mtindo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huu mtindo wa wana jogging kufanya mazoezi kwenye barabara umekuwa kelo sana.

    Habari wana familia wa JF, Aisee leo kuna tukio moja nimeliona asubuhi ya leo nikiwa naenda kwenye mishe mishe zangu umenikwaza sana. Kuna jamaa mmoja alikuwa ana drive, yule jamaa alikuwa mbele yangu. Mbele ya yule jamaa kulikuwa nakikundi kama cha watu 80 hivi watu wa jogging. Mbele ya icho...
  2. KWA MTINDO HUU HEZBOLLAH INABIDI WAJITAFAKARI VIZURI.

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon katika mahojiano na waandishi wa habari: "Tuliweka wazi kuwa msaada na ujenzi mpya utakuja mara tu silaha zote nchini Lebanon zitakapokuwa mikononi mwa serikali." Kimsingi anasema kwamba ujenzi upya wa kusini mwa Lebanon na Dahiya utaanza tu baada ya Hezbollah...
  3. Kwa mtindo huu wa ushindani wa biashara hatuwezi.

    Sasa kama ndio hivi mnafanya si mtashindwa na wachina biashara.
  4. CHANGAMOTO ZA KIUHASIBU NA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYA BIASHARA KWA MTINDO WA KUAGIZISHA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

    Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
  5. Serikali mnaonaje mkiweka kodi za kuagiza magari ziwe kama mtindo huu

    Gari za mwaka 1 hadi 3 = 7 million Gari za mwaka 4 hadi 6= 6 million Gari za miaka 7 hadi 9 = 5 million Gari za mwaka 10 hadi 12 = 4 million Garia za miaka 13 hadi 15 = 3 million Hairuhusiwi kununua gari iliotengenezwa zaidi ya miaka 15. NOTE: Kutokana na kupungua kwa kodi, Idadi ya Watu...
  6. Wataalamu wote tukutane hapa kujadili na kushare source code za MQ4 na MQ5 ili kukabiliana na mtindo wa masoko

    Wale mtakao pendelea kujadiliana na kutoa mawazo katika masoko ya forex na jinsi ya kukabiliana nayo upande wa kutengeneza code za Expert,Indicator,Library na n.k karibuni. Uchambuzi wa masoko ni uwanja mpana wa kupeana ujanja wa kuboresha au kubuni kukabiliana na masoko. Hizi ni moja software...
  7. Natafuta suruali zenye Mtindo huu

    Habarini wakuu! Nimekuwa mpenzi wa suruali za aina ya american jeans/cadet Naomba mwenye kufahamu zinauzwa wapi anisaidie Sehemu nilipokua nanunua mwenye duka alifunga biashara.
  8. Huu mtindo wa CCM wa kuwapa madaraka ya juu wazee wastaafu waliochoka ndio utamaduni wao!

    Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM. Hizi...
  9. R

    Huu ni mtindo wa kuunganisha kenchi kutumia vyuma kama hawa mafundi huko Zimbabwe unatumika sana hapa?

    Hawa ni mafundi wanatayarisha kenchi kwa kutumia "truss plates" huko Zimbabwe kijijini.
  10. Familia Takatifu: Mtindo wa Kiroho wa Kimungu katika Janga la Kivunjiko cha Familia za Kisasa na Mfano wa Maisha ya Kimungu Katika uhalisia

    👉🏾Katika ulimwengu wa leo, ambapo familia nyingi zinapitia majaribu makubwa ya kijamii na kiuchumi, ni vigumu kuzipata familia zinazoonyesha umoja, upendo, na utakatifu wa kweli. Hata hivyo, Familia Takatifu Yesu, Maria, na Yosefu ,inaendelea kuwa kivuli cha matumaini, ikitufundisha kuwa familia...
  11. Mabadiliko ya mtindo wa maisha wa vijana;Je, vijana wa Leo wanaishi vipi tofauti na vijana wa miaka 20-30 iliyopita?

