msemaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole kachemka, bora angemtafuta msemaji mwingine kusema maneno yale

    Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025, kweli asingesema maneno hayo. Kitu sahihi cha kufanya katika hali hiyo ni kuingiza maneno hayo katika...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: Abwabwaja kuishambulia Israel bila kusita!

    Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: "Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu." “Mytake” Ikiwa kweli walirusha makombora 2,000 na UAV, ambayo ni karibu 1% tu iliyotua katika eneo la Israeli. Basi...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Msemaji wa Timu moja namsubiri sana tuone atakavyowadanga 'Majuha' aliowazoea pale Msimu mpya wa NBC Premier League ukianza August 2025

    Na namshauri tu kama akiweza safari apige kimya na awaachie Viongozi wake ndiyo wawe Wasemaji ila siyo Yeye tena.
  4. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Msemaji Wa Houthi: Tutashambulia kambi zote na manuwari zote za US ikiwa US itaigusa Iran

    —❗️🇺🇸/🇾🇪/🇮🇷 BREAKING: The spokesman of Yemen's Ansarallah, Yahya Saree, confirms that Yemen will target all American navy and commercial vessels in the Red Sea and Bab Al-Mandab if the U.S. bombs Iran @Middle_East_Spectator
  5. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chadema tafteni msemaji mzuri kwa ajili ya press ili aonngee kwa niaba ya wakili rugemalila nshala kigugumizi chake kinaumiza kichwa

    Mwanasheria mkuu wa chadema ndugu Rugemalila Nshala ni msomi mzuri sana na ni wakili mzuri sana na mkongwe tunampenda. Lakini katika press conference ya kuoongea na waandishi ili ku-summerize taarifa amekuwa na kigugumizi kingi kinachoumiza kichwa kumuelewa na kumsikiliza! Hivyo kama wafuasi...
  7. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema atetea Maamuzi ya Tume ya Uchaguziji dhidi ya CHADEMA

    John Mrema, kwenye conference yake ya leo na wanahabari, kwa mtu ambaye hamjui, angedhani ni msemaji wa Tume ya ucjaguzi. Wale waliokuwa na mashaka na G55 unayoongozwa na John Mrema, leo wamepata jibu la wazi. Katika kikao chake na vyombo vya habari, Mrema ametumia muda wake mwingi kuonesha...
  8. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na Sky News : Msemaji mkuu wa serikali ya Israel kujibu maswali muhimu aliyoulizwa

    Moja kwa moja. Juzi juzi nilikuja na mada chini hapo kuhusiana na tukio la IDF kuua watu wanaotoa Huduma za kitabibu Gaza wakiwa kwenye ambulance na kueleza uongo wao katika taarifa ya awali waliyotoa kuhusiana na tukio hilo amabalo sasa hivi limezidi kuchafua taswira mbaya ya IDF baada ya...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ukiniambia kuwa unawatia Moyo wana Simba SC Wajaze Uwanja Jumatano sawa, ila Kumfunga Al Masry tarehe 9 sahau sawa?

    Ni bora nichukiwe kwa kusema Ukweli na kutokuwa Mnafiki kuliko Kuwafurahisha Wapumbavu na Washamba wa Mpira.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa klabu ya yanga anatakiwa kuwa muungwana

    Msemaji wa Klabu ya Yanga kila mara amekuwa akitoa maneno yasiyo na staha. Mfano hai ni pale alipokuwa mjini Tabara alitamka wazi kuwa Mkuu wa Mkoa hataalikwa kuja kula nyama siku ya Iddi. Kwa maneno mengine Mkuu wa Mkoa ndiye Mwakilishi wa Rais katika Mkoa ule ni kama maneno hayo...
  11. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Msemaji wa Waasi wa M23 Willy Ngoma Alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC

    Mapokezi ya Msemaji wa waasi wa M23 wanaoungwa Mkono na Rwanda Willy Ngoma alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC. Video hii inaonyesha akipiga stori na wanajeshi wa SADC Kutoka Tanzania , akiomba pia mualiko wa sikukuu ya Eid El Fitr kula pilau jijini Dar es Salaam. Pia majeshi ya SADC...
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Hamas auawa na Israel

    Msemaji wa kundi la wanamgambo la Hamas Abdel-Latif Al-Qanoua ameuawa katika shambulio la anga la Israel kaskazini mwa Gaza. Taarifa hizo zimeripotiwa na vyombo vya habari vyenye mafungamano na Hamas mapema leo, akiwa ni kiongozi wa juu kuuawa hivi karibuni tangu Israel ianzishe tena operesheni...
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Hamas, Abdul Latif al-Qanou, auwawa huko Jabalia.

    https://youtu.be/q8uXdVufUEs?si=cgGrgR7FdEkqomkl Maskini Hamas! Mpaka wanatia huruma. Wale kati yao walio na akili watakuwa wanajutia sana uamuzi wao wa Oktoba 7, 2023. Msemaji wao aitwaye Abdul Latif naye Israel wamwmuua! Hamas ni kundi linaloongozwa na watu walio wapumbavu [stupid] sana...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ni kweli CCM mmemtuma Msemaji wenu Amos Makalla aseme huu UCHAFU ambao kiukweli unawatia AIBU?

    Nimejiuliza maswali mengi sana na nimebakia tu kuwa na Aibu kwani CCM ni Chama ambacho nakishabikia (japo siyo Mwanachama) na yawezekana kwa huu UCHAFU ambao uko Ubongoni mwa Msemaji wa CCM Amos Makalla ukanifanya niendelee kuwa Mzito wa kutaka kuwa Mwanachama halali wa CCM. Hivi CCM ambaye...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza kutoka Bandari Kavu ya Kwala, Mkoani Pwani, Machi 16, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Oasgj4g9Yvc Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa anazungumza na Waandishi wa Habari kutoka Bandari Kavu ya Kwala, Mkoani Pwani Akizungumzia miradi iliyosajiliwa kati ya mwaka 2021 Machi hadi Februari 2025...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Bondia Dulla Mbabe alisubiri Kwanza hadi apewe na Rais Samia Tsh Milioni 2 kupitia Msemaji Msigwa ndipo aseme si Mitano bali Kumi tena?

    Yaaani Bondia Dulla Mbabe kapigwa, Rais kampa Tsh Milioni 2, ila Chama cha Mabondia Tanzania hakijapewa chochote.
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amezungumzia Mkataba wa Bagamoyo

    https://www.youtube.com/watch?v=VJmfnduWSJk The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa inazozitoa kwa wananchi, Sakata la bandari Bagamoyo, matukio ya utekaji, utekelezaji wa miradi ya...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hapa kwa Kumjengea Nyumba Mama yako ili aishi na siyo Waishi sote na Baba yako umechemka vibaya mno

    Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live from King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri, TEF

    Wanabodi, Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF Karibuni. Paskali
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nashauri msemaji ya Tabora united asibugudhiwe, ila ataniwe TU

    Huyu ni dada yetu, ni mpenda soka mwenzetu, na anaifanya soka ipendwe zaidi na wanawake/wasichana. Naomba wanaume wenzangu kwa vyovyote vile mtanieni utani wote lakini nawashauri msimtanie utani usio faa, usio katika maadili ya taifa letu na hususan msimtanie mambo yanayokwaza kwa jinsia yake...
Back
Top Bottom