Hivi kuna shida gani kwa makampuni ya Courier hapa Tanzania msaada katika hili

Msukule Msafi

Member
Oct 10, 2018
48
95
Habari zenu wakuu bila shaka ni wazima wa afya nina suala moja hapa linaniumiza kichwa na kukwamisha project yangu nimeandaa nimeandaa platformya e-commerce utendaji kazi wake ni ule ule wa ALIEXPRESS kwa maana amekusanisha stores and viwanda mbalimbali kuweka bidhaa zao katika website yake kisha yeye akatafuta soko

Dhumuni au nilipokwama ni issue ya usafirishaji wa bidhaa baadhi ya kampuni za usafirishaji kama FEDEX, ARAMEX na UPS nimeona wana hii huduma ila nilivyofika ofisini kwao wanasema kua hawajui issue ya intergration ya API kwenye system sasa hii inakuaje na nasolve vipi wakuu maana nilipokwamia ni hapo tu nawasilisha
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,765
2,000

Ninavyofahamu mimi seller ndio anatuma kupitia hao kina Dhl na yeye ndio anaespecify shipping agent yupi mteja atumie na Sio mmiliki wa E-commerce website.

Hivyo kama wewe ndio mmiliki wa website ya E commerce sidhani kama unatakiwa uwe na Api ya hao jamaa unless unaweka vitu vidogo vidogo kama kutrack mizigo.

Viwanda na maduka yatakayoweka Bidhaa kwenye E commerce website ndio vitajua vinatumia njia gani kumfikia mteja.
 
Mkuu kumradhi naomba ureply pm nimekutumia jumbe tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom