Habari za leo waungwana. Natafuta router ndogo ya mtandao wa Halotel au Universal router. Ninapatikana Mwanza. Kwa maelezo zaidi na bei tuwasiliane 0623304519.
Leo asee nimekaa pekeyangu wakati nimejawa na ukimya binafsi na baada ya shughuli ya kila siku nikapatwa na wazo "iv wenzangu kupitia simu zao huwa wanajitengenezea kipato kwa namna gani au wao ni kushinda online badae unafunga data huna ata mia".
Nikawaza upande wangu daah! Kwel ukitumia akil...
Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kwayo ni jambo lingine, hiki ndicho kilichomkuta aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambaye si mara yake ya kwanza.
Taarifa ya kuondolewa kwa Nape katika...
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka Duniani kwa sasa, Kwamba Mtanzania huyo Mzalendo na mwenye uthubutu, Bwana Kumbusho Dawson, ameifungulia kesi Serikali ya Tanzania Pamoja na Mamlaka za mawasiliano kwa jambo lile la kishamba la mwaka 2020 ili Mahakama ichukue hatua na itamke kwamba jambo kama...
Salamu wakuu...................
Jazeni nafasi wazi apo juu Kwanzaa. 😂😂😂
Anyway, straight to the point 👉 Kama kichwa kinavojieleza je, wewe uliufahamuje mtandao huu
Binafsi nilikuwa kila nikisearch vitu kwa lugha ya kiswahili kwenye google nikawa naletewa matokeo ya mada hizo yashajadiliwa...
Mtandao wa kijamii Threads hauna faida kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta ina haja ya kuufunga
Idadi ya watumiaji wa mtandao huu inazidi kupungua kwa kasi kwasababu mwanzo walidhani ni mtandao wenye faida zaidi ya zile zinazopatikana X
Ifuatayo ni mitandao ya kijamii (social...
Uku niliko mitandao mingine imekuwa tabu sana ninafanya mawasiliano network inakuwa chini mno
Isipokuwa halotel sasa juzi nimesajili haloteli na kiufupi iko vizuri. Lakn kuna mdau akanambia ningesajili laini ya chuo coz ina ofa kabambe mf: yeye hupewa 3000Tsh kila mwanzo wa mwezi. Je hii ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa.
Leo...
Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua huogopa kuchukuliwa hatua na viongozi wa ngazi ya mtaa na vijiji
Habari ndugu zangu, Nimejaribu kushinda sana twitter sasa X siku ya leo.
Huwa naona sana matangazo ya siasa au biashara.
Tukae haswa kwenye siasa. Baada ya kufatilia maongezi mengi, na kubadirishana mawazo kupitia comments.
Kwanza naona mtandaoni siku za sikuhizi wamejaa sana vijana wa makamo...
Japo hatua hiyo inaweza kuwa imetokana na sababu nyingine, ukweli kwamba imetokea katika kipindi hiki cha vuguvugu kubwa kuishinikiza serikali iifungie X/Twitter unweza kuyumkinisha kuwa hizi ni dalili za awali za mtandao huo wa kijamii kufungiwa.
Hata hivyo, wakati viongozi mbalimbali wakuu wa...
Habari wakuu,
Poleni kwa majukumu.
Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata AVN kwa wale wa Diploma wanao apply mkopo HESLB.
Nimeshafanya usajili NACTE, ila kila nikijaribu kuendelea na hatua inayofuata ya kupata CONTROL NUMBER nakwama.
Sasa najiuliza ni swala la mfumo ndio haujakaa sawa au mtandao...
Wakenya wengi waripoti shida ya kuweza kutumia mtandao wa X pamoja na TikTok.
Hii ni baada ya mitandao hii kutumika zaidi kupanga harakati za maandamano na kuhamasishana kuunga mkono maandamano hayo.
Ndio, unaweza kutengeneza pesa kupitia uandishi mtandaoni. Kuna njia kadhaa ambazo unaweza kutumia kufanya hivyo:
1. Blogu: Unaweza kuanzisha blogu yako na kuchapisha maudhui kuhusu mada zinazokuvutia au zinazohusiana na ujuzi wako. Unaweza kupata pesa kupitia matangazo ya Google AdSense...
Kijiji cha Songambele ni kijiji kilichopo nje kidogo na mji mkuu wa nchi. Wananchi wa kijiji hiki wamekua wakijihusisha na shughuli za kilimo na ufugaji ili kuweza kujikwamua na wimbi la umaskini Kwan imekuwa ni gumzo hali hii ilipelekea vijana wengi kushindwa kuendelea na masomo kutokana na...
Pasipo kupepesa macho, airtel ni moja ya mtandao ambao matapeli kila itwayo leo huutumia kutuma sms za kila aina, mpaka muda huu sijajua tatizo ni nini??
Natumia mtandao wa tigo pia, kwakweli nisiwe mnafiki nakaa mpaka miezi 6 yaan huwezi kuona sms yeyote ya kitapeli, sijui tuma kule, mimi...
Mtandao wa X haupaswi kufungiwa kama Watanzania wanavyodai hii ni kwasababu zifuatazo
1:Mtandao wa X unatumia teknolojia ya Algorithm inamaana kwamba mtumiaji hawezi kuona maudhui ambayo hayafuati yeye au hayatazami au kuyatafuta yeye ndani ya mtandao huu ndio maana yapo makampuni, taasisi na...
UTANGULIZI
Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii:
Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
haki
huduma
ict
katika
kidijitali
kuimarisha
kutunga
matumizi
mtandao
sekta
sera
serikali
sheria
tanzania
tanzania tuitakayo
tehama
tuitakayo
tunahitaji
usalama
uwezo
uzalishaji
viwandani
watumiaji
Hapa JUZI tulisikia kiongozi mmoja aliingia kwenye tuhuma na kashfa za kulawiti mwanafunzi wa CHUO
Lakini UVCCM hawakujitikeza na kulaani jambo Hilo.
Tukasikia tena Mtoto kapotea na ghafla mwili wake umeokotwa ukiwa baadhi ya viungo vya mwili vimenyofolewa Cha ajabu UVCCM hawakujitokeza hata...
Mpaka hivi sasa watu wengi wanatumia vifaa mbalimbali vya sayansi na teknolojia katika kufanya shughuli zao.
Ukuaji wa sayansi na teknolojia umekuwa hivi sasa kulinganisha na miaka kadhaa iliyopita. Uwekezaji katika matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia utaleta matokeo chanya kwani dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.