Wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 2024, JamiiAfrica kupitia Jukwaa lake la Uthibitishaji na Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck iliongoza juhudi za kudhibiti upotoshaji wa taarifa kwa kutoa elimu ya uhakiki na kuwashirikisha wananchi moja kwa moja katika kuchambua na kuthibitisha...
Inatosha, nadhani hawa wanakuharibia historia yako ya baada ya kutoka madarakani. Inatosha. Fungua kila kitu...Lisu, X, na mengine mengi yaliyowekwa kwenye mikono ya shetani.
Hakuna madhara kwako wakipost wanachotaka kupost. Ni mambo ya kupita katika siasa
Hayapendezi
Hata nyie mmeshaona hamuwezi kuishi bila twita, rais anatumia, taasisi za serikali zinatumia, viongozi wanatumia. Sasa mnafungia ili iweje? Me naona kama hii Tanzania kweli huko mbinguni ni channel ya vichekesho!
Baada Ya Kutia Nia Salim Kikeke Ameanza Kupitia Spana Kwenye Mtandao Wa Twitter.
Kwenye Moja Kati ya Chapisho Lake Ameandika Kuwa ........................
Sometimes change has to be fought from within. Albert Einstein once said “Doing the same thing over and over again and expecting different...
Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter.
Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense...
Tangu mtandao wa X kufungiwa, imekuwa ni shida sana kupata habari za muhimu kutoka Duniani.
Msaada kwa anayejua namna ya kupata access ya mtandao huo kwa sasa.
Ahsante.
Ukiingia kwenye page za twitter (X) unakuta viongozi wakubwa kabisa wanapost vitu kibao tu . Sasa je , inamaana na wao wanalazimika kutumia VPN ku access twitter ?
Kama malengo nikuifungia Twitter isitumike bongo , mbona wao bado wanendelea kupost?
Naomba msaada wa kimawazo
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGIWA KWA MTANDAO WA X (ZAMANI TWITTER)
Dar es Salaam, 4 Juni 2025
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesikitiswa na kinalaani vikali uamuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kuzuia upatikanaji wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter)...
Hivi kuna uwezekano serikali ikaufungia mtandao wa 'X' (Twitter), lakini bado viongozi wake wakawa wanaendelea kuutumia kwa ku post na kufiatilia taarifa mbalimbali ikiwemo kuendelea kufanya online engagements?
Kabla ya kuufungia huo mtandao kuna taarifa yoyote rasmi serikali iliitoa kwa...
Napata shida kidogo hapa. Kuendelea kutopatikana kwa mtandao wa X Nchini si sawa kabisa na kukubali hila mbaya za adui?
Ebu fikiri, mwizi kavunja mlango na kuiba mali zako. Badala ya kuimarisha ule mlango na ulinzi kwa ujumla na kuendelea kuishi katika nyumba yako, wewe unaamua kuivunja nyumba...
Jaman wapendwa wangu, naomba msaada wenu. Nimejaribu kuingia tweeter a.k.a X lakini nashindwa jamani. Nataka nifuatilie habari za nchi yetu na mambo mengine.
digital rights
freedom of expression
haki za kidigitali
kuelekea 2025
mtandaomtandaowaxmtandaowax kufungiwa
tanzania
twitter
uhuru wa maoni
umekuwa
x(twitter)
x(twitter) kufungiwa
Kwanza nitoe pole kwa mamlaka za Serikali kwa changamoto hii kubwa ya kudukuliwa kwa account za Serikali
Tatizo hili limesababishwa na baadhi ya viongozi wa Serikali wasio na uadilifu walioamua kuwapa wahalifu nywila za kuingia kwenye kurasa za Serikali
Taarifa inayosambaa mitandaoni kuhusiana...
Wakuu,
Imekuwa ni njama inayosukwa kwa kipindi kirefu kuweza kufungua X ili kuzua wakosoaji wanaopiga spana pande hizo, sema wakati huo hawakuwa na justification, ushoga ulikuwa hautoshi maana kila sehemu maudhui ya ushoga yapo, lakini sasa wameipata sababu.
Unadhani wataishia hapo? Hapana...
Hali si Hali nchini Tanzania.
Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X.
Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa...
Wakuu!
Ukurasa rasmi wa X zamani Twitter wa Jeshi la Polisi Tanzania (Tanpol) unapost taarifa ambayo wengi hawaamini kama ni za kweli, kwanza iliweka maudhui ya uchi lakini baadaye ikawekwa taarifa ya kuwa Rais Samia ametutoka.
Je, account hiyo imedukuliwa au ni polisi wenyewe wameamua...
Walio soma Cuba wanaweza tusaidia hapa, au ni adimin wa account ya Raisi anaumwa?
Hii alikuwa kwenye ndege kuanza ziara ya Kenya na Tanzania.
Ikulu Kenya
Akiwa na Ruto
Kwa kifupi zipo tu za Kenya hadi sasaz sasa je ni adimini bado anachambu picha za kurusha? au kuna ishu nyingine? Wale wa...
Ule ujumbe wa vitisho wenye matusi ndani yake alioundika kwenye mtandao wa X, unaweza kutimika kama sababu ya kumkamata na kisha kumshitaki lengo ni kuhakikisha harudi mbeya.
Kwa jinsi hawa watu walivyowaoga, wataona ni bora wamalizane nae mapema kabla hajafika Mbeya na njia mojawapo inaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.