mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani iliyo kutoa kimaisha na mtaji kiasi gani ulianza nao ?

    Ni biashara gani iliyo kutoa kimaisha na mtaji kiasi gani ulianza nao ?
  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Biashara hizi tatu zina mtaji wa Tsh Milioni 1; je, unanishauri nianze na ipi ambayo inaweza kunipa mafanikio?

    1. Biashara ya stationary karibu na chuo ambapo gharama zote za awali ni 1m 02. Library ya kurusha movie kwa kutumia kompyuta, hapa nyimbo series nk 03. Ni saloon ya kiume ambapo itanibodi nifanye kwanza mafunzo ya kunyoa kwa mwezi mmoja. Kwa mtazamo wako niinvest wapi kwa ajili ya business...
  3. Ethan3

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 12 na nina mawazo ya kufanya biashara moja kati ya hizi mbili. Naombeni ushauri

    Habari wana Jamii forums Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz...
  4. ELIA MWAPINGA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanza Kutengeneza Pesa Mtandaoni Bila Mtaji (Kwa Wanaoanza Kabisa)

    ❌ Tatizo la Watu Wengi: Watu wengi wanataka kutengeneza pesa mtandaoni lakini wanaamini bila mtaji haiwezekani. Ukweli ni kwamba… mtaji mkubwa si pesa, ni maarifa + muda +uvumilivu . Njia 3 za kutengeneza pesa mtandaoni ambazo unaweza kuanza Bila Mtaji 1️⃣ Kuuza Ujuzi (Hata Kama Unaona Ni...
  5. Chibike

    JamiiForums Tanzania Hivi MPAKA mtu unakua na mtaji wa kuwekeza Bilioni 600, mabroo mnaokota wapi mbesa... ?

    Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
  6. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea “Kuishi Kwenye Mtaji” Baada ya Matukio ya Oktona 29. Tujitafute na tujue tunatokaje hapa

    Kuna kauli maarufu inayosema: “Nchi inapoanza kutumia nguvu nyingi sana kujilinda na kulinda utawala wake, ndipo inapoanza kuishi kwenye mtaji wake.” Bado hakuna takwimu rasmi za kuthibitisha hilo, lakini dalili zote zinaonesha tunaelekea huko au tumeshafika. Tangu tarehe 29 Oktoba 2025, siku ya...
  7. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Watu ni mtaji

    Kwenye maisha watu ni mtaji muhimu sana. ISAYA 43: 4 Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako. Umeona unaitaji watu Maana mungu hutumia watu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kauli za baadhi ya Viongozi kuelekea uchaguzi wa ajabu ni mtaji wa ICC

    Vitisho vya kuua watu 29 Oct 2025 ndio imekua faraja ya Viongozi wa chama tawala Kwa Sasa baada ya kuona Hali ni ngumu na halisi. Wamepoteza matumaini kabisa na hofu imewajaa. Hua najiuliza hivi Hawa Viongozi hua ni Viongozi wa watu ama Ni Viongozi wa kuongozana wao Kwa wao? Mbona hawawajali...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni documents zinazohitajika Wakati wa kuongeza Mtaji wa Kampuni

    Jana nilipost thread kuhusu hatua za kufuata wakati wa kuongeza share capital, Leo nitakuandikia documents husika zinahitajika kukamilisha mchakato huo wa kuongeza share capital. 1. Board Resolution Hii ni document inayoandaliwa na directors wa Kampuni kuonesha kua wanataka kuongeza Mtaji kwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuongeza Mtaji wa Kampuni Yako

    Umefungua Kampuni kwa mtaji wa 10M kama share capital mfano, baada ya kufanya biashara kwa muda Fulani unataka kuongeza Mtaji ufike 50M. Hizi ni hatua za kisheria za kufuata. 1. Kikao Cha wakurugenzi (directors) Wakurugenzi watakaa na kupitisha ajenda ya kuongeza Mtaji wa Kampuni. 2. Notice...
  11. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mtaji wa million 10 nifanye biashara ipi vifaa vya pikipiki au duka electonics?

