mtandao wa x

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Nimerejea JF baada ya kuupitia mtandao wa X (Twitter)

    Habari za Asubuhi wakuu,wale wakubwa zangu Shikamoo Mshana Jr ,Shikamoo ndugu yangu wa muda mrefu GENTAMYCINE ,mambo vipi mdogo wangu rikiboy Mzee wa kula Tunda kimasihara, Kiufupi ndugu yenu ZERO IQ nilijipa breki kidogo hapa Jamii forum na kwenda huko kwenye huo mtandao wa watu wa X zamani...
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Twitter uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wa dini umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi duniani wameupuuza

    Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ni mtandao gani unaozuia maudhui ya ngono na mapenzi ya jinsia moja?

    Kuna kundi la watu ambao wanaiomba serikali ifungie twitter nchini kwa kudai kuwa twitter imeruhusu maudhui ya mapenzi ya jinsia moja. Hata hivyo, najiuliza ni mtandao gani ambao hauruhusu mapenzi ya jinsia moja kwa hoja hiyo kuwa na mashiko. Je ni kweli meta haruhusu maudhui ya mapenzi ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbona Rais Samia hajakipongeza chama chake kwa ushindi wa kishindo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wadau, vipi mbona Bi. Mkubwa hajajitokeza kupitia mtandao wa X kukipongeza chama chake na wana-CCM kwa ujumla baada ya kupata ushindi wa kishindo kwennye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 27/11/2024? Mpaka jana tarehe 29/11/2024, mtandaoni anasomeka, ila tunasoma habari...
  5. Paulolaurent

    JamiiForums Tanzania Nikilipia kupata blue tick mtandao wa X (Twitter) naweza kuipata baada ya muda gani?

    Habari wana JF, Samahani nataka kufahamu nikilipia mtandao wa twitter x kupata bluetick napatiwa baada ya muda gani na je nikitaka ku cancel narudishiwa pesa au utaratibu unakuaje. Ahsante
  6. Soul21

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa mtandao wa X wamefilisika kifikra au?

    Picha: Pinterest Mimi nimeanza kutumia X kwa sasa toka 2017. Niliheshimu mtando huu sana kwa habari nzuri na kwa ufupi kutokwa kwa watu mbalimbali. Leo hii unaingia X unakuta ndio watu wanaongoza kwa kusambaza video za ngono pamoja na kudhalilisha watu na mwisho naweza sema Facebook ni mtandao...
  7. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa X (TWITTER) waifunga akaunti ya kiongozi wa kiislamu Ayatollah Khamenei, baada ya kuandika ujumbe wa kuikosoa Israel

    Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei. Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Ukiweka bandiko la umma (Public Post) kwenye mtandao wa X (Twitter), ni lazima wale wote uliowablock waweze kuona bandiko lako

    Elon Musk anaendelea kuboresha kanuni za mawasiliano ya mitandaoni kwa hatua nyingine ya juu kabisa. Sasa Elon anasema kama umaweeka bandiko ama post na imechagua hilo bandiko liende kwa umma ama public basi hata wale ulio wablock wanatakiwa kuona maana ni public unless uchague kuweka private...
  9. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Brazil yaufungulia Mtandao wa X (Twitter) baada ya kulipa faini

    Uamuzi huo umefanywa na Jaji Alexandre de Moraes ikiwa ni miezi miwili tangu Mtandao huo ilipofungiwa kutoa huduma zake nchini humo kwa madai ya kukiuka Sheria ya Mitandao Brazil's Supreme Court has said it is lifting a ban on the social media platform X, formerly known as Twitter. In his...
  10. mapema

    JamiiForums Tanzania Napata changamoto hii nikiwa natumia X (Twitter) Msaada tafadhali!

    Toka 2021 nimekuwa nikitumia Twitter ku comment na ku like ku following, ila miaka ya hivi karibuni imenizuia kufanya hayo yote isipo kuwa ku like. Naomba msaada kama kuna namna ya kufanya niweze kutumia kwa ukamilifu, nimejaribu kuwasiliana nao inashindikana au sijajua namna nzuri ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Emmanuel Nchimbi, jitokeze kujibu hoja hizi za Bonifa Jacob alizozitoa kupitia mtandao wa X

    CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina chembe ya uongo...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa X Kulikoni?

