Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.
Mh Tundu Lissu amekuwa akinyooshea kidole kitendo cha Mwenyekiti wake kushiriki katika maridhiano na CCM. Amekuwa akisema kuwa CCM hawaaminiki.
Kwakuwa Lissu anakiri kuwa anamwamini Mchungaji Msigwa na ndiye aliyeshika chupa ya damu toka Dodoma hadi Nairobi, basi CCM impe jukumu mchungaji...
Kuna baadhi ya watu wanashangaa ukengeufu wa Msigwa. Wengine wanahoji kama ana utimamu wa akili ama kawehuka.
Lakini lazima tukubaliane kuwa sote kama watanzania tunao ujinga wa kihalaiki.
Ujinga wetu mkubwa ni kuwategemea sana wanasiasa kusimamia maslahi yetu bila sisi kuwasimamia wao...
Kuna uwezekano Mama yetu Samia anahujumiwa. Serikali ichunguze wasimamizi wa Mradi wa vijana BBT- Mifugo.
Kuna haya mambo yanayotia kinyaa;
1. Vijana waliahidiwa kukaa mwaka mmoja kambini wakipata mafunzo ya unenepeshaji mifugo. Kinyume, wamekaa mwaka mmoja na nusu kwa mahangaiko yasiyo ya...
Nimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote haya. nimemdharau sana. ni kweli Mbowe anaqeza kuwa ameitoa Chadema kwenye misingi yake lakini haya...
"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu...
Wiki tatu zilizopita hapa hapa JamiiForums niliandika na kutahadhirisha kuwa CHADEMA hakuko salama mkadhihaki. Sijui ni kwanini mnashindwa Kukubali kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu hakuwapa Utajiri wa Mali na Pesa bali kawapa ule wa Akili Kubwa, Maono na Maarifa mengi ya Kiuchambuzi...
Peter Msigwa Mlaji wa matapishi yake
Uamuzi wa Peter Msigwa kuhama kutoka Chadema kwenda CCM unaacha alama mbaya katika siasa za Tanzania. Ni tukio linalofungua mjadala kuhusu uaminifu, uadilifu, na misingi ya uongozi. Msigwa, aliyewahi kuwa kiongozi mashuhuri ndani ya Chadema, sasa anaonekana...
CCM inazidi KUVUNA. Hali tete Chadema.
Ukitafakari sana unaweza kudhani mpinzani halisi ni Luhaga Mpina kumbe Peter Msigwa ndiye CCM kindakindaki. Najua hujaelewa. Iko hivi; ndani ya CCM wanaamini Luhanga Mpina amekuwa mpinzani dhidi ya serikali ya CCM ambayo kimsingi ndiye iliyompa kibali cha...
Msigwa sio wa kwanza kuondoka CHADEMA kuhamia CCM. Wapo waliotangulia kabla yake, kwa hiyo tunasema amefuata nyayo za wenzake akina Waitara, Silinde na wengine wengi. Kwa upande wa CHADEMA hili ni pigo kwa namna yoyote ambavyo watalichukulia, lakini kwa CCM ni mtaji. Na mitaji kama hii huwa CCM...
Heshima sana wanajamvi.
Mchg Msigwa kahamia CCM baada ya kushindwa nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda na Mh Sugu.
Mchg Msigwa kaenda CCM baada ya kushindwa na kukubali kushindwa,lakini siku mbili baada ya kutoa pongezi kubwa kwa Mh Sugu alianza kubwabwaja na kutoa shutuma dhidi ya uongozi pasipo...
Moderators naomba msifute uzi huu.
Ngoja tutabiri (tu bet)Msigwa atapata nafasi gani ya uteuzi CCM
Mimi nasema atapewa nafasi ya kuwaumiza chadema kama Mkuu wa wilaya/ Mkuu wa mkoa aweze kuwasweka ndani maana atakuwa ni mwenyekiti wa ulinzi wa wilaya/Mkoa.
KARIBU MHE BABA MCHUNGAJI PETER MSIGWA CCM.
Na Elius Ndabila
0768239284
Nimeona mjadala mkubwa juu ya ujio wa Mhe Baba Mchungaji Peter Msigwa CCM. Wapo wanaofurahia ujio huo na wapo wanaoponda. Wote wapo sawa. Mimi kabla sijatoa hoja zangu ninaunga mkono ujio wa Mhe Baba Mchungaji Peter Msigwa...
Mpendwa MCH. Peter Msigwa, Umekuwa mwanachama mtiifu Kama siyo mwaminifu nionavyo Mimi katika chama chako tangu umejiunga nacho 2000+ vita ulipigana , vita vile vya heri na fitina ulivifaulu saaana hongera saana.
Hatimaye Leo umejiunga na Adui wako na chama chako wa takribani miaka 30...
Siasa ni biashara nzuri sana. Binafsi naipenda. Msigwa baada ya kuona ugumu wa kufanya biashara CHADEMA ameamua kutimkia CCM.
Nadhani wananchi maskini na wanyonge mna la kujifunza hapo.
msigwa atakua mkuu wa mkoa,au mkuu,wa wilaya au cheo chochote chenye mshahara wa 5m+
amechanga karata vizuri alikua na option mbili abaki chadema akose pesa au aende ccm apate pesa.
sadly ni kwamba kuna wanaccm kindakindaki yani wafia chama ambao nafas/iteuzi yao imechukuliwa tayari na mtu...
Baada yabuchaguzi wa kanda ya nyasa na matokeo kutangwazwa aliyekua mgombea wa ukanda huo kwa nafasi ya uanyekiti leo katimkia ccm. Katika matokeo ya uenyekiti wa kanda hiyo ambapo mheshimiwa Joseph mbilinyi aliibuka na ushindi wa 51% na mgombea mwenza mheshimiwa Mchungaji Msigwa aliibuka na...
Lissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo?
Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.