mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    TANZIA Jaji mstaafu Julie Manning afariki Dunia

    Jaji Mstaafu Julie Catherine Manning amefariki dunia leo Machi 20 katika hospitali ya Hitech Health care iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Manning aliyekuwa pia Jaji wa kwanza mwanamke Tanzania na Afrika Mashariki na kati, aliteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu...
  2. L

    Mkuu Wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo Ammiminia Sifa na Pongezi Paul Makonda Kwa Uchapakazi wake Uliotukuka. Ampa Baraka na Nasaha

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Paul Makonda Ataendelea kung'aa Kiuongozi ,kushika nafasi nyeti ,kupaa kiuongozi Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wa kuleta matokeo chanya na ya haraka. Huyu Mwamba ni kama amekuja kwa kazi maalumu hapa Duniani. Ni mtu ambaye ukimpatia kazi anaifanya...
  3. The Palm Beach

    Jaji Mstaafu Chocha alionya miaka 9 iliyopita kusema: "Tundu Lissu si mtu wa kawaida". Leo Taifa linashuhudia kutimia kwa onyo hili

    LISSU SI MTU WA KAWAIDA: Jaji Alionya, Taifa Linashuhudia! 👉Huyo ndiye Tundu Lissu mashine iliyomeza vitabu vya sheria na kuvimeng’enya hadi kuwa silaha ya haki. Kama ingekuwa ni hadithi za vitabuni, watu wangedhani hiki kichwa ni AI au mhusika wa kufikirika. Lakini leo, kukaa kwake mahabusu...
  4. Bwege2030

    Sehumu ambazo mstaafu hashauriwi kuwekeza

    SEHEMU AMBAZO MSTAAFU HASHAURIWI KUWEKEZA Fikisha ujumbe kwa wahusika 🎯Volatile investments. aina za wekezaji ambazo bei yake sokoni inaweza kupanda au kushuka its average price anytime. Kama cryptos 🎯High-risky investments. uwekezaji ambao hauna uhakika wa kulinda mtaji wako na faida yako...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Kesi ya jinai inayomkabili Yohana Rugembe na washtakiwa 20 yaendelea Mahakamani, Mashitaka yaongezwa kufikia 11

    Kesi ya jinai inayomkabili Katibu Mkuu Mstaafu wa BAVICHA Taifa, Yohana Kaunya Rugembe, pamoja na washtakiwa wengine 20, imeendelea leo Ijumaa, Februari 6, 2026, katika Mahakama kwa hatua ya kusomwa kwa hoja za awali. Mashitaka 2 yameongezwa na kufanya jumla ya makosa kuwa 11.Upande wa Jamhuri...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kutoka Maktaba: Mstaafu Kikwete alipoomba aachwe apumzike

    Hii ilikuwa mwaka 2016 wakati wa zama za JPM ila kwasasa ni kama anaomba aendelee na madaraka!! Nini kimemkuta mstaafu JK?
  7. Idugunde

    Mstaafu anayelalamikiwa na wanaCCM kuiharibu nchi hakemiwi. Mzee Warioba anayelitakia mema taifa anaonekana mbaya

    Eti kama anataka kutoa ushauri awe anaenda Ikulu. Je kama ushauri anaoutoa fargha unapuuzwa? Kwa nini asiyatoe yake ya moyoni Mzee Warioba. Vipi kuhusu mstaafu aliyepitisha mgombea kibabe mwezi Januari 2025 kiasi cha kuleta mpasuko ndani ya CCM? Kosa lake nini kuongea na Watanzania wenzake...
  8. Chizi Maarifa

    Mbunge Mstaafu Bwege: Serikali isingeweza fungia hata Msikiti mmoja. Siku hiyo kungechafuka sana

    Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu kingewaka. Siku hiyo ndo Kahaba na Makahaba wenzake wangeona cha moto. Maana ni ukahaba tu unaofanya mtu...
  9. S

    Kisa cha rais Mkapa na spika mstaafu Anna Makinda

    Mkapa wakati akigombea urais 1995, alikuwa hafahamiki sana. Hivyo wanaccm wengi, ikiwa ni pamoja na Anna Makinda walikuwa wakiwaunga mkono "Boyz II Men" (nick name ya Kikwete/Lowasa & Co) . Wakiwa Chamwino kwenye kampeni za hapa na pale kabla ya kuanza kwa vikao vya maamuzi, Anna Makinda akiwa...
  10. Ritz

    Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba kuhusu vifo vya Oktoba 29 ni uongo na uchochezi wa kisiasa

    Wanakumbi. Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba Kuhusu Vifo vya Oktoba 29 ni Uongo na Uchochezi wa Kisiasa. Katika Vita ya Kagera (1978–1979), takwimu zinazokubalika kitaifa zinaonesha wazi kuwa Wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha walikuwa 373 Askari wa Kikosi cha Ukombozi cha Uganda (UNLA)...
  11. M

    Wananchi watakuwa wanafungiwa ndani kama kuku mpaka Rais Samia na Mstaafu Kikwete wanyooshe mikono juu?

    Kila kona leo isipokuwa vijijini watu wamekaa ndani na hawatoi hata pua nje. Ila Waandamanaji wamesema wataandamana mpaka Rais Samia aachie nchi. Sasa tutaishi maisha haya kila mara wakiitisha maandamanl?
  12. Cannabis

    PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

    Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila...
  13. Inside10

    Video: Spika Mstaafu, Tulia ajichanganya; amtaja Polepole Badala Ya MC Pilipili Je, Hii ina maana Gani?

    Pitia video hii https://www.instagram.com/reel/DRWg3AgAN-6/?igsh=dTkzMzhlcDE4cHV2
  14. Ojuolegbha

    PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akabidhiwa rasmi ofisi na waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa

    DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
  15. Cute Wife

    PostGE2025 Tulia kuanza kupata mafao kama Spika Mstaafu, sasa ni mbunge na bado hajateuliwa kuwa Waziri! Halafu bado kuna mtu hataki mabadiliko!

    Spika mpya akipatakana na kuapishwa Tulia Ackson atakuwa Spika Mstaafu. Tulia ataanza kula mafao yake halali kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Kustaafu kwa Watumishi wa Kisiasa sura ya 225 [The Political Service Retirement Benefits Act (Cap. 225)]. Mafao hayo yanajumuisha: Kiinua mgongo ambacho...
  16. Richard

    Abdurahman Kaniki angefaa kuwa IGP lakini alinaniliwa baadae akatupwa huko akawa balozi na sasa ni mstaafu na kaacha machapisho kadhaa yenye tija

    Huyu kamanda aliwahi kuingizwa kwenye kinyang'anyiro cha wale waliotajwa kuwa angeteuliwa kuwa IGP kwenye utawala wa hayati John Magufuli. Hiyo ni kwasababu huko nyuma tayari alikuwa Naibu wa Ernest Mangu aliyekuwa IGP tangu Mwaka 2013. Baadaye baada ya kufanyiwa figisu aliendelea na cheo cha...
  17. ngara23

    Rais Mstaafu Kikwete Anampotosha Samia: Wakati Wake Alisimamia Demokrasia, Ajira na Kuepusha Mauaji

    Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya 1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni 2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki. Watu...
  18. kyagata

    Yuko wapi mstaafu kikwete?

    Huyu baba sio kawaida yake. Haiwezi kupita week hujamsikia kwenye chombo cha habari ,ila nashangaa kawa kimya hata kwenye kampeni za wanafamilia wake haonekani mara kwa mara. Yuko wapi huyu baba?
  19. M

    Ni wakati wa Tanzania kumpa maua yake Meya mstaafu Max kwa kuvumbua kipaji cha Alphonce Simbu na majina mengine makubwa kwenye riadha

    Mwanzoni mwa mwaka 2006 nilifanikiwa kuona mtoto kama wa miaka 13 akiwa kwenye kundi la wanariadha waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Ilboru sec, Arusha mida ya alasiri. Alikuwa katoto kwelikweli kiasi kwamba hata wakienda mazoezi ya kukimbia umbali mrefu alikuwa mara zote ni wa...
  20. TODAYS

    Video: Gari lapata ajali likiwa kwenye msafara wa kiongozi

    Kuna video moja a Ambulance ikiwa imezuiwa isiingilie msafara imetrend sana mtandaoni. Ile ambulance 🚑 kila mtu anasema lake, mwingine ina mgonjwa na mwingine haina mgonjwa. Ila mwishoni tukaona inaondoka kama imefukuzwa ma king'ora juu. Ni juzi tu hapo, wkt mgombea urais kwa tiketi ya ccm...
Back
Top Bottom