msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada naomba kitabu hiki

    Kitabu kinaitwa mobile phone repairing soft copy mwenye nacho naomba
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wakuu

    Wakuu naishi Morogoro mjini hapa na nilikuwa natafuta sehemu ambapo kuna msaada wa kujifunza meditation, ni hilo tu wakuu mwenye kujua anijulishe
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua duka la jumla la simu na vifaa confine vya electronics anitaarifu ninashida

    Msaada tafadhal
  4. JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Vyuo wanahitaji Msaada

    Habarini wa JF, Wazazi na ndugu wa karibu huenda walijitahidi kwa hali na mali na kujibangaiza kwa kidogo walichopata ili watoto wasome, na kweli watoto hawa walijitahidi kusoma kwa bidii mpaka kufikia ngazi za juu za elimu. ambapo kwa nchi yetu level yenye wasomi wengi zaidi ni...
  5. JamiiForums Tanzania Soon nitamvalisha Pete ya uchumba Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti

    Kuna conflict hapa mimi na my future wife Soon nitamvalisha Pete ya uchumba Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti.. Mimi nimemwambia sipigi goti.. ni bora tu cancell shughuri.. Maana it's seems like a sence of an inferiority to man to kneeling down during that occasion...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada physical adress NaPA kwaajili ya kuomba mkopo bachelor

    Jamani naomba msaada kwa anaye elewa, napataje reference numba ya physical adress kwaajili ya kujaza olams heslb
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kazi gani unayo (Software) unahitaji msaada? Nikusaidie

    Kazi gani unayo (Software issues) unahitaji msaada? Nikusaidie. blog issues website issues softwares issues (Windows 10,11) social media management Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Unahitaji nini usaidiwe kwenye IT industry? Software, website,blog, ads na n.k

    Unahitaji nini usaidiwe kwenye IT industry? Software, website,blog, ads, email na n.k Karibu usaidiwe unachotaka kwenye IT kama maswali utajibiwa Mawasiliano:0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  9. JamiiForums Tanzania Simu yangu haliishi lisaa inaniambia kuna junk files nizifute

    Mimi nimekulia kwenye simu zile za kukoroga kama unapiga hendeli Hizi simu za smart sizijui sana. Simu yangu haliishi lisaa inaniambia kuna junk files nizifute Nikiangalia unakuta junk zinakuwa na ukubwa wa 900MB hata na zaidi kufikia GB naomba msaada ni wapi nimekosea Ni mpya aina ya Galaxy M23
  10. JamiiForums Tanzania Naomba msaada nikifungua X (Twitter) inanipa option ya ku verify na nikibofya haikubali?

    HABARI WAKUU NAOMBA MSAADA WA KUFUNGUA TWITTER KILA NIKIFUNGUA INALETA NI VERIFYING ILA NIKIJALIBU HAIKUBALI SHIDA NINI WAKUU HAPO?
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kuhusu huu utata ulipo kwenye dini

    Habarin wakuu Kwanza kabisa mimi ni mkatoliki pure, nimekulia na kulelewa katika misingi ya imani.. Kama ujuavyo tena sisi wakatoliki sio watu wa kusoma biblia, mara nyingi tunaskiliza tu mahubiri na kusomewa neno halafu ndo inakua imetoka hiyo. Kuna mwaka fulani nilibahatika kukaa na watu...
  12. F

    JamiiForums Tanzania MSAADA WAKUU MWENYE KUFAHAMU HILI

    Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada Kwa anaeweza kunisaidia kumpata Jaji huyu.

    Wakubwa shkamoni, vijana wenzangu habari zenu. Sorry guys, namtafuta mama mmoja ambae sijajua nawezaje kumpata wala sina informations zake atakua wapi au mahakama dvtn gani kwa sasa, japo Sio kwa ubaya, but namtafuta sababu nina jambo la muhimu sana najua kwa 100% ni yeye peke yake anaeweza...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ramani ya nyumba, au mchoraji anakaribishwa

    Ukubwa wa viwanja Kiwanja cha kwanza 20*23- vyumba vya kupangisha, mchanganyiko, single na chumba na sebule Kiwanja cha pili Urefu 31m Upana 17.5m Nyumba moja ya kuishi yenye ghorofa moja Naomba kuwasilisha
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Lodge nzuri Ngerengere

    Naomba msaada kwa anayeijua vizuri Ngerengere, nina wageni wanataka kwenda huko je kunapatikana lodgings nzuri? Bei gani? Je upatikanaji wa chakula upoje? Na umbali gani kutoka stesheni ya sgr? Natanguliza shukururani
  16. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta

    Wakuu Jana nimekutana na dem yupo bleed, Maswali 1. Je naweza kupata risk gani kwa zile damu zake ? 2. Anaweza kupata mimba akiwa kwenye hali ya ku bleed? 3. Vipi kuhusu possibility ya kupata ngoma 4. Je ni baada ya muda gani anaweza kupata mimba baada ya bleed kukata? Nb. Baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania MSAADA

    wakuu habari za wakt huu, Nina shida kidgo kwenye PC yangu Jana nilikuwa naangalia movie usiku ilipoisha nikazima nikalala sasa Leo mimeamka nawasha haiwaki kbsa ila port za.usb zote zinafanya Kaz ukiweka simu chaji inajaa ila mashine haiwaki....tatzo nin wakuu pc ni HP
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa tabibu bingwa wa Vidonda vya Kisukari

    Habari ya uzima wakuu ! Naomba msaada wa haraka, kwa ajili ya ndugu yangu, sawa kichwa cha habari hapo juu. Ndugu yangu, amepatwa na changamoto kubwa ya ugonjwa wa kisukari, unaombatana na vidonda vikubwa hasa miguu yote! Hivyo, naomba ushauri wenu wakuu mahali hapa, hasa kwa wenye ushuhuda wa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Nimenyimwa passport na famili nzima haitaki kunipa ushirikiano

    WanaJF wenzangu msaada plz.nisaidie nashindwa cha kufanya najikuta na stress kama kijana wenu.tokea 2022 nimenyimwa passport kwa mambo ambayo nilishaeleza hapo mwanzo .sasa uhamiaji wanataka kuongea na familia tena ingawa walishaongea nao hapo mwanzo.lakini napitia changamoto family nzima...
  20. JamiiForums Tanzania 80% ya kipato nakifaidi mwenyewe, Msaada 20%

    Natafuta pesa kwa taabu Sana. Hivyo 80% lazima niifaidi binafsi. Mambo ya kusaidia sijui ndugu na marafiki mav ndo hiyo 20%
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…