Ndugu zangu Watanzania,
Kuna uwezekano Mkubwa sana mtu anayejiita Kaka Yake Humphrey polepole Akawa na Matatizo ya akili pamoja na Msongo Wa Mawazo. Ni mtu ambaye ukimsikiliza vizuri na kwa umakini unabaini wazi kabisa ni mtu ambaye hayupo sawa kichwani na pengine ameelemewa na msongo wa mawazo...
Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamepatiwa mafunzo maalum yanayolenga kuwajengea uwezo wa kutambua, kuepukana na kudhibiti msongo wa mawazo unaotokana na mazingira yao ya kazi pamoja na changamoto za kijamii wanazokutana nazo majumbani.
Mafunzo hayo yamenyika leo...
Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy .
Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto kwenye heka 150, zilipona heka 40 ambazo ndo zilikua kwenye matazamio ya uzalishaji , na ndo ilikua kama...
Mpaka sasa nahisi dishi langu limeyumba na Chanel hazisomi kabisaa wanawane..
Tangu October 29 na sasa D9 Hadi Leo nimekua nikikesha na kubugia pombe nakunyandua singo mazasi . kwa kifupi nimekua zezeta kama Lucas Mwashambwa .Yaan kila nikiwaza miaka mingine mitano ijayo chini ya mfalme juha na...
Walianza oohh katiba ya chama na nchi vimepuuzwa. Ukiwaambia tuwekee hapa vipengele vya katiba ya chama na nchi vilivyopuuzwa hawana jibu.
Waliposhindwa kushinikiza wajumbe wa CCM wafanye matakwa yao wakaamua kuungana na wapinzani kutaka kumpindua wakiwahamasisha wananchi kuwa polisi wako...
Wakuu leo kwenye pitapita zangu huko nikakutana na video ya Bwana Polepole kipindi hiko akiwa anapambani katiba mpya mwaka 2014.
Wakati akizungumza alisema kuwa wakati wanakusanya maoni ya katiba mpya aliambiwa kuwa Polisi wana shida nyingi sana, hali zao za kimaisha si nzuri sana.
"Polisi...
Yu Donglai, mwanzilishi na mwenyekiti wa kampuni ya Pang Dong Lai, hivi karibuni ametambulisha sera mpya ya kazi anayoita “likizo ya kutokuwa na furaha.”
Kupitia sera hii, wafanyakazi wanapewa uhuru wa kuchukua mapumziko wakati wowote wanapojisikia wamechoka, wamesongwa na mawazo, au...
Habari zenu wakuu
Kwanza niombe radhi kwa atakaekereka na uandishi wangu maana sio mwandishi mzuri, darasani nilishia la 7
Tukirudi kwenye mada mimi ni mama wa watoto wawili mpaka sasa nina miaka 28 kuna story huko nyuma ya kuumiza ambayo ndio imepelekea mpaka leo nimefika hapa. Kutokana na...
Habari wanajamiiforum.
Muda huu ninaona ni vyema nitoe dukuduku langu ili nipate msaada na ushauri nasaha
Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo).kipindi hicho nilikuwa mdogo kiasi lakini nilikuwa naona vitendo vya hali ya kunyenyekewa sana
Pale...
Msongo Wa Mawazo ni tatizo kubwa barani Afrika, lakini bado haupewi uzito unaostahili. Watu wengi wanateseka kimya kimya kwa hofu ya kuhukumiwa, wakibeba maumivu ya kiakili yanayoharibu afya zao, familia zao, na maisha yao kwa ujumla.
Jamii zetu zimezoea kuficha mateso ya ndani kwa maneno kama...
Daktari bingwa wa watoto kutoka Hospitali teule ya Kibosho Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, Magreth Joseph Swai (30) ameripotiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa antena.
Akizungumza kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa...
“Wakati mwingine unafika sehemu maisha yanakuonesha sura yake halisi. Nimekuwa nikipambana kuinusuru biashara yangu bila mafanikio, rasmi nimefilisika Sina Msaada Kwa mtu yoyote, hakuna mtu mbele yangu ambae namtumainia kama Msaada Kwa kipindi hiki.
Nina familia ya mtoto mke na mtoto mmoja...
Mwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD).
Kiasi cha kuchukua maamuzi ya kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake, ambalo liliungua katika msitu karibu na mji wa Safed uliokaliwa kwa...
Ninamzigo wa mawazo ambao haupimiki kama mnavoniona.
Mimi na pombe pombe na mimi.
Nimekuwa mtu wa kudance popote ninapokuta sebene.
Suti zangu hazinipendezi tena kama zamani
Nikiona watu na wapenzi wao roho inaniuma hata kama hayanihusu.
Hali yangu imefikia huku sasa.
Nisiwasumbue...
Msongo Wa Mawazo Ni Nini?
Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku.
Kwa kawaida mtu hupata msongo wa mawazo pale anaposhindwa au kukosa namna ya kukabiliana na jambo linalomsumbua...
Poleni na majukumu ndugu zanguni .
Ni siku nyingine tena tunakaribia kuifunga Mwenyezi Mungu ametujalia kwa tuliobahatika kuiona na tunapoelekea kuifunga .
Mimi ni kijana umri wangu miaka 30 , mpaka sasa nina watoto 02 kila mtoto na mama yake , mtoto kwanza ilikuwa enzi za ujana wangu...
Ulivyo wewe sivyo alivyo mwingine hivyo mtihani wa kwanza wa kupambana nao ni jinsi ya kuishi na watu bila wao kukuharibia siku yako.
Huu ni mtihani kwako kwa sababu wewe ndio unatakiwa ujifunze kuishi nao na sio wao wajifunze kuishi na wewe hivyo hawana habari utaumia au la ila wataishi vile...
SAFARI YA AKILI HURU: Mwaliko wa Kufikiri kwa Uhuru
Na: Mwandishi Wako
Swali hilo, japo rahisi kwa matamshi, linatetemesha msingi wa maisha ya kila mmoja wetu. Lakini kwa bahati mbaya, wengi wetu hatupendi kujiuliza. Tunashughulika, tunakimbizana, tunatii... ila hatufikiri.
Karibu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.