Habari wana jukwaa ;
Naomba msaada wa wataalamu na wazoefu , nina mtoto anaetumia maziwa ya lactogen ila leo nimeenda kununua muuzaji akanambia number 1 iko ya Kenya na kuna ya South Africa. Ya kenya anauza 35,000 na ya SA anauza 26,000. Nimesoma makopo kila kitu kipo sawa kwa upande wangu...