Mwaka 2023 kama sio 2024 niliweka uzi hapa unaohusu upweke na kujitenga sana kwa upande wange,basi kuna dada mmoja akanifuata pm,tukawa tunachati baadae tukawa tunawasilia kwa whatssap,yeye ni mwalimu ndio alikuwa ameripoti huko RUVUMA,ni mchaga na ana dada yake hapa dar,anawatoto 2 wote wa baba...