    Waungwana mtandao wa X umezimwa @ TZ au ni mimi tu. Make kwa muda sasa najaribu kufungua lakini hamna kitu. Mwenye taarifa za ziada tafadhari. Soma Pia: Mtandao wa X (Twitter) unaelezwa kuzuiwa nchini Tanzania. Mmeanza kuinstall VPN's? Soma Pia: Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa X (Twitter) unaelezwa kuzuiwa nchini Tanzania. Mmeanza kuinstall VPN's?

    Mnamo tarehe 30 Agosti 2024, tuliona ongezeko la hali isiyo ya kawaida kwenye mitandao kadhaa nchini Tanzania, ikionyesha kuwa upatikanaji wa Twitter/X ulizuiliwa kwa watumiaji wengi nchini. Ishara zenye nguvu zaidi za kuzuiliwa kwa Twitter/X zilionekana kwenye mitandao ifuatayo: Vodacom...
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania

    Taarifa kutoka Netblocks zinasema mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania --- Confirmed: Live metrics show that X (formerly Twitter) has been restricted on Tanzania's main internet providers; the incident comes as the police force issues an alert over alleged opposition party plans...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa X kufunga Ofisi zake Brazil kwa ajili ya usalama

    DIGITALI: MTANDAO WA X KUFUNGA OFISI ZAKE BRAZIL Mtandao wa X umedai kuwa Jaji Alexandre de Moraes wa Mahakama Kuu ya Brazil alimtishia mwakilishi wa X nchini humo akamatwe endapo hatatekeleza amri ya kudhibiti mtandao huo. Moraes ameagiza akaunti za X anazoshutumu kwa kusambaza taarifa za...
  16. Patriot missile

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Naamini Serikali haitaruhusu mitandao inayohamasisha Ushoga kuendelea kuwepo nchini

    Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote unaohamasisha Ushoga nchini. Aidha, Mtumishi Mwamposa bila kutaja jina la Mtandao husika akiwa katika madhabahu ya Mungu wakati wa ibada ya Jumapili ameonya...
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Mtandao wa X unavyowanusuru wahanga wa unyama wa watala wa CCM

    Wanaharakati na marafiki wa kijana Japhet Matarra, anayetumikia kifungo cha miaka mitano gerezani kwa makosa ya mtandao kupitia mtandao wa X, wamechangisha Sh8.5 milioni kwa ajili kumtoa gerezani kijana huyo. Matarra alihukumiwa Juni 2023 na Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Moshi, mkoani...
  18. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Kupush hashtags mtandao wa x

    Habari ndugu zangu, Nimejaribu kushinda sana twitter sasa X siku ya leo. Huwa naona sana matangazo ya siasa au biashara. Tukae haswa kwenye siasa. Baada ya kufatilia maongezi mengi, na kubadirishana mawazo kupitia comments. Kwanza naona mtandaoni siku za sikuhizi wamejaa sana vijana wa makamo...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yazuia mtandao wa X na TikTok, walazimika kutumia VPN ili kupata huduma kwenye mitandao hiyo

    Wakenya wengi waripoti shida ya kuweza kutumia mtandao wa X pamoja na TikTok. Hii ni baada ya mitandao hii kutumika zaidi kupanga harakati za maandamano na kuhamasishana kuunga mkono maandamano hayo.
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Nape Nnauye, Mtandao wa X haupaswi kufungiwa kwa sababu zifuatazo

    Mtandao wa X haupaswi kufungiwa kama Watanzania wanavyodai hii ni kwasababu zifuatazo 1:Mtandao wa X unatumia teknolojia ya Algorithm inamaana kwamba mtumiaji hawezi kuona maudhui ambayo hayafuati yeye au hayatazami au kuyatafuta yeye ndani ya mtandao huu ndio maana yapo makampuni, taasisi na...
Back
Top Bottom