Leo nimemtembelea ja.aa yangu. Mtoto wake alikuwa rafiki yangu sana.
Kabla hajapelekwa Boarding kwa sababu zisizozuilika alikuwa mchangamfu, mbunifu, anaonyea leadership skills akiwa na wenzake, anahoji maswali ya maana lakini huyu niliyemkuta sasa ni mwingine kabisa.
Muoga sana.
Ujasiri wote...