msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nimelipia cheti cha kuzaliwa hadi leo hamna, vijana walinihakikishia control number ikitoka tu basi

    Salaam kwenu wabongo wenzangu, Bila kupoteza muda naomba Kusaidiwa ushauri kama ifuatavyo; Ninataka cheti cha kuzaliwa cha binti yangu wa nje mwenye miaka 13. Nilipewa procedures kwamba niombe mtandaoni. Kwa kuwa nilikuwa bize ilibidi hilo jukumu niwape vijana ktk steshenari fulani...
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada: Nimeng'atwa na mjusi shingoni

    Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba. Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor:Floshed:
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa connection ya kufika Uswiz (Switzerland)

    Wadau naomba mwenye kunisaidia kunipa connection. niweze kwenda Uswiz (Switzerland). Lengo ni kupata mtu atakaye nipokea ili niweze kupata kazi huko iwe unskilled job au semi skilled job. Pia Ni namna gani mchakato wa kwenda huko unafanyika hapa bongo na gharama za nauli zikoje hadi huko...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa wa maswali ya interview kada ya mkufunzi maendeleo ya jamii

    Habari wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kuandika secretariat ya ajira wa kada mkufunzi maendeleo ya jamii, kwa yeyote mwenye kujua ABCD kuhusu kada hii na ukufunzi kwa ujumla unaweza kishare experience, mawazo na ushauri, natanguliza shukran zangu
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Nawashwa uume nikishiriki mapenzi

    Naomba msaada wa mawazo au hata tiba. Inakuwaje pale ninapoingiza uume kwenye uke naanza kuwashwa mpaka naahirisha tendo la ndoa? Maana hali ni mbaya.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Amedhalilishwa kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu. Afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua?

    Wataalamu wa sheria jamaa yangu amedharilishwa Kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu Ambae alikufa mwaka Jana Kwa ajali ya kugongwa na gari. Je, anatakiwa afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua? Aende Polisi au mahalamani?
  8. JamiiForums Tanzania Msaada Passport ya kusafiria

    Kuna yeyote hapa ambaye amekutana na tofauti kati ya taarifa zilizopo kwenye cheti cha kuzaliwa na zile za kwenye NIDA? Hasa sehemu ya kuzaliwa zinatofautiana? Ninauliza kwa sababu nataka kufuatilia upatikanaji wa pasipoti na nina wasiwasi juu ya taarifa sahihi zinazohitajika na uhamiaji."
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Israel inapewa msaada wa kijeshi/ silaha na Marekani?

    Katika mambo ambayo yamekuwa yakieleweka vibaya, kukanganya na pia kuzua dhihaka kutoka kwa watu wasioipenda Israel ni pamoja na hili la kupewa misaada wa jeshi/ silaha na Marekani pamoja na kuwa ni nchi tajiri iliyoendelea. Ni vizuri tujifunze na kuelewa mambo bila ushabiki, kuna sababu kadhaa...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Atoa Masharti Magumu ya Msaada wa Kiufundi kwa Wawekezaji

    - Ni Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited - Awataka wafanye utafiti na kuongeza thamani kama walivyoainisha kwenye mkataba - Serikali kutoa utaratibu mpya juu ya msaada wa kiufundi(technical support) Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada Zoom interview

    Hello mambers, Naomba sana msaada wenu, niliomba kazi kwenye shirika moja la wa Norway, juzi nikatumiwa email kuwa nimekuwa shortlisted hivyo nitafanya interview via zoom. Naomba kuuliza maana nilipewa link lakini nki-click ata hai-load. Na je unaweza kufanya zoom Kwa kutumia simu na sio...
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada kwenye tuta: PC yangu inanyonya sana MB nini tatizo ?

    KICHWA Cha habari kinajieleza wakuu yaani naeweza kufungu app ya JAMII forum Lakini MB zinatembea vibaya mno katika GB 4 zinakauka fasta. Wakuu inaweza kuwa shida Nini na nifanye Nini Kama Kuna setting nimejichanganya nisaifieni wakuu. Nawsasilisa swali
  13. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu "Import Fees on Amazon"

    Habari wana JF. Kuna bidhaa nataka ninunue AMAZON ila bado sijaelewa kwa uzuri kuhusu import fees. Kama kuna mdau alishawai kuagiza bidhaa kutoka Amazoni naomba ufafanuzi zaidi.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Canon IR 2204 inatoa Copy mbaya. Nini kifanyike?

    Mashine yangu aina ya CANON IR 2204 inatoa copy za namna hyo. Nimejaribu kubadili drum, roller na hata blade lakini hali bado ndo hyo mnaiona hapo chini. Nifanye nini wadau? Nakufa njaa mwenzenu. Msaada tafadhali
  15. JamiiForums Tanzania Msaada ison bpo ltd registration number toka Brela

    Habari ndugu zangu, Nina shida na namba ya ison bpo ltd toka BRELA, ISON ilikuwa inafanya kazi na Tigo miaka ya nyuma, ni kwa ajili ya madai ya PSSSF. Nawasilisha wakuu.
  16. JamiiForums Tanzania UWT Taifa Wawafikia Waathirika wa Mafuriko Wilaya ya Kilombero (Ifakara) Kuwapa Msaada wa Kibinadamu

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda ameongozana na Wajumbe wa Kamati ya Maafa ya UWT Taifa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru wamefika Wilaya ya Kilombero kutoa Msaada kwa waathirika wa Mafuriko Miongoni mwa viongozi...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali

    Computer yangu HP inaniletea haya maandishi shida inaweza kuwa nini please
  18. JamiiForums Tanzania Msaada Interview ya vocational Teacher II-ICT

    Habarii wanaJF Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote ambaye alishawahii kufanya practical interview utumishi ya VOCATIONAL TEACHER II -ICT wanaletaga practical ya namna gani maake sijawahii kufanya interview ya namna hii ya teacher .
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Habari wadau? Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana. Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya Kuroot Tecno K7

    Naomba msaada kwa wale wataalamu wa kuroot simu nina simu aina ya Tecno k7 naitaji kuiroot naweza kutumia njia gani rahisi bila kurumia computer. Asanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…