mtaa

MTAA Super (Motor Trades Association of Australia Superannuation Fund) is an industry superannuation fund established to serve the motor trades and allied industries.
Created in 1989, it has become one of Australia’s largest super funds. As at 2019, MTAA Super has more than $12 billion funds under management and represents more than 200,000 members and more than 50,000 active employers.MTAA Super is a public offer fund and allows membership to all Australians.
MTAA Super was named SuperRatings 7 year platinum performer for 2003-2010. In 2020, the fund was again awarded Platinum Rating by SuperRatings, who named MTAA Super a “best value for money” super fund.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Makaburi ya Mtaa wa 'Msamaria' Mkoani Dodoma yamegeuzwa Dampo

    Video hii nimeirekodi Dodoma katika Makaburi ya Mtaa wa Msamalia, Kata ya Chang'ombe. Kumekuwa na hii kero ya muda mrefu sana katika maeneo ya Makaburi haya. Pamegeuzwa kuwa dampo. Makaburi yamekuwa sehemu ya kutupia taka tena zinajaa kiasi cha kufunika baadhi ya Makaburi. Tumejaribu kufikisha...
  2. JamiiForums Tanzania Wenyeji na viongozi wa Morogoro what goes on here Kila mtaa na uchochoro kuna frame za kutoa mikopo kidunchu?

    Hajambo wote! 1. Bado Niko Morogoro hapa kama nilivyowaambia. 2. Mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nilibahatika kutembelea Mkoa wa Arusha, Moshi Mjini, Babati mjini, Korogwe Mjini, Dodoma Mjini, Kahama Mjini, na Sasa nipo zangu hapa Morogoro. 3. Aiseeh! What goes on here? 4. Dec 31...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtaa wa Uzunguni ni mzuri sana

    Mbeya licha ya kuwa na mitaa mingi iliyojengwa hovyo bila mpangilio, lakini mtaa wa Uzunguni ni mzuri sana Uzunguni kumepangiliwa vizuri, kuna miti mingi, hata hali ya hewa ya utofauti, na majengo yameachiana space, kati ya jengo moja na lingine. Uzunguni ni mtaa ambao upo kimya sana, kiasi...
  4. JamiiForums Tanzania House4Sale House for sale, Nyumba inauzwa 10m bagamoyo zinga mtaa wa masaki

    NYUMBA INAUZWA 10M – BAGAMOYO ZINGA, MTAA WA KISHUA BAGAMOYO ROAD UPANDE WA BAHARINI Nyumba 2 bedrooms, (no doors, windows, flooring), plot 21×19 (≈400 sqm) Bagamoyo – Zinga. Karibu na barabara umbali wa kutembea mtaa una MAJI, UMEME NA NEIGHBORHOOD NZURI, plot 21×19, hati tayari Bei: 10M cash...
  5. JamiiForums Tanzania Kila Mtaa/ Kijiji kiwe na Database ya wananchi wake hasa Vijana na Mikopo itolewe kwa njia hizo

    Habari Tanzania ! Nawaomba wenye Mamlaka kwa kuwa mmewaza kuanzisha Wizara rasmi inayohusu Vijana. Napendekeza mfumo mzuri wa kusaidia vijana hasa kuanzia ngazi ya chini wanakoishi. 1. Kila Kijiji/ Mtaa pawepo na Ofisi ya Vijana (Vijana Village/ Street Department). (Kata = Vijana Ward...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Wenyeviti wa Mtaa wa CCM wanawasindikiza kakikundi kadogo kwenye Utajiri

    Ni kweli CCM ina wenyewe ila sio hao wenyeviti wa Mtaa ambao maisha yao nao ni duni na Balozi wa Mtaa.
  7. JamiiForums Tanzania Kosa uwe na kauwezo kidogo alafu umpite mbongo wa hali ya chini bila kumsalimia, aisee lazima utungiwe diss track na mtaa mzima watasikiliza

    🗣️"JAMAA ANAJIKUUUTA MWAMBA, WAKATI TUMEMUONA HAPA TANGU ANATAABIKA TUNASHINDIA NAE VISHETI KIJIWENI"
  8. JamiiForums Tanzania Mtaa unataka Nini?

    MTAA UNATAKA NINI.... Kila kijana ana ndoto za kupata pesa aijalishi atafanya kazi gani ila lengo ni pesa..watoto wameacha shule wakidai wanapoteza tu mda wao kusaka elimu ikiwa lengo la elimu ukimaliza ni kutafuta pesa.. Leo kila mtoto yupo mbio kukimbilia ndoto zake za kupata pesa ya...
  9. JamiiForums Tanzania NEMC yakomesha uendeshaji holela wa kiwanda mtaa wa regent estate

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekichukulia hatua za kisheria kiwanda bubu cha SUMING kilichopo Mtaa wa Regent Estate katika Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni kinachofanya shughuli za urejelezaji wa taka hatarishi aina ya simu za kiganjani chakavu katika...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu alizoacha hayati Ndugai ni lile Soko la Ndugai na Mtaa wa Salasala kwa Ndugai

