Za mda huu wakuu.
Nimepata changamoto hapa kazini kuna duka tunauza magodoro na mimi nimekuja hapa sio mda mrefu mana ni la familia,sasa changamoto ni kuhusu wateja kununua godoro baada ya muda wanakuja wanasema wanataka kurudisha eti kisa linabonyea sana katikati,sasa nachotaka kujua na...