msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba mwenye hii audio kamilifu anisaidie

    https://www.facebook.com/reel/1203968907588101
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kufungua simu bila kureset, nimesahau pattern (aina ya simu ni lg velvet 5g

    Kama inavyojieleza hapo juu simu yangu nimesahau pattern na sitaki kufuta vitu vilivyomo, msaada kama naweza kuifungua
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mzalendo kwanini ukatae msaada wa uchunguzi kutoka Scotland Yard?

    Kama wewe ni mzalendo kwanini ukatae msaada wa uchunguzi kutoka Scotland Yard Je unafurahia utekaji kwasababu tu si ndugu yako kapotea au chama chako? Hata kama vyombo kweli vinafanya uchunguzi kuna shida gani kusaidiwa? Hasa pale ambako kuna wasiwasi vyombo vyetu vinahusika. Soma pia...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata story ya nyuma

    Wakuu habari ya majukumu Naomba mwenye story ya yule jamaa wa biashara ya Uba antag please nashida nayo
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA ili kupata nakala ya maandishi katika daftari la ndoa

    Habari, Kwa mwenye kujua gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA tafadhali pamoja na process zake. Natanguliza shukran za awali.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Naomba Kujua software inayotumika kuingiza maneno ( KUTAFSIRI) video iliyo kwenye lugha nyingine inaitwaje?!

    Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!? Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
  7. JamiiForums Tanzania Msaada naomba makadirio ya malipo App yenye download 10k

    Habari zenu wakuu, Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu kwa wamiliki wa App huko play store nataka nijue App yenye download watu 10k na watumiaji active 10% malipo yake huwa kiasi gani kwa makadirio kwa mwezi. Nimesikia Admob wanalipa sana na ndio mana nimekuja hapa ili nipate taarifa kwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

    Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa. Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Anaomba msaada wa hii kozi tafadhali

    Kuna binti kamaliza form six mwaka huu kaomba chuo kapata vyuo viwili na alikuwa anasoma PCB kapata UDSM na UDOM lakini kozi aliyopata ndo haelewi kozi yenyewe ni Aquaculture vyuo vyote viwili kapata kozi iyo ss anauliza vp iyo kozi ajira zake zimekaaje
  10. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuunganisha sound bar

    Jamani naombeni msaada namna ya kuunganisha sauti ya kwenye tv niwe naisikia kupitia sound bar
  11. JamiiForums Tanzania Msaada jins ya kuisajir dawa yangu ya bawasiri

    Habarini za muda huu Najua jamii forum ni forum yenye watu wa nyanja mbali mbali sasa nimekuja hapa kuomba msaada wa namna gan ntasajir dawa yangu ya kutibu bawasir ili nianze kuifanyia PA na kuibrand Dawa yangu imekua na mafanikio makubwa katika kutibu bawasir imewatibu watu weng waliokata...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wanna jamii forums

    Habari, Wanandugu naomba kujua sehemu gani naweza kupata beef fillet kwa bei chini ya elfu 15 popote pale ntafika kwa sasa Arusha. Asanteni
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Mambo gani yatanisaidia kushinda katika kesi yangu?

    Habari Wana JF, naombeni msaada wa kisheria. Mwajiri wangu alinivunjia mkataba bila kunipa barua yoyote yakuniachisha kazi, nilipewa kesi ya wizi ambapo alinipeleka polisi, lakini hakupeleka kesi mahakamani, baada ya kutoka polisi nilienda kituo cha haki za binadamu, nikapewa form za CMA...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu Kuvunjiwa mkataba

    Habari zenu humu
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kutuma kahawa Marekani

    Habari za mchana jamii, Nina tatizo la kutuma kahawa ya Kilimanjaro kwa rafiki yangu aliye Marekani. Nimejaribu kutumia huduma za posta lakini wameambia ni lazima niwe na leseni hata kwa kiasi kidogo kama 400g ya kahawa. Hali hii ya urasimu inakera sana na inafanya iwe ngumu kwa sisi Watanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika hili la kununua nguo

    Habari za asubuhi wapendwa. Yaani nimeamka na mawazo sana nikaona nije huku kutaka msaada wenu yawezekana mm ni mshamba eneo hili. Juzi nilinunua nguo duka fulan maeneo ya Sinza kulikua na sale hizi nguo za Uturuki kwa sale ya sh laki1. Katika nguo zilizokua kweny sale atleast ile kwangu ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kontena kutoka South Afrika kwa Roli

    Kontena 20ft, kulitoa south mpaka bongo bei gani kwa roli wakuu. Likiwa na mzigo full. Natangulizw shukrani.
  18. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupima ubora wa bidhaa kabla ya kuagiza mtandaoni?

    Habari za huku wakuu kuna mdau huku aliwahi agiza bidhaa na mzalendo cargo nataka kuagiza godoro nauliza ili nijue ubora maana bei zao ni za kizalendo kweli kweli
  19. JamiiForums Tanzania MSAADA: Biashara zinanivuruga naona nachanganyikiwa. Nifanyeje kujitoa katika hali hii?

    Habari ndugu, naomba niwashirikishe kidogo yanayonisibu; Nina biashara 5; 1. Magodoro 2. Electronics 3. Mchele 4. Duka la rejareja 5. Vinywaji vya jumla. Kinacho niumiza wakuu chakwanza ni location mbovu haswa kwa biashara ya; 1. Mchele 2. Electronics 3. Magodoro Jambo la pili ni mtaji...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu pesa za mkopo

    Habari za muda huu wadau, hapa kazini kwetu kuna watu wamekuja wanataka kutupa mikopo kwa riba ndogo sana kiasi kwamba kwa mshahara wangu ninaweza kupata mpaka million 50 kwa miaka mitano. Sasa naombeni msaada wa mawazo jinsi ya kutumia hizo million 50 kwa faida. Sina gari wala nyumba
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…