mradi

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali kupitia Mradi wa SEQUIP yakamilisha ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma

    Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma. Pamoja na dhamira hiyo ya serikali ya kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mradi wa SEQUIP Kuongeza ufaulu Singida

    Wananchi wametakiwa kushirikiana na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kulinda miundombinu ya shule iliyojengwa ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi mkoani Singida Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego wakati akizungumzia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni nyakati za mwisho. Manabii wa uongo wanahubiri kuwa ikiwezekana Wakristo wasilimu ili mradi wapate mahala pa kusali.

    Waislamu huwaita Wakristo makafiri na kuwa Mungu wao sio wa ukweli hii ni kwa mujibu wa imani yao. Wakristo nao kwa mujibu wa imani yao wanaamini kuwa kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Yakobo. Sasa ina kuwaje manabii hawa kushauri watu kwenda kusali misikitini kisa tu wapate mahala pa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Aweso aagiza mradi wa maji Mpanda uharakishwe

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekataa maelezo ya Mkandarasi na kumtaka aoneshe vitendo zaidi katika kazi ya utekelezaji wa mradi wa maji miji 28 Katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi; unaogharimu shilingi bilioni 22.863. Akizungumza na Wananchi wa Mpanda baada ya kutembelea na kukagua eneo la...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 36.596 za mradi wa sequip zilivyo inufaisha dodoma kwenye sekta ya elimu

    Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa maeneo ambayo yamepata fedha nyingi kupitia mradi wa kuimarisha ubora wa Elimu ya sekondari nchini SEQUIP ambapo umepokea zaidi ya Bilioni 36.596 Fedha hizo ambazo zimetolewa na serikali zimetumika kujenga shule mpya 41 za Sekondari ambazo miongoni mwake ni pamoja...
  6. JamiiForums Tanzania JWTZ lipewe mradi wa Mabus ya Mwendo Kasi liuendeshe , Likopeshwe MaBus , hapatakua tena na Uhuni kama huo unaoendelea !!.

    Kuna Crisis ya makusudi kabisa inatengenezwa na Wahusika wa Mradi huo wakishirikiana na Wamiliki Binafsi wa Magari watoto Huduma za Usafiri !!. Ila Kukomesha Uhuni huo, ambao ni pamoja na Uharibifu wa Magari Kwa njia za Kihuni , JWTZ lipewe Fursa hiyo!! Naamini kupitia JWTZ Huduma...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa

    Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani 15.7. Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amefanya ziara ya kukagua mradi huo ambao ni moja wapo...
  8. JamiiForums Tanzania Kampuni kubwa zaidi ya Madini Duniani yaachana na mradi wa Nickel wa dola bilioni 2.5 nchini Tanzania

    Kampuni kubwa zaidi ya uchimbaji madini duniani, BHP Group (BHP.AX), imeamua kuuza hisa zake kwenye mradi wa nikeli wa Kabanga uliopo nchini Tanzania kwa mshirika wake, Lifezone Metals (LZM.N). Mradi huo una thamani ya takribani dola bilioni 2.5, na Lifezone imethibitisha kuwa itanunua hisa hizo...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Mradi unaolenga kuboresha huduma ya maji Tanga Jiji, Muheza, Pangani na Mkinga, kunufaisha wakazi 555,000

    Hatimaye wakazi wa mikoa ya Tanga, Pangani, Muheza na Mkinga wananufaika moja kwa moja na matunda ya hati fungani ya kijani iliyotolewa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (TANGA UWASA), yenye thamani ya Shilingi Bilioni 53.12, ambayo ilianza kuuzwa rasmi tarehe 22...
  10. JamiiForums Tanzania Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

    Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
  11. JamiiForums Tanzania Miss World 2025 Atembelea Mradi wa Kilimo cha Mwani Unaosimamiwa na Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Paje-Zanzibar

    Miss World 2025 Atembelea Mradi wa Kilimo cha Mwani Unaosimamiwa na Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Paje-Zanzibar Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) nchini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) ilipata heshima ya kipekee ya kuwa mwenyeji wa Mshindi wa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Njombe: Shilingi Bilioni 19.6 kutumika mradi wa Kuboresha Ubora wa elimu ya sekondari

    Serikali imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari SEQUIP mkoani Njombe. Kati ya fedha hizo jumla ya Shilingi Bilioni 4.360 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ikiwemo majengo ya madarasa, maabara, mabweni, bwalo la chakula...
  13. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa ya Songea akabidhi eneo la Mradi wa Ujenzi wa Soko la Sh Bilioni 22.9 - Manzese A na B

    Machi 28, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com aliwasilisha andiko lake akilalamikia changamoto ya Miundombinu ya soko la Bombambili kwa kueleza Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya Alisema Soko la Bombambili ambapo ndipo Wafanyabiashara walipohamishiwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri wa Maji, Jumaa Aweso awaonya wakandarasi Mradi Miji 28 muda wa utekelezaji kutoongezwa

    Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso , Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Awesowote wanaoshiriki katika utekelezaji wa Mradi wa Maji kwa Miji 28, akisisitiza kuwa hakutakuwa na nafasi ya kuongezewa muda kwa wakandarasi watakaoshindwa kukamilisha kazi kwa wakati Ametoa kauli hiyo jijini Dodoma wakati wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mradi wa Mji wa Wakanda ulioahidiwa na mwanamuziki Akon nchini Senegal wageuka kituko na utapeli mtupu.

    Mwaka 2020 mwanamzuki Akon aishiye nchini Marekani alipewa ekari 136 na serikali ya Senegal ili kuwekeza kujenga jiji la Wakanda lenye thamani ya $bilioni 6 (Watu wa mjini hasa Daslam wanaongalia movies wanaelewa vizuri Wakanda, sina haja ya kufafanua). Hata hivyo mradi huo haujafanyika kama...
  16. JamiiForums Tanzania Mradi wa Kilimo BBT umeishia wapi?

    Je huu mradi bado UPO na kama UPO umefikia wapi BBT
  17. JamiiForums Tanzania Huu Mradi wa kuweka Kalavati mpya sehemu nyingi za Barabara Tanzania ni wa nani?

    Hii nchi kuna mambo yanaendelea kufanyika yasiyo na maana kabisa. Sasa hivi ukipita maeneo mengi ya nchi hasa Barabara kuu kuna diversion na ni mradi wakubadilisha kalavati za kupitisha maji, Hii sio mbaya, ila inashangaza hadi maeneo ambayo hayajawahi kuwa na usumbufu na yenyewe...
  18. JamiiForums Tanzania Uchukuaji fomu usiwatishe. Ni mradi kama mingine

    Natatizwa na wanaohofia hili wimbi la uchukuaji fomu, hasa za ubunge kwa tiketi ya ccm. Ni haki yao kulingana na katiba yao na ilani yao. Kadhalika ni takwa la kikatiba mradi tu ujue kusoma na kuandika. Binafsi naamini kuwa vyombo vya uteuzi ndani ya ccm havitafanya makosa kama awali. Bunge...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songea: Serikali yazindua mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imezindua rasmi mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda, sehemu ya Likuyufusi–Mkayukayu yenye urefu wa kilomita 60, hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma. Akizungumza...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Napinga kuuzwa kwa mradi wa dege eco village

    Kwanza kabisa niwapongeze wote waliopata wazo la kuwekeza kwenye miradi mikubwa kama Dege Eco Village. Huu ni mradi wa kipekee kabisa na wenye manufaa ya si tu kiuchumi bali pia kupendezesha jiji la Dar es salaam na kuwafanya watu waishi katika mazingira mazuri na salama. Kutokana na faida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…