    Habari wakuu, kama namna mjadala unavyojieleza ni mabadiliko yapi ya mtindo wa maisha wa vijana wa sasa yapo tofauti na vijana wa miaka 20 -30 iliyopita? Hasa kwa kuzingatia; Lifestyle ya ''hustle culture '' - Je, vijana wanavutiwa na maisha ya ''hustle''[kujibidiisha kufanya kazi nyingi kwa...
  12. Imani-Potofu ya Kwamba ‘Wasiwasi Ndo Akili’ ni Kiinimacho tu: Uchambuzi wa Kiutafiti kwa Kaulimbiu ya Kataa-Ndoa na Nyinginezo za Mtindo Huo

    Katika dunia ya leo, wasiwasi na mashaka mara nyingi huchanganywa na akili au hekima. Watu wengi wanaamini kuwa kuwatilia mashaka wengine, kuepuka kujitolea, na kukataa mahusiano yanayohitaji uaminifu – kama ndoa – ni ishara za kuwa na akili nyingi au “uwezo wa kuyajua maisha.” Makala hii...
  13. Simon Msuva ashangilia kwa mtindo wa Baltasar Engonga baada ya kuifungia Taifa Stars

    Hii nayo ameona isimpite 😂🤗 Simon Msuva amefunga bao la kuiweka Tanzania mbele dhidi ya Ethiopia na anajiunga na mtindo wa kushangilia wa Baltasar Engonga, kigogo wa zamani wa mambo ya fedha wa Guinea ya Ikweta aliyekumbwa na kashfa ya ngono. Soma: Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa...
  14. M

    Huu mtindo wa Vijana wa Sasa Kutumia Uzee kukashifu watu , Nini shida

    Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana hasa Hawa wa 2000, kinachonisikitisha ni namna vijana Hawa wanavyopromote na kupotray kuwa mtu kuwa Mzee ni kitu kibaya, tabia hii mostly imeanzia Kwa wasanii mfano, 1. Kuna msanii anaitwa Abby chams , alimrefer TID kama yule mbabu mwenye kipara Hana...
  15. Mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba sasa hivi hapa Mjini?

    Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
  16. M

    Wenye familia changa, mabachelor na wenye kupenda mtindo huu wa maisha hii plan inafaa kiasi

    As umri unaenda na miaka yangu 38, nimejikuta napenda sana private life, weekend, likizo na siku nyingine za kazi ambazo. Huwa nahisi mjini Pana boa napenda sana kwenda shambani nikikaa naona ng'ombe, mara nikamate bata nimchinje nione parachichi zimestawi najikuta stress za mjini...
  17. T

    Je unatafuta Furniture na mionekano inayolingana na Mtindo wa Nyumba au ofisi Yako?!

    Habari za leo! Ikiwa umewahi kufikiria jinsi nyumba yako inaweza kuwa na muonekano wa kipekee na kuvutia, Afro Eco Wood Designs ndiyo jibu unalotafuta. Tunatoa huduma ya kudesign furniture na muonekano wa maeneo ya nyumba na biashara kwa kutumia mbao , ambapo tunachukua mawazo yako na...
  18. Mtindo wa ma DC, RC na Mawaziri kusema OCD mchukue huyo wanapozidiwa hoja na wananchi ni wa kitoto sana

    Kuna matindo wa kitoto, woga, kibabe na kijinga sana sasa hivi unafanywa na ma DC, RC na Mawaziri wakati wakiongea na wananchi wanapozidiwa hoja au wanapotaka wananchi waogope utasikia wanawasukumizia wananchi wanaotoa hoja kwa ma OCD kama mbinu ya kuwanyamazisha. Hii tabia inajenga hofu kwa...
  19. SoC04 Magonjwa ya mtindo wa maisha yanaweza kushindwa

    Maisha ni ya thamani kubwa sana. Hata hivyo maisha huambatana na changamoto moja kubwa. Watu hupata maisha(kuzaliwa) wakati wakiwa hawayahitaji na wala hawajui thamani yake, na huyapoteza wakati yakiwa ndiyo kitu cha pekee wanachokihitaji. Kuna watu waliouza kila kitu, wakakimbilia hospitali...
  20. Dunia inaendeshwa kwa mtindo wa siri kwa jina la 4D

    Siri ya dunia ni kubwa yenye kikundi kidogo au watawala waliopo duniani na nyuma yao kwa ajili ya kuendesha dunia. Nimeona nilete mada hii ili mjiulize kwa ufupi sana kuhusu maisha yenu na vizazi vyenu kwenye mijadala mingi mnayozuka nayo hapa JF. 4D ni jina lenye maana nyingi ila kwa mada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…