mtandao wa x

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

    Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Mtandao wa X zamani twitter watoweka hewani - Februari 16, 2026

    Nimewasha mpaka VPN wapi, vipi kuna hitilafu kwenye mtandao wa x?
  3. M

    Mtandao wa X wabadili bendera ya Iran

    https://x.com/NiohBerg/status/2009742024384147606 Ndugu zangu hakuna namna ya kuimboa Tanganyika, zaidi ya Kupandisha bendera ya Tanganyika, hatutaki Muungano, Walizuia Sherehe za Muungano lakini wameenda kufanya sherehe za Mapinduzi
  4. Yoda

    Msemaji wa serikali anaposti kwa ajili ya nani katika mtandao wa X?

    Kuna mtu anaelewa msemaji wa serikali Bwana Gerisoni huwa anampostia nani au watu gani wakati ambapo mtandao wa X wameufungia? Haiwezekani akawa anawapostia diaspora au watu wa mataifa mengine ya nje wakati wajibu wake wa kwanza ni kwa raia wa Tanzania ambao mshahara wake unatoka kwenye kodi...
  5. Pakome

    X haina tofauti na mtandao wa ngono. Hii inapelekea dunia inapoizungumzia lazima iambatanishe maneno "Formally known as Twitter" ili kuficha aibu

    X ni mtandao wa ngono, dunia inatambua ukweli huu ndiyo sababu inapozungumziwa yanatumika maneno ya kuficha aibu "Formally known as Twitter" "Iliyokuwa ikijulikana kama Twitter" Inakuwa vigumu sana kuishia X bila kuambatanisha maneno hayo kwasababu itatengeneza fikra za ngono katika vichwa vya...
  6. R

    Serious note ya Godbless Lema juu ya mapungufu ya taaluma, utaalamu, uzembe, elimu ndogo, UONGO ndani ya mifumo ya VYOMBO vya Usalama wa Taifa

    Anaandika Godbless J Lema TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA. Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi waliopinga uchaguzi Meya feki wa Arusha Mjini. Tukio hilo liliacha majeraha makubwa katika mioyo ya...
  7. Heparin

    PostGE2025 Community Notes za Mtandao wa X: Jakaya Kikwete hana uhalali wa kimaadili kuzungumzia mustakabali wa maisha ya baadaye ya Vijana

    Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa Qatar kwenye Mkutano unaofahamika kama Doha Forum alizungumzia masuala anuai yanayohusu vijana ikiwemo elimu, uchumi, na mustakabali wa Afrika. Baada ya mkutano huo alichapisha ujumbe kwenye mtandao wa X akiwa amefunga comment, ambapo maoni ya watumiaji wa mtandao...
  8. Mjanja M1

    Mtandao wa X haufanyi kazi hata ukitumia VPN

    Nimebadili VPN lakini hakuna kitu.
  9. wa stendi

    Naomba mnifundishe kutumia mtandao wa X'

    Yaani nikitaka kuposti maneno au ukurasa mzima nafanyaje . Maana hata kwa kuandika naona kama kuna mwisho wa tarakim fulani hata nifanyeje haiendelea hata kupost labda maneno nimekopi kama ni ukurasa fulani haikubali je !hua mnafanyaje msaada hapa
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kuna mtu alitabiri katika mtandao wa X kuwa Raila Odinga atakufa mwezi oktoba 2025

    Hii tweet ni ya mwaka jana, leo imejipatia umaarufu baada ya kifo cha Raila Odinga. Je kuna watu wana kipawa cha kutabiri yajayo?
  11. Just Pray

    Msigwa: Mtandao wa X tumejadiliana nao sana hatukuelewana tumeamua kuzima katika anga letu

    Kwa mara ya kwanza, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amefunguka kuhusu sababu ya mtandao wa kijamii X (zamani Twitter) kutopatikana nchini Tanzania. "X tumejadiliana nao sana juu ya mtindo wao wa kuruhusu maudhui yasiyofaa kurushwa katika anga letu, baada ya mazungumzo ya muda mrefu...
  12. upupu255

    SI KWELI Huu ni ukurasa wa Humphrey Polepole kwenye mtandao wa X

  13. Stuxnet

    Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

    Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo. Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote mimi nikiwa bado kwenye nondo za gereza. Siku ambayo nilisema nitasimama na taifa langu la Tanzania...
  14. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa ameandika kwenye mtandao wa X kuwa Wana CCM wanapitia wakati mgumu

  15. JamiiCheck

    GE2025 Vyama vya upinzani nchini ni waathirika wakubwa wa Taarifa za Upotoshaji, na Mtandao wa X unaongoza kwa kuzalisha Taarifa za Kupotosha

    Wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 2024, JamiiAfrica kupitia Jukwaa lake la Uthibitishaji na Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck iliongoza juhudi za kudhibiti upotoshaji wa taarifa kwa kutoa elimu ya uhakiki na kuwashirikisha wananchi moja kwa moja katika kuchambua na kuthibitisha...
  16. R

    Rais Samia, inatosha waamuru wahusika wafungue mtandao wa X (Tweeter)

    Inatosha, nadhani hawa wanakuharibia historia yako ya baada ya kutoka madarakani. Inatosha. Fungua kila kitu...Lisu, X, na mengine mengi yaliyowekwa kwenye mikono ya shetani. Hakuna madhara kwako wakipost wanachotaka kupost. Ni mambo ya kupita katika siasa Hayapendezi
  17. Powell Gonzalez

    Serikali fungulieni mtandao wa X

    Hata nyie mmeshaona hamuwezi kuishi bila twita, rais anatumia, taasisi za serikali zinatumia, viongozi wanatumia. Sasa mnafungia ili iweje? Me naona kama hii Tanzania kweli huko mbinguni ni channel ya vichekesho!
  18. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Godbless Lema amechapisha kwenye mtandao wa X kuwa CHAUMMA inakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani

Back
Top Bottom