mtaani

  1. Sister Abigail

    Kuwa makini na hizo kampani zako huko mtaani!

    Tazama picha za Jose wa Kitaa na Jose huyo huyo ndani ya vizimba vya mahakama Iringa . Ndoto za kusaka utajiri zitaishia jela kwa kijana Joseph aliyemkatakata mtoto wake na kusagasaga mifupa yake na kuiweka kwenye tenki la maji machafu. Picha za Jose hazina hatia kabisa, anaonekana alikuwa...
  2. Scared

    Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

    Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye...
  3. W

    Mwigulu: Nimesisitiza kutolimbikiza viporo vya kero na migogoro, kwani inatishia undugu wetu

    Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    Breaking News: Moja kwamoja kutoka mtaani kwetu

    Mtoto wakike mrembo wa kidato cha 4 kaingia kwenye nyumba ya mwalimu msela tangu saa 4 asubuhi hadi sasa hajatoka. Ni mtoto wa diwani wa CCM.
  5. A

    KERO Responded Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga) ina Mwalimu mmoja, wengine wanashinda tu mtaani

    Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili. Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni...
  6. Mshana Jr

    Life hacks: Maarifa mtaani bure, bunifu manufaa lundo

    Usiwe mvivu wa kufungua links za maarifa! Zitakusaidia mengi.. Achana na links za umbea na pilau Tumia bando lako kwa manufaa Kwa kila link nitakayoweka kuna vitu rahisi utajifunza na kuokoa pesa nyingi na muda TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to...
  7. zaza1

    “Wanaojitolea Wanapendelewa” — Huu Ni Mtazamo wa Akilini Mwake, Sio Uhalisia wa Mtaani

    Kauli ya Naibu Waziri Mhe. Regina Ndege Qwaray kwamba wanaojitolea wanapendelewa huku akisema kujitoa sio kigezo cha ajira, ni kauli inayokera na inayokosa uhalisia. Ukweli ni mmoja: hii ni tafsiri yake binafsi — akili yake — sio hali halisi inayowaumiza maelfu ya vijana. Kama kweli...
  8. A

    Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    JFs Members uzima upo? Nisiwachoshe niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Safari ya chuo kuelekea mtaani inaanza tu pale graduation inapoisha Hii naongelea experience yangu Nilipongenzwa kwa bashasha kede kede kwenye graduation yangu na kupewa moyo nishatoboa kazi zipo tu Sasa baada ya miezi...
  9. comrade_kipepe

    Tongoza wanawake mtaani

    Achana na wa mtandaoni, simu za sasa zna camera za kisas zinamscrab mtu anakua pisikali Tafuta wa mtaani ni salama kwa afya yako ya mwil na akiliiiii
  10. M

    Kinyozi darasa la 7 anaingiza 30-70k kila siku, tuache kukazania watoto kusoma tu, tuwape na ujuzi wakihitimu degree na wakikosa ajira wawe na PLAN B

    Elimu ni wajibu, si urithi. kumsomesha mtoto hadi ngazi ya shahada ni haki yake ya msingi. Hata hivyo, hilo pekee halitoshi. Ni muhimu pia kumpa nafasi ya kujifunza ujuzi wa ziada, ujuzi wa vitendo na ubunifu utakaomsaidia kujitegemea pale ambapo hana uhakika wa ajira rasmi alizosomea. Kwa...
  11. comrade_kipepe

    Ushawahi kua ushajenga tayari unakaa kwako halafu mtaani una chumba umepanga unalipia kodi?

    Nataka nifanye hii kitu, nina mambo binafsi nataka chumba mtaani niweke dogodogo huko niwe napita kama nyumba ndogo siku mojamoja (NINA SABABU ZANGU ZA MSINGI NISINGEPENDA KUZIWEKA WAZI). Hapa nataka tuu mtu ambae ashawahi kufanya hivi anipe experience yake.
  12. Prof_Adventure_guide

    Usanii wa Serikali na mauti ya Wasomi: Masters yangu imekuwa kitambaa cha deki mtaani

    Manze, inabidi tuchane ukweli mchungu bila kuficha makucha, kwa sababu hii hali is getting out of hand na ni some real-life fuckery. Nimepiga kitabu mpaka nimevuta Masters yangu fresh, nikazama mtaani nikijua nina lock kila kitu, lakini kumbe nimeingizwa mjini na huu mfumo wa kishamba. Hii...
  13. Masalu Jacob

    Mtaani Festival

    Habari Tanzania ! Nawaomba basi wenye mamlaka mturuhusu Vijana na hata wazee waweze kuwa na Party/ Sherehe ya Mtaa yaani wana mitaa tunakusanyika tunapiga cha Pilau safi na kupiga mastori ya hapa na pale ila hii Sherehe iwe ya kitaifa tufanye siku moja kila mtaa. Haya maisha ni kusheherekea...
  14. Mad Max

    Gari la BYD mtaani…

    Kuna BYD Atto 3 (aka BYD Yuan Plus) inaonekana “Dodoma”. Hii full Ev kutoka China ina full range ya 420 hadi 480 km ikiwa full charge. Sawa Wachina.
  15. K

    Polisi ni wengi mtaani lakini leo ni lazima lengo litimie

    Kila baada ya nusu saa gari za polisi zinapita .GEN Z leo hatuna mengi tumewapa muda wa kutosha . Karibuni
  16. JITU BANDIA

    Kaa kimasta! Hasira imetamalaki mtaani kwa walioikosa ile fursa!

    Wahenga walisema, vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru, ama vita vya kuku ni furaha kwa mwewe alie karibu! Hii ni misemo ya wahenga, Sote tunakumbuka yaliyotokea October 29 hadi dec 2...ile lockdown ya siku takribani 3-4 hivi ilivyogeuzwa fursa! Wagagagigikoko waliigeuza ile kuwa Fursa...
  17. Fbn

    Waziri wa maji baada kutatua maji yanapotoka unaenda kutembea kuangalia mtaani

    Hii nchi itakuwa na channel ya maajabu huko mbinguni.
  18. ChekoFagia

    PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
  19. Scared

    Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

    Wazee huku Arusha polisi wametukuta tunapiga stori wakapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa Au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira...
  20. Munch wa Annabelle

    Tahadhari: Energy drink nyingi za Metl huku mtaani zimeexpire halafu wanaandika expired date kihuni kuhalalisha ujinga wao

    Za mchana Hii kampuni kama inaongozwa na mataahira yani expired date kwenye bidhaa yao ya Mo energy huwezi isoma hata utumie darubini au microscope ya umeme. Huu uhuni wanafanya kwa ajiri ya kumkomoa nani? TBS mpo wapi mpaka watu wafe au wapate madhara kwa wakati mmoja ndo mtawachukulia sheria...
Back
Top Bottom