msaada.

  1. Ukikua utajua wale uliokuwa unawategemea wakusaidie kumbe nao wanahitaji Msaada. Jifunze kujitegemea

    UKIKUA UTAJUA WALE ULIOKUWA UNAWATEGEMEA WAKUSAIDIE KUMBE NAO WANAHITAJI MSAADA. JIFUNZE KUJITEGEMEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Sisi Watibeli tunajifunza kujitegemea mapema tuu baada ya kujua uchi ni nini. Baada ya kusikia haya na aibu kutembea bila nguo. 2. Ndio maana maisha yetu...
  2. Ewe kijana/baba/mzee, kama una nafasi moja ya kutoa msaada. Msaidie mwanaume

    Dunia haijali chochote kuhusu mwanaume mpaka unapokufa, ukiwa tajiri au kuna namna walimwengu wananufaika nawe. Jamii imeshakua programmed kuwaonea huruma wanawake lakini mwanaume anapoanguka anaanguka peke yake. A woman cries and the while world comes running, a man cries and they call him...
  3. Wakuu naomba msaada. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje?

    Wakuu, naomba kwa anayejua anisaidie. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje? Inapatikana wapi au mazingira au maduka gani kwa hapa Tanzania? asanteni sana.
  4. Naomba msaada. Ni shule gani Dar es salaam ya kata yenye hostel

    Naomba anayejua shule jijini Dar ambayo ni kutwa ila inazo hostel ndani ya eneo la shule iwe hostel ya wasichana. Asante
  5. Redcross kwa siri wanaandikisha majina ya familia zilizopoteza ndugu zao. Huku walio ughaibuni kutafuta msaada.

    Najuzwa hapa kuna nchi mbili jirani watafaidika na kinachoendelea hapa nchini. Nchi moja iko magharibi, nyingine ipo kaskazini. Mtoto wa profesa tayari juzi usiku alitembelewa na watu kutoka nchi za ulaya kwaajili ya mpango usiojulikana. Hayo yakiendelea huko ndani ya nchi Kundi la Redcross...
  6. I

    Kama unaingiza kipato kipitia kazi za online, nakuomba nijifunze kutoka kwako

    habari wakuu poleni na mjukumu. Ndugu zangu naombeni msaada kwa wale mnao tumia MB kama chanzo cha mapato. Hapa namaanisha yani wewe ukisha kuwa na MB basi tayari tonge limesha enda kinywani. Naomba unifundishe nipo tayari kujifunza kuwekeza muda nguvu na akili kujifunza. naombeni msaada...
  7. Naomba anayejua hotel ya nyota 10 Dar msaada

    Nina mgeni wangu ataingia jijini mwezi ujao msaada wenu hotel ya hadhi ya 10 star
  8. Baadhi ya members tusipende kuwa shambulia wanahitaji msaada wetu

    Watu kama Lovely Emmy , Ponjoro wa Kinondoni Covax Malaria 2 haszu , Manfried , The Mongolian Savage DIVISHENI FOO na wengine wengi, unaona kabisa ni aina ya watu msongo unawasumbua TUWASAIDIE
  9. Msaada namna ya kujiondoa kwenye simu iliyounganishwa mtandoni

    Habari. Msaada nawezaje kujiondoa kwenye smartphone niliyounganishwa na mwenza wangu?? Meseji, Voice note zote anazipata kwenye simu yake.Nitajiondoaje Ili asipate taarifa zangu kwenye smartphone yangu? Msaada.
  10. Tanzu na Vipera: Elimu ya kipumbavu kabisa isiyo na msaada.

    Bora ule muda ningeenda zangu VETA nisomee ufundi wa mabomba au umeme, nikitoka niende English course ili nifanye mtihani wa kiingereza wa IELTS au PTE baada ya hapo nitafute kazi ughaibuni au kukomaa hapa hapa. Miaka 4 ya O level, 2 ya Advance, 3 ya chuo kikuu ilikuwa ni UPUMBAVU.
  11. Nina tatizo la kukasirika kwa vitu vidogo vidogo sana naombeni msaada.

    Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea. Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind. 1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa...
  12. Kwa wenye Ndiga wanao ujua mfumo wa malipo ya uegeshwaji wa magari na changamoto zake naomba msaada

    Naomba kujua changamoto mnazokutana nazo katika mfumo wa TARURA wakulipia maegesho watu mnaomiliki vyombo vya moto hasa katika vipengele hivi; 1.Uharaka katika kufanya malipo. 2.Usahihi katika gharama na muda uliotumika. 3.Usaidizi wakati wa kuegesha 4.Kujua sehemu sahihi ya kupaki iliyowazi...
  13. MSAADA. APP BZURI YA KUSET UKIPIGIWA SIMU ITAJE MAJINA YALIYOSEVIWA KWENYE SIMU

    Habari za leo wakuu Naombeni msaada wa app nzuri inayosaidia kutaja majina ya watu wanaopiga simu inapokua inaita Na namna ya kuiset Nawasilisha Merry christmass
  14. WAJUZI WA SHERIA NAHITAJI MSAADA.

    Habari wanajukwaa, nina hii sakata nahitaji msaada wa mawazo nini kifanyike. Nilikua na nimeajiriwa kwa biashara ya mtu, mzigo/malighafi nachukua kwa watu watu kwa mali kauli na mwenye ofisi alikua anafahamu. Baada ya mda mwenye biashara kanigeuka kwamba yale madeni ni yangu binafsi sio ya ofisi...
  15. M

    Bodaboda wamekuwa msaada sana kwa watu wanaohitaji msaada

    Mzuka wanajamvi! Hawa bodaboda wengi tunaowadharau wamekuwa msaada sana. Tumeona kwa Abdul Nondo na yule mama wa Chadema hata yule naibu waziri alipata ajali na mchepuko akimkimbia mke wake baada ya kufumaniwa. Mifano ni mingi tu boda boda wakihusika kama wasamaria wema. Mungu wabariki bodaboda.
  16. D

    Programmers naomba msaada kwenye hili

    Wakuu kama kuna mtu anatumia Python anisaidie script ya code ambazo zinaweza kutengeneza namba na herufi ila kwa mfumo fulani; Kwa mfano '6XWE217 ' '6WTY54' Mimi ndiyo naanza kujifunza'
  17. Aliyeninyima Connection jana kaja kuniomba msaada

    Maisha ni sanaa na kuishi ni maigizo tu. Dunia hii tunapita nyie mlioko maofisini kama mnaweza saidieni watu wanaoomba Msaada kwenu.Ilikuwa hivi jamaa nilikutana nae miaka mitatu nyuma mwaka 2022, ofisini kwa DC kwa yule Dada ambaye sasa hivi ni Don kule kwenye Chama cha kijani kibichi upande wa...
  18. H

    Msaada. TRICHLOROACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto

    TRICHLOACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto
  19. Y

    Nina Uhitaji na mashine hii,naomba msaada.

    Nina Uhitaji wa mashine hii. Nina uhitaji wa mashine ya kusagia vitu vigumu (Multpurpose grain grinders.Ikipatikana used au mpya nitachukua. Nina uhitaji wa mashine hii yenye kuzaga kilo 2,3 hadi 5. Mawasiliano yangu, 0621436829 Dsm
  20. B

    Mliosoma medicine mpite hapa nahitaji msaada.

    Nilisoma clinical medicine mwaka 2018/2019 nikaishia level 4 sababu ya changamoto za ada. Sasa nataka nirejee masomoni Ila nahitaji kusoma radiology . Swali? Je inaruhisiwa kwenda chuo kingine kusoma radiology ama kozi nyingne za afya. maana nimekuwa nikiambiwa kuwa Bado mfumo unanisoma chuo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…