa Wajukuu zao kuliko walivyokuwa kwangu Mtoto wako ni nini?

    Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu Sielewi aiseee hii Softness wameitoa wapi maana walivyonilea miye ilikuwa ni mchakamchaka mno na hata sasa na Utu Uzima huu kuna...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika 2025: Mipango na Bajeti kwa ajili ya Haki za Watoto: Maendeleo Tangu Mwaka 2010

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora. Kaulimbiu ya kila mwaka hutoa fursa ya kutafakari na kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha...
  16. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Iran ni mtoto wa kambo na Israel ni junior

    Hii vita ukiweka mambo ya udini na kushirikisha akili Kwa undani utagundua mambo mengi ambayo yanampa aueni Israel na wakati mgumu Iran katika kushambuliana na kubwa zaidi ni hili. Ukiangalia jiografia ya haya mataifa mawili utapata jibu kuwa ISRAEL kupitia msaada kutoka Kwa washirika wake hasa...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ni ramani ambayo hata mtoto mdogo anajua Iran hakuna mahala anakwenda

  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ben Pol abarikiwa mtoto, aweka picha hizi mtandaoni

    Staa wa Bongo Fleva, Ben Pol, amefurahia baraka mpya maishani mwake baada ya kubarikiwa mtoto. Msanii huyo ame-share furaha yake na mashabiki kwa ku-post picha mtandaoni, akionyesha upendo wake kwa malaika huyo.
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Katika kosa ambalo hutakiwi kufanya kama Baba ni Kuogopa Mtoto wako Kupewa Sumu na Mwanamke. Toto jingajinga Fukuza. Usibabaishwe wapuuzi wasiokutii

    KATIKA KOSA AMBALO HUTAKIWI KUFANYA KAMA BABA NI KUOGOPA MTOTO WAKO KUPEWA SUMU NA MWANAMKE. TOTO JINGAJINGA FUKUZA. USIBABAISHWE WAPUUZI WASIOKUTII Anaandika, Robert Heriel Mtibeli! Wewe ni Mwanaume, sasa ni Baba. Usiwe dhaifu kiasi cha kufanya vitu ili kutafuta validation kuwa wewe ni...
  20. Ed edd n eddy

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko Kutoka kwa Mzazi wa Mtoto wa Darasa la Nne - Shule ya Victoria, Makumbusho

    Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na maswali mengi ambayo hayana majibu. Kwanza kabisa, tunatambua na kuthamini juhudi za serikali yetu...
Back
Top Bottom