msemaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli hii Furaha ninayokuona nayo sasa umeitoa wapi na inatokana na nini?

    Naona hadi umewaahidi Watu kadhaa Lunch Offer baadae Mchana hapo Posta. MImi Rafiki yako Mkubwa na Mdau wako wa Habari na Mawasiliano naomba kujua hii Furaha yako imetokana na nini?. Hebu shea nami basi Comrade Oky?
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Msemaji Kasema: ''Uongo Ukisemwa Sana Hugeuka Kuwa Kweli''

    Waswahili tuna msemo, ''Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atatambua.'' Mimi nimelitambua fumbo na wapi limeelekezwa. Tatizo ni historia ya uhuru wa Tanganyika. Msemaji kaandika anasema: UONGO UKISEMWA SANA HUGEUKA KUWA UKWELI SEHEMU YA KWANZA Mtanange wa leo hii ni kuhusu Harakati za Uhuru wetu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga adaiwa kutapeli Tsh. Milioni 83 za pafyumu

    Nimeleta huu uzi kama tetesi za zilipotokea pia, maana mtu mwenyewe anayehusika hapa hachelewi kulialia na ku play victim Kutoka ukurasa wa jamaa anyejiita Chaz lee huko facebook
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kuwa msemaji wa Simba chini ya CEO Barbara

    Simba ni kubwa mno kuwa na CEO kama Barbara. Kwa waislamu ni dhambi kusema uongo makusudi, Ahmed Ally kijana wa watu anapitia kipindi kigumu sana kinachomfanya aharibu dini yake. Analazimika kusema uongo kwa kujua au kutokujua ili tu kuifunika Simba isikae uchi. Atafanya hivyo hadi lini?
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza na Wanahabari leo Juni 12, 2022 Jijini Dodoma

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo ya Serikali katika mkutano na waandishi wa habari leo Juni 12, 2022 katika Ukumbi wa Ofisi za Idara ya Habari-MAELEZO, Dodoma. MSIGWA...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ukiona inafaa chukua huu Ushauri wangu wa bure Kwako

    1. Jikite katika Uhalisia wa Masuala na siyo Propaganda 2. Acha kutumia muda mwingi kutafuta Mipasho ya Kujibizana na Mwana Mipasho Mwenzako Haji Manara. 3. Jikite hasa katika Kuitangaza Simba SC Kimataifa na Kisayansi zaidi 4. Acha kutoka nje ya Uweledi wako na kuanza kuwa Mswahili Mswahili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kwa Uongo wako huu mkubwa Umejiaibisha na Umewadharaulisha wana Yanga SC wote duniani

    Jana kama kawaida yako ya kupenda Kujimwambafai na kujifanya unajua Mambo wakati Kiuhalisia huna ukijuacho kwa Kujiamini Kwako Kipuuzi ulisema (na nasikitika waliokuwepo Ukiwadanganya) walikuamini uliposema kuwa Msimu ujao Simba SC ndiyo itaanza Kucheza hatua za mwanzo Mechi za Klabu Bingwa...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Putin, Mr. Peskov anakiri wamepoteza kwenye vita na Ukraine

    Msemaji wa Putin, Mr. Peskov anakiri wamepoteza kwenye vita na Ukraine, amesema wamekiri kutofanikiwa Kwa kasi Kama walivyodhani, na hii ni kutokana na wageni kuingilia operation yao huko Ukraine. Peskov kasema Mrusi anayenuka jasho hapo Sinza Kwa Remmy anabisha Britanicca
  9. V

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba unaanza kuharibu

    Wapendwa nimemuona msemaji wa Simba huko YouTube akimtembelea na kumpongeza mzee aliyekuwa na kitochi uwanjani. Hii si sawa kwani anahamasisha vitendo vya utovu wa nidhamu unaoweza kuigharimu timu. Kesho watu wakija na vitochi zaidi tena vyenye mwanga wenye madhara atafanyaje? Nilitegemea...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara (Msemaji wa Yanga SC) katamba kuwa Wameuza mno Jezi Msimu huu sasa mbona wamezipunguza Bei?