    Kwa haraka hizi ndio alama za kumkumbuka hayati Job Ndugai Pale Salasala Ndugai na Mbowe mwanajeshi ndio walikuwa Watu maarufu zaidi Na Dodoma Jiji kuna Soko ambalo Shujaa Magufuli alilibatiza kuwa Solo la Ndugai Rip Job Ndugai
  11. JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA,IPO IYUMBU DOODOMA,BEI NI MILLION 350,NYUMBA NI NZURI SANA NA IPO MTAA MZURI KABISA, 0758844717

    A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area Kitchen + Store Study Room Garden & Ample Parking 💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
  12. JamiiForums Tanzania Tamba na Jicho 👁 la Ustawi wa Jamii Mtaa kwa Mtaa 🇹🇿

    Wasalaam Leo 24 Julai, 2025 asubuhi, nakiri kupokea taarifa kadhaa kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Baraa, Mtaa wa Kibao cha Njano kwa Mrefu, Arusha. Kwamba, mtu mmoja mzima analea binti wa umri kati ya miaka 8 hadi 10 hivi ambapo yaani ni anampa vipigo tu apendavyo yeye hivyo, mtoto amejaa...
  13. JamiiForums Tanzania 🔥 FAIDA ZA KUHAMA MTAA BAADA YA KUANZA KUPATA MAFANIKIO 🔥

    🩸 "Sio dharau, ni self-protection!" 1. 👉 Unajiokoa na wivu wa mtaa Mtaa una macho lakini hauna moyo. Watu waliocheka na wewe jana, wakiona unainuka, ghafla wanakuona kama adui. Kuhama ni kukwepa sumu ya midomo, wivu, na roho za kwanini. 2. 👉 Unajilinda na marafiki wanaotaka kula mafanikio yako...
  14. JamiiForums Tanzania NYUMBA KALI SANA INAUZWA,IPO BAHARI BEACH MTAA WA KISHUA SANA,BEI NI MILLION 450M,MAONGEZI YAPO

    HOUSE FOR SALE: LOCATION: BAHARI BEACH SQM: 1,200 Nyumba Ina vyumba vinne PRICE: 450 Million negotiable. Hati ipo. Hii unfinished house ina Sitting room: 1 Modern windows, ✅ Kitchen, ✅️ Dining room, ✅️ Parking,✅️ Garden, ✅️ Good neighbourhoods, ✅️ 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717...
  15. JamiiForums Tanzania Maskini Wakichagua "viatu kuu-kuu" Mtaa wa Kongo - Kariakoo

    Siku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!! They never worthed kupanda Meli visafiri umbali wote ule na vishughulishe watu wetu kuwa eti wako kwenye biashara! Mamlaka zina...
  16. JamiiForums Tanzania NAUZA NYUMBA YA KISASA HAPA VIKINDU NYUMA YA MTAA WA POLISI 0673294681

    Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi. Nyumba inavyumba viwili vya kulala vyote master. Ina maji na umeme nimesogeza nguzo na kufanya wiring mwenye uhitaji unipigie/whatsup 0673294681. Ninashida ya pesa nataka niende masomoni nje ya nchi. Bei tsh. 20m mazungumzo yapo
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya mtaa imenilima faini ya elf 50, kisa sijafanya usafi

    wakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu, tupo hapa manispaa ya nyanda za...
  18. JamiiForums Tanzania Hapo Ndio Historia Inaanzia: Mwanzo wa Utawala wa Simba Katika Mtaa Mkali wa Serengeti

    Yani ukitaka kujua mwanzo wa historia ya kweli ya jungle, siyo ile ya kwenye vitabu vya shule wala documentary za wazungu zenye voice ya baridi, tunaanza hapa – kwenye ardhi ya moto, nyasi ndefu na upepo mkali unaopiga hifadhi ya Serengeti, Tanzania. Hii ni block ya nguvu, na kuna OG mmoja tu...
  19. JamiiForums Tanzania Diwani wa Kunduchi, Michael Urio na Mkiti wa Serikali ya Mtaa Bwana Kibele Katika Kashfa nzito

    Nani anasema ukweli katika sakata hili linaloendelea la kuwavunjia watu nyumba na makazi yao kwa kuwarubuni. Ni diwani wa kata ya KUNDUCHI bwana MICHAELI URIO ambaye aliwaambia wananchi : hwawezi kutajirika kwa pesa za fidia au bwana KIBELE anyewapigia wananchi simu usiku ili wampelekee hati zao...
  20. JamiiForums Tanzania Mdude Katekwa, mjumbe, mwenyekiti wa mtaa na mbunge wa Jimbo lake walipaswa kuwa mstari wa Mbele kupigania upatikanaji Wake.

    Sabato Njema! Waafrika wengi ni rahisi kuwaonea na kuwadhulumu kwa sababu hawana umoja. Hawapendani. Uoga mara nyingi husababishwa na kutokuwa na upendo wa dhati. Kama Watanzania wangekuwa wanapendana Kwa dhati yote. Kusingekuwa na msamiati watu wasiojulikana. Watu wasiojulikana ni matokeo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…