msd

MSD Capital is an American private investment firm that manages the capital of Michael Saul Dell and his family. The firm, which is based in New York and has offices in Santa Monica and West Palm Beach, was formed in 1998.In 2009, the principals of MSD Capital formed MSD Partners, an investment adviser registered with the U.S. Securities and Exchange Commission, to enable outside investors to invest in strategies that were developed by MSD Capital. Among other things, MSD Partners makes control equity and structured preferred investments through its MSD Private Capital Group.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    CAG Kichere: MSD ilikuwa na dawa zilizo ‘expire’ za Tsh. Bilioni 18.74, zilizoharibika Tsh. Bilioni 707.82

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam, amezungumzia kuhusu ripoti ya utendaji wa Bohari ya Dawa (MSD). Ameeleza kuwa amebaini kuna uhaba wa dawa na udhaifu katika...
  2. Sifi Leo

    Mh Rais naomba umpatie tuzo Dudubaya, na mkurugenzi MSD, mwongezee cheo kwa wizi wake.

    Dudu BAYA apewe tuzo, na mkurugenzi MSD mpandishe cheo awe mwizi mkuu wa serikali Tanzania.
  3. Lord Denning

    PostGE2025 Wizara ya Afya yazidi kuuthibitishia ulimwengu kuhusu Serikali ya Samia kuficha ukweli wa Mauaji ya kutisha yaliyofanywa kipindi cha Uchaguzi

    Anguko Kuu la CCM na Serikali yake halitotokana na jambo lingine lolote lile zaidi ya kukosa akili. Kukosa kwao akili ndo kumesababisha wawapuuze Wananchi na madai yao ya ukweli kisha kukimbilia kuwateka, kuwaua na kuwapoteza hali iliyopelekea hasira za Wananchi kupanda na kufikia kikomo na...
  4. Roving Journalist

    Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) watembelea Taasisi ya Mwenza ya Madagascar

    Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) wakiongozwa na Meneja wa Masoko ya Kikanda, Bi. Nabila Hemed wametembelea Bohari Kuu ya Dawa ya Madagascar (SALAMA) na kuzungumza na uongozi wa bohari hiyo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Claude Eric Ramanantoanina kuhusu njia bora za kuimarisha...
  5. Waufukweni

    MSD yaidai Serikali TSh 434.2 bilioni kwa huduma za bidhaa za afya vituoni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, imeishauri Serikali kukamilisha mchakato wa kuandaa sheria itakayosimamia huduma ya uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa chembechembe na viungo vya binadamu ili kuweka msingi madhubuti wa utoaji wa huduma hiyo kwa wananchi. Akizungumza...
  6. Nipe Maji

    MSD yaanza usambazaji wa vyandarua mkoani Kigoma

    Baada ya kuanza zoezi la usambazaji wa vyandarua Mkoani Kigoma MSD leo imeendelea na usambazaji wa vyandarua hivyo huku leo hii ikikamilisha kusambaza kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma. Zoezi hilo linatarajia kuhamia Wilaya ya Kibondo na Kakonko. Hata...
  7. M

    DOKEZO KERO Kulikoni mbona Bohari ya Dawa (MSD) mmefunga Duka la Dawa - Mpanda? Tunaomba huduma irejeshwe

    Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo inasababisha kukosekana kwa dawa ambazo Wananchi tunalazimika kununua kwa bei nafuu. Kukosekana au kufungwa...
  8. Stephano Mgendanyi

    Jenista Mhagama: Ujenzi wa Ghala la MSD Dodoma Wakamilika kwa 95%

    JENISTA MHAGAMA: UJENZI WA GHALA LA MSD DODOMA LAKAMILIKA KWA ASILIMIA 95 Ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 23.7 umefikia asilimia 95. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya...
  9. Samia atosha tukutane2030

    Serikali iongeze ulinzi kwenye maghala ya MSD, iweke sawa record ya ARV's. Kuna watu vichwa ngumu wanaweza kujizolea ili wakapige pesa siku za machoni

    Sasa ARV's zinakwenda kuwa big deal, wachuuzi wadogo hawatazipata tena. Hofu yangu ni kwamba kwenye maghala ya dawa ya MSD watu wanaweza kujizolea na kuzificha ili wakatajirike siku za machoni. Ulinzi uongezwe. JWTZ walinde maghala ya dawa kwenye kipindi hichi cha mpito, vijana wa SUMA JKT...
  10. Roving Journalist

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma aipongeza MSD kwa uwajibikaji na kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za Afya