    Kwenu Wabobezi wa Marketing hivi Kupunguza Bei ya Bidhaa ili Uuze nyingi na Utambe kwa Watu ndiyo Mafanikio Kibiashara au Mafanikio zaidi ni Kuuza kwa Bei ya Juu hata kama utauza Chache ile utaingiza Pesa nyingi na pia Utakubalika kwa Ubora ( Quality ) ya bidhaa? Leo Klabu ya Yanga imeamua...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Manara (Msemaji wa Yanga SC) acha Unafiki na Kujifanya mwema, halafu nani Kakudanganya kuwa Adui yako mkubwa Dauda ndiyo Mightier wa JF?

    hajismanara Jana nilipoona hii taarifa usiku ilinistua sana na kunifadhaisha mno, huwa najisikia shida nikiona mtu nimjuae akiingia ktk matatizo yoyote yale no matter what. Binadamu hatupaswi kufurahia pale mwenzetu anapopata mitihani au vitu kama hv, ingawa baadhi yetu tumekuwa na desturi ya...
  12. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Ukimsikiliza Msemaji wa Yanga SC utaona analalamika sana kuliko kukumbusha

    Ukimsikiliza Msemaji wa Yanga SC Haji Manara unaona mstari ni mwembamba sana unaotenganisha malalamiko na kukumbusha unahitaji Microscope kuuona mstari huo. Chanzo: Clouds FM
  13. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

    Hakika Nani Kama mama, hakika anaupiga mwingi! Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!! Ni hivi kwa wale watumishi wa umma, hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu Rais wa watu, yaani Kama una mkopo Bank...
  14. Little brain

    JamiiForums Tanzania Huyu msemaji mpya wa simba ni kituko kwa kweli

    Utadhani rufufu
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kama Msemaji wa Azam ni mtu wa hovyo

    Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi. Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Ujenzi daraja la Wami wafikia 70.4%. Kukamilika Novemba 2022

  17. Hadrianus

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally wa Azam TV Msemaji Mpya wa Simba

    Amewahi kuhudumu Sahara Media & Azam Media Ni kijana mchapakazi, mwenye uhusiano mzuri na watu wa aina zote, mtanashati na kubwa zaidi mapenzi yake kwa Simba hayapimiki. Ahmed Ally karibu kwenye klabu ya maisha yako kuwatumikia Wanasimba kama Afisa Habari na Mawasiliano. #NguvuMoja
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhamia Yanga SC na kuidhalilisha Simba SC, leo Haji Manara akishinda tuzo ya msemaji bora wa Simba SC ataikataa?

    Huenda leo kuna Mtu akadhalilika na Kujichoresha kwani anaenda Kupokea Tuzo ya Mhamasishaji na Msemaji bora ya TFF akiwa Simba SC ambayo ametumia muda mwingi Kuichafua na Kuidhalilisha baada ya kuhamia Yanga SC. Alivyo mtupu Kichwani najua akishinda ataenda Kuipokea ila kwa mwenye Akili Timamu...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati Msemaji wa Yanga SC Haji Manara akitaka Kuigombanisha Serikali na CAF hivi ndivyo Mchambuzi Bora EFM Jemedari Said alivyomuelimisha

    "Yanga SC haihusiki kabisa na Kupima COVID-19 Wachezaji wa Timu ngeni na waulizwe Serikali ya Tanzania. Na kuhusu hao Mashabiki kuingia waulizwe TFF na Watu wa Wizara na siyo Sisi Yanga SC" Haji Manara Msemaji wa Yanga SC. "Haji Manara na Yanga SC yake wasitake Kutupa lawama kwa Watu wengine...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania

    Prof. Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania. Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na...
Back
Top Bottom