    Habari? Niende moja kwa moja kwenye point... Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk... Kwa upande wa location nipo...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Hii bajeti ya graduation kwa huyu mtoto wa chuo, si mtaji kabisa huu?

    Vijana wanaomaliza vyuo wanakuwa na vibe sana na graduation, bajeti ya zaidi ya 1.3M si mtaji kabisa huu? Then baada ya graduation ukute anahangaika kutafuta mtaji.
  13. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Kampuni zilizowapa wawekezaji ongezeko kubwa la mtaji kwenye soko la hisa ndani ya miezi minane kutoka January 2025

    Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni ongezeko la mtaji (capital gain). Hii hutokea pale ambapo bei ya hisa unazozimiliki inapanda kuliko bei uliyozinunulia, na hivyo kuongezeka kwa thamani ya uwekezaji wako. Picha hapo juu inaonyesha mfano halisi wa makampuni 10 yaliyoongoza...
  14. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Je, unalenga nini katika uwekezaji wako kwenye soko la hisa: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)?

    Je, unalenga nini katika uwekezaji wako: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)? Watu wengi huingia kwenye soko la hisa bila kuwa na malengo ya wazi. Lakini ukweli ni kwamba malengo yako ndiyo dira ya uwekezaji wako. Kabla hujaweka hela yako, jiulize: Nataka kupata faida kwa njia...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Usibane sana mtaji ukiwa unasajili Kampuni

    Fee za usajili wa Kampuni BRELA, zinatofautiana kulingana na capital ya Kampuni. Kwa capital ya 1M mpaka 4M Brela wataku charge 222,200. Kwa capital ya 5M mpaka 10M Brela watacharge Tsh. 333,000. Watu wengi sana wanabana capital ili walipwe fee ndogo lakini hii huleta effect kwenye biashara...
  16. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh 300,000 na faida ya uhakika Tsh. 50,000

    Wadau, Nipeni USHAURI HAPA, Nina BIASHARA ambayo MTAJI WAKE ni 300,000 na Hii biashara inaingiza MAPATO ( faida ) ya 50,000 kila siku GUARANTEED Swali ni kuwa je Niendelee na Biashara hii au NIANGALIE utaratibu wa biashara nyingine yenye MTAJI Mkubwa na FAIDA kubwa. ***** Swali linaulizwa...
  17. JF Member

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 8. Biashara gani italipa hapa Mbezi Luis/Magufuli?

    Habari wataalam. Baada ya kujidunduliza sasa nimeamua niingie kwenye biashara yaani busines. Naomba nipate japo ushauri kabla sijayamwaga haya mamilioni yangu. Biashara ipi inalipa hapa Mbezi ya Magufuli - na eneo lote kwa ujumla?
  18. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

    Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
  19. Tanzaniavate

    JamiiForums Tanzania Umechoka Kutafuta Ajira? Hizi Hapa Biashara 5 Unazoweza Kuanza Na Mtaji wa Chini ya 50,000 TZS

    Kutafuta ajira kunaweza kuwa jambo la kuchosha na kukatisha tamaa. Lakini inawezekana kabisa kujiajiri mwenyewe kwa kuanzisha biashara ndogo yenye mtaji wa chini. Kwa mtaji wa chini ya TZS 50,000, unaweza kuanzisha biashara inayokuwa na kukuingizia kipato. Hizi hapa ni biashara 5 unazoweza...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya biashara ya kucha au unataka kuanza njoo nikuuzie mtaji kwa bei chee.

    Rangi za Gel Rangi za kawaida Mashine ya kucha miguu miwili Benchi la kupakia rangi Benchi la kukaa watu wa 4 mpk 5. Mkebe wa vifaa vya kucha, misasa, kucha n.k Feni ya juu (pangaboi) Contact: 0620813101
Back
Top Bottom