msiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maandalizi ya msiba

    Oya masela na mademu wa jf hivi nani hili jambo lilishamtokea yeyote kati yenu? Pale ambapo jirani yako anakaribia kudanja kwa ugonjwa mbaya maybe cancer au mshtuko wa moyo halafu wewe ukishajua kua kwa taarifa za ndugu zake kua "huko hospitali flani bin flani kwakweli amezidiwa na hatuna...
  2. M

    Natamani sana Msiba wa Mzee Mkono wajae Watani wa Wazanaki na Wasukuma ili Wamchane Mjane na Bintiye Leah

    Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono. Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
  3. Utawala wa Magufuli ulikuwa Msiba uliokosa Matanga

    Nchi ilikuwa Gizani, Wajinga hadi leo wanaamni Magufuli hakuwa fisadi kubwa. Tunafiwa sisi Msiba kwake. Kazi tulifanya sisi kazi Mshahara Watu wa Geita. Kimara wanabomolewa nyimba, lakini Wasukuma wa Mwanza akadai walimpigia Kura Wasibomolewe. Mafisadi akasema ni Wahujumu uchumi, akataka...
  4. KAHAMA: Wezi waiba sadaka msikitini, waacha msiba kwa familia ya mlinzi

    Watu wasiojulikana wamemchinja mlinzi aliyekuwa akilinda katika msikiti wa Shree Hindu Mandal Temple uliopo mjini Kahama kisha kuiba sadaka na kuharibu vitu vya thamani vilivyokuwa kwenye msikiti huo na kutokomea kusikojulikana. Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Bakari Karasani (46) ambaye...
  5. R

    Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

    Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha msiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania? Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa...
  6. Kama masihara tangu msiba wa kitaifa 17-03-2021 wanawake wamepindua meza kwa kila kitu

    Hello mambo aje JF! Kama masihara ila ukiangalia kwa darubini kali kuna kitu kimejificha tangu tupigwe tukio la msiba wa kitaifa 17-03-2021 kuna namna wanawake wamepoteza Ile nafasi yao na heshima kwa wanaume na imekuwa kama masihara hata wao hawaamini kama meza imenduka na wana hali fulani ya...
  7. Mpira wa miguu ni mchezo unaokutanisha msiba na harusi kwenye uwanja mmoja

  8. Yanga kupeleka mwakilishi kwenye msiba wa Pele ni suala la kupongezwa na kila mtu

    Suala la Yanga kumtuma ndg Andrew Mtime nchini Brazil katika shuguli ya msiba wa Pele Ni suala la kupongezwa na kila Mtanzania. Ndugu Andrew aliondoka nchini tarehe 31.12.2022. Pamoja na kuwa watu watakaoshiriki mazishi ni familia pekee, Kuna taarifa isiyo rasmi inasema kuwa mwakilishi huyo...
  9. Q

    TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro. === Balozi wa Tanzania...
  10. P

    Majaliwa na maana ya uokoaji, Precision Air na deni kwa kijana huyu

    Yanasemwa mengi juu ya ajali mbaya ya ndege ya Precision Air kule Bukoba ikiwa imebakiza mita 150 kabla haijatua. Kila mwenye ujuzi wa kuandika anaandika kila mwenye maarifa ya ukosoaji anafanya hivyo kwa nguvu kubwa. Kijana Majaliwa mwenye kujishughulisha na biashara ya dagaa ndiye aliyeibuka...
  11. Hii game tumeshaimaliza Waarabu wanachinjwa Hapa na Mazishi yao hapa hapa kwao tunapeleka Msiba tu

    Imeisha hiyo Jangwani tutembee kifua mbele. Sisi tunapambana sana nje ya uwanja nanyi mkapambane. Tunashukuru Nabi baada ya kuona amekalia kuti kavu ameacha ubishi kwenye kupanga kikosi. Leo tunampiga mwarabu 3 hapa. Arude kwao akale tende na halua. Hii ndiyo yangaaaaaaaaa. Unbeaten and will...
  12. Je, tutumie Msiba wa Malkia kama darasa somo la Organization, Simplicity, Humility na Humbleness au tukomae na misafara yetu na ubosi wetu?