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameupongeza uongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) kwa mabadiliko makubwa yanayoendelea katika taasisi hiyo, ambayo kwa kiasi kikubwa yamewezesha kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za afya nchini, mathalani malalamiko ya uhaba wa dawa. Senyamule...
  11. A

    DOKEZO MSD ilikabidhiwa kiwanda cha madawa Keko lakini kinaelekea kufa…

    Ni ajabu ila ni kweli. Bohari ya Dawa (MSD) ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya ambayo Waziri wake ni Ummy Mwalimu ilikabidhiwa uendeshaji wa Kiwanda cha Dawa cha Keko na Msajili wa Hazina mwaka 2020, ambacho kinamilikiwa kwa Asilimia 70 na Serikali huku mbia binafsi akimiliki Asilimia 30...
  12. Roving Journalist

    MSD yasambaza vifaa tiba vya zaidi ya Tsh 930m katika Vituo vya Afya 24 vya Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Dar es Salaam imesambaza vifaa tiba vya zaidi ya sh. milioni 930 kwa ajili ya vituo vya afya 24 vya halmshauri ya Wilaya ya Ulanga. Akizungumza Wilayani humo mkoani Morogoro, Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Hasham amesema, wamepokea vifaa tiba...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Stanslaus Nyongo Asema MSD Iwezeshwe Mtaji Ili Ifikie Malengo

    MBUNGE STANSLAUS NYONGO ASEMA MSD IWEZESHWE KIMTAJI ILI IFIKIE MALENGO NA KUTOA HUDUMA NZURI KWA WANANCHI Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo tarehe 12 Mei, 2023 amechangia hotuba ya Bajeti Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kwagilwa Nhamanilo Azungumzia Upotevu wa Fedha za Maadwa MSD

    MBUNGE KWAGILWA REUBEN NHAMANILO AZUNGUMZIA UPOTEVU WA FEDHA ZA MADAWA MSD NA WASHITIRI Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma amesisitiza kuwa kuna upotevu mkubwa wa fedha za dawa na vifaa tiba kupitia...
  15. B

    Morogoro ubovu wa miundombinu, MSD waeleza "dawa zinabebwa kichwani kuvuka mto", magari hayafiki

    Bohari Kuu ya Madawa MSD inakumbana na changamoto nyingi kufikisha dawa Hayo yamebainika mkoani Morogoro Tanzania inabidi MSD watumie gharama za ziada kufikisha dawa katika zahanati na vituo vya afya mkoani Morogoro.... Source : Millard ayo Katika Zahanati Baga kilichoo Morogoro Vijijini...
  16. K

    Kulikoni upatikanaji wa dawa katika hospitali za umma?

    Tumeaminishwa na Serikali kuwa mgonjwa anatakiwa kwenda hospitali za umma na atapata matibabu bure. Leo nimeenda Kituo cha Afya ya Buzuruga kumwona mgonjwa wangu sikuamini macho yangu nilipoambiwa kanunue gloves, kanunue pamba, kanununue dawa ya kusafisha jeraha nk. Hivi Mtanzania wa kawaida...
  17. BARD AI

    MSD yakiri kushindwa kusambaza Dawa kwa ndege zisizo na rubani (Drones)

    Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Mavere Tukai ametaja sababu za kusimama mradi huo ni kutoonesha tija na kuwa na ugumu kiutekelezaji. Amesema mpango huo si kipaumbele chao, wanachokifanya kwasasa ni kuhakikisha wana Dawa za kutosha, Wanatekeleza Matakwa ya Kikanuni na Kuimarisha Muundo wa utendaji...
  18. Jamii Opportunities

    Director of ict and statistics at MSD

    POST DIRECTOR OF ICT AND STATISTICS – 1 POST EMPLOYER Medical Stores Department (MSD) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-30 2022-08-12 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To advise the Director General on all matters related to ICT Systems and ICT governance; ii. To coordinate and ensures...
  19. Jamii Opportunities

    Planning, monitoring and evaluation manager at MSD

    POST PLANNING, MONITORING AND EVALUATION MANAGER – 1 POST EMPLOYER Medical Stores Department (MSD) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-30 2022-08-12 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To advise the Director General on all matters related to Department performance; ii. To lead the...
  20. Jamii Opportunities

    Director of procurement at MSD

    POST DIRECTOR OF PROCUREMENT – 1 POST EMPLOYER Medical Stores Department (MSD) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-30 2022-08-12 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To ensure timely availability of quality goods and services as requested from User Departments with agreed optimum stock and...
Back
Top Bottom