msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Mike Moe

    Aidan Msigwa amfunika Nasibu abdul(Diamond Platinumz) kwa utajiri

    Mchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu aidan msigwa nadhani mpaka sasa atakua amemfunika ndugu diamond platinumz kwa utajiri baada ya kufanikiwa kusajili na kuuza madini ya dhahabu kilo 111.82 yenye thamani za kitanzania shilingi bilioni 20.11 katika soko la madini chunya
  2. ndege JOHN

    Mch. Peter Msigwa yupo live kwenye kipindi cha Medani Za Siasa cha Star TV

    Mchungaji Peter Msigwa kada mpya wa CCM yupo live Star Tv. Fungulia tumsikilize Soma Pia: Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu
  3. Tlaatlaah

    Kuna kila dalili na uwezekano Freeman Mbowe na Mchungaji Msigwa kumaliza tofauti zao nje ya mahakama

    Ama kweli siasa sio uadui, na hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa.. Wabobevu na manguli wa siasa za Tanazania wameamua kujitosa na kuchukua hatua za kuingilia kati ugomvi wa kisiasa na kutuliza vita ya maneno, kashafa na tuhuma za kisiasa baina ya F. Mbowe mwenyekiti wa chadema taifa na...
  4. Mshana Jr

    Je, Msigwa ndani ya CCM ni assert ama ni liability?

    Inaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa. Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati...
  5. M

    Sio Soka tu, hata msigwa tumombee dua

    juu ya yote, tumuombee dua Msigwa. hayupo vizuri ameunja record record za dunia. haiziwekani kakaa na Mbowe miaka 20, ghafla dakika 1 imekuwa adui. Hakuna mtu duniani sample hio hakuna .tangu ianze siasa za vyama vingi hii haijawahi kutokea, ndio kwanza tunaona. labda tusema mmoja akiingilia...
  6. Ritz

    Mbowe jibu hoja za Mchungaji Msigwa, acha kumtisha. Umepoteza ushawishi kwa Watanzania

    Wanaukumbi. MBOWE KATAPIKA MAPEMA SANA WAKATI KAZI NDIYO INAANZA NI KICHEKESHO sana kwa Mbowe ambaye ni kinara wa kuropoka kauli za hovyo na za uongo juu ya CCM ,serikali na Rais Samia ambazo wangeamua kumpeleka mahakamani basi angekuwa na kesi mpaka mahakama ya mwanzo Buguruni kwa kuwa...
  7. R

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa, taratibu zimefuatwa kujiuzulu Kwa Mzee Kinana?

    Salaam, Shalom!! Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk. Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa, Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako...
  8. D

    Kesi ya Mbowe kwa Msigwa. Niko tayari kuwa shahidi wa Msigwa

    Ninao ushahidi usioacha shaka kutetea kauli ya Mch Peter Msigwa kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anatumia chama hicho kama saccos binafsi tena ya familia. Na kwamba anatumia Mbowe Foundation kukwiba fedha za chama hicho (ruzuku). Hata 2010 katika Uchaguzi mdogo jimbo la Busanda...
  9. THE BIG SHOW

    PreGE2025 Mch Msigwa: Mbowe na CHADEMA hawana tena ujumbe kwa Watanzania

    Friends and Enemies, Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv. Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira. Kwa Mfano anasema,mbowe...
  10. J

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe siyo Msakata Rhumba maarufu ndio sababu hadi sasa bado yuko Jukwaani japo muda umeisha!

    Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka. Soma Pia: Peter...
  11. L

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa aendelea Kuwavurumishia Makombora Mazito CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa peter Msigwa ameendelea kuvurumisha Makombora Mazito mazito kwa CHADEMA,ambayo yameonekana kuteketeza na kusambaratisha kabisa kambi zoote za CHADEMA na kuwafanya askari wake kuishi kwa kutanga Tanga muda wote. Mtumishi huyo wa Mungu...
  12. L

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa Awakaanga CHADEMA kwa Ujumbe wa Picha

    Ndugu zangu Watanzania, Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahia maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kujuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania. Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa...
  13. Tulimumu

    PreGE2025 Peter Msigwa na Upendo Peneza ni watumwa wa kisiasa

    Kuna utumwa wa aina nyingi ukiwemo wa fikra, ngono, kutumikishwa na pia huu wa siasa ambao Msigwa na Peneza ndo unawahusu CCM sasa hivi kazi yao ni kuitisha mikutano halafu wao wanakaa background wanawatanguliza Msigwa na Peneza ili kuishambulia CHADEMA huku wao wakiwacheka hasa wanapokosea...
  14. ndege JOHN

    Kwa anayejua ukweli wa dokta msigwa anayetibu ukimwi

    Kuna rafiki yangu fulani amenithibitishia kuhusu ndugu yake aliyepona VVU baada ta kunywa dawa ipo kama chai alienda magomeni ama clinic yake kwa dokta anaitwa tr msigwa hata youtube video zake zipo anajinasibu anatibu ukimwi na magonjwa mengine.Binafsi mimi nina mashaka kwani tumefundishwa na...
  15. S

    Boniface Jacob azua jambo kuhusu kingereza cha Msigwa. Msigwa ajibu na kuendelea kuharibu

    Someni, mimi siongezi wala sipunguzi neno: Baadae Msigwa akajibu.
  16. S

    PreGE2025 Mbona Msigwa hana jipya huko CCM? Inaonekana amehama na furushi la dosari za Mbowe tu

    Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake tangu ahamie ccm amekuwa akimlaumu Mbowe kila apatapo nafasi ya kuongea kwenye majukwaa. Manufaa ya...
  17. R

    Lissu, kuondoka Msigwa is not an issue, the issue should be “Is CHADEMA crumbling due to his defection”?

    Issue ni Je kuondoka kwa Msigwa, Chadema imeteteleka? Is Chadema crubmling due Msigwas's cross over the floor/defecting to CCM? haya ndiyo maswali ya Msingi. Watu wa maana ni wengi lakini kuna mtu akiondoka mnatikisika. Msigwa alikuwa wa maana, sawa lakini umaana wake ni kwa kiwango cha kuwa...
  18. L

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ni saccos ya mtu

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada mtiifu na Mzalendo kwa chama cha Mapinduzi na ambaye anajutia uamuzi wake wa kupoteza nguvu zake na muda wake wa miaka takriban 20 kuwa ndani ya CHADEMA. Amsema kuwa CHADEMA ni Sacco's ya mtu ,ambapo...
  19. Uchumi TV

    Mch Msigwa asema matumaini yapo CHADEMA akihutubia mkutano wa CCM

    Hata hivyo haijajulikana mara moja kama alimaanisha au alitaka kusema Tumaini lipo ndani ya CCM. bado hakuweza kupataikana kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo Alikuwa akiongea katika mkutano mmoja mkoani Kagera. Hotuba yake nzima unaweza kuitazama katika link hapa chini...
  20. Bams

    Intelijensia ya CHADEMA ilishindwaje kubaini mipango ya Msigwa kabla hajatoka?

    Ni dhahiri, Msigwa alipojiunga CHADEMA, kama ilivyo kwa wengi waliokuja kukengeuka baadaye na kuamua kuwa mapandikizi, alikuwa ni mwanachama halisi aliyekuwa ameamua kuwa CHADEMA. Lakini wakati wa uongozi wa Magufuli, bila shaka, kwa hulka yake ya tamaa ya cheo, alishindwa kuhimili kuishi bila...
Back
Top Bottom