    Wanabodi, Huku kwenye mitandao ya kijamii mjadala wa viongozi wetu kupandishwa basi moja ugenini jijini London, kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth, imeendelea kushika kasi, hivyo hili ni bandiko la swali. Je, tuutumie somo tulilolipata kwenye Msiba wa Queen Elizabeth kama Shamba Darasa la...
  13. Kuhusu Rais wetu na wenzake kupanda basi kwenye msiba wa Malkia Elizabeth II

    Wanajamvi habarini? Nisiwachoshe sana ngoje nitoe madini kidogo kuhusu itifaki ilitomika kuwabeba vichwa vya dola (Head of states ) huko kwenye msiba wa bi Elizabeth na kuwa ngumzo huko mitandaoni. Tuanze kwanza kwa kuangalia kitu kinaitwa "order of Seniority and precedence" hii maana yake...
  14. S

    Hatujaona mtu akizimia Uingereza, kwenye msiba wa fulani hapa Tanzania kulikuwa na FUTUHI ya watu kuzimia

    Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno. ...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera. ...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki. ...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia...
  15. Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  16. Afadhali huu Msiba wa Malkia Elizabeth umemkuta Rais Samia. Dkt. Magufuli ninavyomjua asingeenda. mama kafungua nchi

    Nafarijika sana napomuona Rais wangu samia anajichanganya. Anafungua nchi sana aisee... Nimemwona kwenye mwendokasi la huko England akienda msibani kwa Malkia Elizabeth. Afadhali Malkia kafa kipindi hiki. Ingekuwa miaka miwili ago. Magufuli namjua asingeenda. Hivyo nchi isingefunguka...
  17. Maisha haya aisee, jana ilikuwa harusi leo imekuwa msiba

    Wakuu, hapa mtaani kwangu kuna ndugu yetu nyumbani kwake kulikuwa na harusi(mtoto wake alikuwa anaoa). Ndoa imefungwa vizuri kabisa, watu tumekula ubwabwa mpaka basi, na wanywaji wamekula bia mpaka basi. Cha kusikitisha leo asubuhi mzee wa watu kaenda Kibaoni kununua pumba za kuku wake...
  18. Vurugu zaibuka msiba wa watoto matajiri wa Arusha, mwandishi wa Ayo TV anyang'anywa camera

    Katika hali isiyo ya kawaida vurugu zimeibuka katika msiba wa watoto wawili wa matajiri jijini Arusha ambao walikuwa ni wachumba waliofariki ajalini jana ambapo zimepelekea mwandishi wa habari kutoka AyoTV kunyang’anywa camera. Mbali na kunyang’anywa camera mwandishi huyo alinyang’anywa kadi...
  19. K

    Jinsi kuku walivyonizuia kuhudhuria msiba wa kaka yangu

    Ilikuwa mwaka 2011 nilipata kazi ya mkataba wa miaka 2 kijiji kimoja cha huko kwa wahaya Kutokana na kukuta huko bei ya kuku iko chini nilianza kuwanunua kidogo kidogo ili wakiwa wengi niwe naenda kuwapush Town baada ya miezi mitatu nilikuwa na kuku zaidi ya 40 ambao nilikuwa ninawahifadhi...
  20. Q

    Msiba kwa wanaofanya biashara ya kuagiza vitu China

    Poleni na majukumu kuna rafiki yangu amenipa hii habari ni kama sijaamini vile ina maana kuna utapeli mpya mjini au ni hivi nasikia 80% ya mizigo inayoingizwa na hawa wafanyabishara inaagizwa na dada mmoja anaitwa cecy akishirikiana na wifi yake Rehema na wamekuwa wakifanya hii biashara kwa muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…