mradi

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kutopewa mradi huku akimtaka Mtendaji Mkuu kujitathmini

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Arch. Daud Kondoro ajitathmini kuhusu utendaji kazi wake huku akiwasimamisha kazi wakurugenzi watatu wa wakala huo. “TBA tunaihitaji lakini watu wake wana shida. Hatuwezi kuwaacha, TBA wasipewe miradi kwa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi! Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
  3. JamiiForums Tanzania RC Makonda atembelea mradi wa ujenzi wa njia nane kutoka Morocco hadi Mwenge

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa barabara nne mpya kutoka Morocco hadi Mwenge ambapo kukamilika kwa njia hizo kutafanya idadi ya barabara kufikia nane jambo linalotarajiwa kupunguza na ikiwezekana kumaliza tatizo la foleni kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa Meli mpya na Chelezo washika kasi

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi alitembelea mradi wa ujenzi wa meli ya kisasa ambayo ni meli kubwa kuliko zote katika Ukanda wa Afrika Mashariki pamoja na ujenzi wa chelezo kwa ajili ya matengenezo na marekebisho ya meli mbalimbali ikiwa...
  5. JamiiForums Tanzania RC Makonda aagiza Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kutopewa mradi wowote ndani ya Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewapiga marufuku Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kuipa mradi wowote Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza ndani ya mkoa wa Dar RC Makonda ametoa maagizo hayo baada ya Kampuni hiyo kutumia miezi 12 kujenga Barabara ya Kilometa 3.2 ya Kitunda-Kivule ya kiwango cha...
  6. JamiiForums Tanzania Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

    Nasubiri Bandari Kubwa ya Lamu izuie Bandari Ndogo za Dar na Mombasa: Namna Maarifa Madogo Yanavyoiua Bandari ya Bagamoyo na Kuifaidisha Kenya Kumekuwa na mijadala mikali kuhusu Mradi wa Eneo la Kiuchumi la Bagamoyo. Mjadala huo wenye malumbano ya kurushiana shutuma umekuwa mjadala mbovu sana...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaachana na mradi wa Nairobi-Mombasa expressway kutokana na kuelemewa na madeni

    Sh300bn road project put on hold over debt The government has suspended the construction of the Sh300 billion Nairobi-Mombasa expressway for two years over the country’s debt concerns. It would have been Kenya’s first expressway and the largest single-contract road project. The project...
  8. JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari Bagamoyo pamoja na Magufuli kusema ni wakinyonyaji lakini unatekelezwa!!!

    Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano... Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa.. Ni kweli huu mradi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ufahamu mradi mkubwa wa umeme wa Rufiji

    UFAHAMU MRADI WA ’STRIEGLER'S GORGE Mradi wa umeme wa ‘’STRIEGLER'S GORGE’’ uliasisiwa na marehemu baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere miaka 1970. Mwalimu Nyerere alianzisha wazo la kujenga mradi huu mkubwa ili kuondoa tatizo la umeme nchini lakini pia ili kuongeza tija ya uzalishaji viwandani. Ni...
  10. JamiiForums Tanzania Zijue faida za mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipindi cha ujenzi na mara baada ya ujenzi kukamilika

    Kupitia sera ya kitaifa na mkakati wa nchi kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 ni Dhahiri na lazima kwa taifa kuwa na miundombinu imara. Ujenzi wa reli ni nguzo kubwa katika kuchochea na kupunguza gharama na muda wa safari kwa abiria na mizigo. Mataifa yenye nguvu duniani yamejengwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

    Na Kabwe Z. Ruyagwa Zitto, Mb (Makala haya kwa sehemu kubwa yametokana na makala iliyoandikwa na mtu mwengine [....]. Mimi nimeiboresha tu Katika baadhi ya maeneo) Juzi Serikali imetangaza bungeni kuwa Mradi mkubwa wa Ukanda Maalumu wa Kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) wa thamani ya Dola za...
  12. JamiiForums Tanzania Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ukikamilika kuifanya kuwa bandari kubwa zaidi ya ROTTERDAM

    Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo unaotarajiwa kuanza hivi karibuni chini ya kampuni ya China Merchant Holdings inatarajiwa ukikamilika utaifanya bandari hiyo kuwa kubwa zaid barani Afrika kutokana na kuwa na magati yenye urefu hadi kufikia kilomita 20 na kuhudumia makontena zaidi ya milioni 20...
  13. JamiiForums Tanzania Stiegler's Gorge una manufaa machache kitaifa kuliko faida, CCM walitakiwa kujibu hivi vyanzo vya umeme kwanza huu mradi una ufisadi

    Benki ya Dunia inapendekeza mkopo wa dola mi $ 100 ya miundombinu kwa ajili ya Tanzania kuongeza utalii na serikali ya Ujerumani hivi karibuni na ilisaini mkataba wa eruo € milioni 18 wa miaka 5 mpango hifadhi kwa Selous. Rais Magufuli kajinasibu kununua ndege ili kukuza utalii sijajua huo...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

    Ni hivi watu wengi wanaandika bila kuujua ukweli. Ukweli ni kwamba kabla ya mradi wowote mkubwa kutekelezwa lazima kifanyike kitu kinachoitwa Environment Impact Assessment. Ukweli ni kwamba serikali iliunda team iliyojumuisha maprofesa nguli kufanya Environment Impact Assessment ambapo...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya Wajerumani kupinga mradi wa umeme katika bwawa la Stiegler's Gorge

    Kumbe wajerumani wanafahamu kuna madini mengi na ya thamani kubwa ukiacha uranium ya aina mbalimbali eneo hilo la bwawa la stieglers gorge, wanajua tukianza mradi huo tutayagundua yote na kuanza kuyachimba ndiyo maana wanaweka vikwazo ili ikiingia madarakani serikali dhaifu wairubuni na...
  16. JamiiForums Tanzania Buriani mradi wa Liganga na Mchuchuma

    ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono. Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station kuondoka na Waziri January Makamba

    Heshima kwenu wakuu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba, huenda akatumbuliwa kutokana na kuwa kikwazo katika Ujenzi wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station. Inasemekana January Makamba kaunda tume ya Wataalam wa kuchunguza athari...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kuzima Mitambo yote ya TANESCO inayotumia mafuta mazito kufikia mwaka 2020: Ni baada ya kukamilika kwa Mradi wa Stiegler's Gorge

    Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, akiwa mkoani Njombe, ameahidi kuwa, Serikali inatafajia kuzima mitambo yote ya TANESCO, inayotumia mafuta mazito baada ya kukamilika kwa Mradi wa Stiegler's Gorge ifikapo mwaka 2020. Dk. Kalemani alieleza kuwa, umeme wa mafuta mazito ni wa gharama kubwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya miti milioni 2 kukatwa kupisha mradi wa umeme wa Stiegler's gorge

    Serikali ya Tanzania inajiandaa kukata miti eneo la ukubwa wa asilimia tatu ya hifadhi ya taifa Selous. Mapema asubuhi ya Jumatano, serikali ilipokea maombi ya zabuni ya kukata miti hiyo kutoka kwa makampuni ya ndani na nje ya nchi yaliyoonyesha nia ya kutekeleza mradi huo wa kukata miti...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mradi wa Stiegler’s Gorge kuanza Julai

    WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema kazi ya ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa nguvu za maji ya Mto Rufi ji eneo la Stiegler’s Gorge, unatarajiwa kuanza Julai mwaka huu. Dk Kalemani alisema jijini hapa jana kuwa hatua hiyo ya kuanza kwa mradi inatokana na kazi ya tathmini ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…