GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,876
Mmiliki wa Jengo hilo ( aliyewapangisha Wahanga wa Moto Mkubwa uliotokea ) ni Mzee Mwamba, ila anayekisimamia kwa sasa ni Mkewe Profesa Mwamba wa Chuo Kikuu fulani ambaye pia ni Rafiki wa Karibu mno na Mtanzania Muhimu ambaye hivi Karibuni tu amemfanya kuwa ni Mmoja wa Washauri wake Wakuu na kumpa Wadhifa fulani.
GENTAMYCINE niendelee Kuwapongeza Wabunge wa nchini Uganda kwa kuja na Muswada Maalum kuwa Watu wenye Mapenzi ya Jinsia Moja ( hasa Wanaume ) waitwao Mashoga wawe Wanafungwa Maisha au Wananyongwa kabisa.
Huwezi kufanya Jambo Baya au Kuyachafua Maandiko ya Mwenyezi Mungu halafu Laana yake isikupate na asikushushia Mabalaa makubwa ili kukupa Ujumbe kuwa unachokifanya ni kibaya japo unajifanya ni Mcha Mungu hasa.
Na Mtanzania Muhimu sana anawalinda wenye Chuo / Taasisi kwakuwa ni Yeye ndiyo amewakaribisha nchini halafu ni Mwenzao Kiimani na anakula nao kwani Taasisi hiyo iko nyuma ya Tajiri fulani Umoja wa Falme za Kiarabu ambaye yuko mbioni kuja Kuwekeza nchini Tanzania hasa katika Mkoa wa Dar es Salaam na kwamba tayari ameshajipatia maeneo mengi ( Ardhi ) nchini ili aendelee na Miradi yake huku akieneza Michezo michafu kwa Vijana na Wanaume wa Dini yao.