Kwa miezi kadhaa sasa, picha na video kutoka Jamhuri ya Dominika zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, zikionesha maafisa usalama, polisi na wanajeshi wakiendesha misako ya barabarani, wakikamata watu wanaoshukiwa kuwa wahamiaji haramu – wengi wao wakiwa ni kutoka...