Kuna watu wanasema Nyerere aliacha viwanda ukweli ni kwamba viwanda vililetwa na waziri wake genius Cleopa David Msuya. Yaani Msuya ndiye aliyekuwa waziri ambaye ni strategist zaidi ya uwana siasa
Tukiwa watoto tulipokuwa tukijisomea kwa kukoka moto wa Kuni na vibatali kupata mwanga tulikuwa tunaambiwa huko mwanga na usangi kwao Cleopa Msuya umeme umesambazwa hadi migombani, kwenye mikahawa na unawaka hadi kwenye mazizi ya nguruwe . Kwakuwa sisi tulikuwa hatujafika huko Mwanga tulikuwa...
Tangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
Duuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.
Daahhh hii mbona ni hatari sana !!
Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS.
Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege...
Jana nimesikiliza kwa makini sana wasifu wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri mkuu marehemu Cleopa Msuya.
Nilibaki mdomo wazi baada ya kusikia baadhi ya SIFA zake zikisemwa mbele ya Rais na viongozi wengine wa serikali na CCM.
Nilivutiwa sana na kauli mbili ambazo zilionyesha...
1. Huyu Mzee ndo ameifanyia mengi wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini kuliko wilaya nyingi hapa Tanzania. Tunamshukuru kwa yote.
2. Pia tupunguze ubahili ili miradi hii isife baada ya yeye kufariki. Ikiwezekana tujenge...
Rais Samia akishiriki kuaga mwili wa Hayati Cleopa Msuya Mei 11, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati...
Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena
https://www.youtube.com/watch?v=Y8LcWxXTdv8
=========================
Aliekaa kwenye kiti...
Ugweno, Mwanga
Kilimanjaro
Tanzania
HISTORIA YA SHUJAA WAUGWENO WILAYA MWANGA, ALIYEITUMIKIA TANZANIA
https://m.youtube.com/watch?v=0cM3JTfPQpc
Ugweno Mwanga milimani mkoani Kilimanjaro wafungua Makumbusho maalum kuhifadhi historia. Katika Makumbusho hiyo ya kata ya Kifula Ugweno wilayani...
MTOTO REGNALDO SAMWELI MSUYA MIAKA (16) anatafutwa, inadaiwa aliondoka nyumbani kwao 15/12/2024 hadi sasa hajulikani alipo.
Nyumbani kwao ni kinondoni mtaa mwananyamala kwa kopa, dar es salaam. Anasoma shule ya secondary makumbusho kidato cha tatu. Kwa yoyote atakaye muona tunaomba atoe taarifa...
Mawaziri wazee wetu wastaafu wote Warioba na Msuya wamesema tatizo kubwa la Dira yetu ya taifa ni kutokuwa na mfumo wa siasa wa kueleweka.
Kwa muda mrefu sasa tumekuwa na mifumo ya vyama vingi lakini wakati huohuo serikali hiyo hiyo ndiyo wanaongoza kuharibu chaguzi zetu na kusumisha mfumo wa...
MZEE JOHN MALECELA AMEFIKISHA MIAKA 90 MZEE CLEOPA MSUYA KAMSHAURI AANDIKE KITABU CHA MAISHA YAKE TANZANIA IFAHAMU MCHANGO WAKE MKUBWA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Nimeangalia video ya Mzee Malecela aliyepata kuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Waziri Mkuu akisheherekea miaka 90 nyumbani kwake...
TBC1 BAKARI MSUYA NA TBC TAIFA DAVID MAYUNGA WAMEPIGA HODI MAKTABA: KIPINDI CHA MUUNGANO
Sikutegemea kuwa nitatembelewa kwa siku moja na vijana hawa watangazaji hodari kutoka TBC 1 Bakari a Msuya na TBC Taifa David Mayunga kunihoji kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964...
Historia fupi juu ya Sakata la Kifo cha Bilionea Msuya, Kuuawa kwa Dada yake, Kukamatwa kwa Mke wake hadi Kuachiwa kwake
Agosti 7, 2013 Saa 7 Mchana ya Jumatano, taarifa mbaya za mauaji zinaanza kusambaa Jijini Arusha zikieleza kuwa Mfanyabiashara Maarufu na Mmiliki wa Migodi ya Madini ya...
Kawaida, tena on the spot, judgment zinazotolewa na HC and CoA zinawekwa kwenye website ya TANZLII. Such a sensitive judgment one would expect to be posted as soon as possible!
Tuwekeeni tuchambue reasoning ya Judge maana sasa inaruhusiwa kusema lolote kuhusu shauri hilo na Judgement hiyo.
Hakika nawaambieni Mungu wa kweli hukaa ndani yetu, alisikika mke wa Hayati Billionaire Msuya akiimba baada ya hukumu kumpenda zaidi yeye pale kisutu, yeyote anaejua maana ya kilio na kusifu kuliko na malaika huyo mwanamke alikosa muunganiko wa sauti, kiini cha sauti na Nuru ya mwili hasa uso...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.