mradi

  1. Basi tu ilimradi taflani

  2. D

    House4Sale Mango Tree Residence Apartments for sale

    MANGO TREE RESIDENCE Located in Msasani beach Dar es salaam Tanzania we are happy to invited you to visit our project. Our project is at Golden location, first of all it is located nearby beach indian oceanic, secondly it is surrounded by important services for humans such as TMJ Hospital...
  3. DOKEZO Mradi wa SGR Mwanza Ndio Basi tena

    Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi...
  4. H

    Mwigulu Nchemba azungumza na wananchi walioathiriwa na mvua Kilosa

    - Autaja mradi wa ujenzi wa mabwawa ya kuhifadhi maji ya Mvua eneo la Kidete. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amezungumza na wakazi wa Tindiga wilaya ya kilosa mkoani Morogoro ambao wameathirika na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewaeleza...
  5. Je, mradi wa SGR tulikurupuka kama taifa?

    This was a design and build project. Ni wazi, takwimu walizokusanya hazikutafsiriwa ipasavyo kwa kuzingatia mabadiliko ya tabia ya nchi. Over designing sio dhambi katika uhandisi Wali over design Kilosa kupita mto Mkondoa ndio maana kuna tunnels 4. Kidete kuna uzembe. Maana palijengwa bwawa la...
  6. Mradi wa "AFCON City" Arusha: Ni Upigaji au uzembe? Wananchi tumelipa mamilioni, viwanja vimebaki kuwa pori!

    Wana-JF, Mnamo Agosti mwaka huu, Serikali kupitia Wizara ya Ardhi ilitangaza fursa kubwa kwa wakazi wa Arusha na Watanzania kwa ujumla. Tulitangaziwa uuzaji wa viwanja katika eneo la Olmoti/Oloresho, eneo ambalo limezunguka uwanja mpya wa kisasa wa Samia Suluhu Stadium. Lengo lilikuwa ni...
  7. Waziri Mkuu apongeza TPDC kwa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong'o kupitia Mradi wa LNG, akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
  8. L

    Mradi wa kichocho unaofadhiliwa na Wachina waongeza uelewa miongoni mwa watoto wa Zanzibar

    Katika onesho la rangi, ubunifu, na kujifunza, mamia ya watoto wa shule katika Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar, walishiriki katika shindano la kunakili bango kwa mkono lililoandaliwa ili kuongeza uelewa wa kichocho, ugonjwa wa vimelea ambao unaendelea kuwa changamoto ya afya ya umma katika maeneo...
  9. PostGE2025 Huu Mradi wa Mama Uliishia Wapi?

    Mama alianza vizuri sana. Tukawa na matumaini makubwa. Jua la demokrasia likaanza kuchomoza. Sote tukadhani kuwa tumeanza safari upya tukiwa na injini iliyosukwa upya. Nini kilitokea mpaka mradi huu wa kusuka injini ya safari yetu upya ukafa? Kuna anayejua?
  10. Marekani yaufuta mradi wa tanzania NCO development

    Serikali ya Marekani imeufuta mradi wa Tanzania NCO Development ambao ulikuwa na thamani ya dola million 3.1 Mradi huo ambao ulikuwa ni mradi wa Marekani kutoa mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi wa Tanzania wenye vyeo vya chini ( Non officers) , Marekani imefikia hatua hiyo ya kusitisha mradi huo...
  11. L

    Mradi wa usambazaji maji uliojengwa na China wanufaisha maisha katika mji mkuu wa Angola

    Katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji wa Quilonga unaotekelezwa na Shirika la Ujenzi wa Nishati la China (PowerChina) mashariki mwa Luanda, mji mkuu wa Angola, wafanyakazi wanashughulika na kazi zao kwa utaratibu mzuri. Figueira Kalunga, fundi wa usimamizi wa usalama, anazunguka...
  12. Misri meli zinajaa kwenye foleni kupakia Gesi, Msumbiji wanaanza mradi wa LNG, Tanzania wanasubiri nani anatoa kushwa kubwa wampe mradi

    Mwaka wa 15 sasahivi tongu zianze kuletwa hadithi za mradi wa LNG Tanzania na mradi huo haujaanza hata kidogo mpaka Leo. Tongu hadithi hizi zianze kuzungumzwa hakuna cha mradi wowote wa LNG umewahi kuonekana zaidi ya hadithi za hekaya za Abunuasi. Wakati hayo yanafanyika jirani Msumbiji...
  13. TBT: Dakika 20 za Rais Magufuli kwenye uzinduzi wa mradi wa mwendokasi

    https://youtu.be/WbWMoTr_I-U?feature=shared
  14. Mahakama ya Kenya yasitisha mradi wa Taifa gas

    Mahakama ya Mazingira na Ardhi nchini Kenya imezuia kampuni ya Taifa Gas kuendelea na ujenzi wa kiwanda cha gesi ya LPG chenye thamani ya Shilingi bilioni 16 katika eneo la Dongo Kundu, Mombasa. Uamuzi huo umetokana na hofu ya uharibifu wa mazingira ya pwani, kufuatia ombi la wakazi wawili wa...
  15. R

    Mradi wa TADB yanufaisha Vijana Mwanza kwa fursa ya ufugaji wa kisasa wa samaki kwa vizimba

    Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi zinatekeleza mradi wa Uvuvi unaohusisha miradi miwili yenye thamani ya TZS 25.1Bln ikihusisha mikopo ya boti za kisasa zenye thamani ya TZS 2.6 Bln na ufugaji samaki kwa njia ya vizimba vyenye thamani ya...
  16. Mradi wa majiko banifu watambulishwa Kigoma

    MRADI WA MAJIKO BANIFU WATAMBULISHWA KIGOMA ๐Ÿ“Œ Majiko banifu 8,424 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoani Kigoma ๐Ÿ“Œ Wilaya Sita kunufaika na mradi ๐Ÿ“Œ Kila Wilaya kupata majiko 1,404 ๐Ÿ“ KIGOMA Wakazi wa Kigoma waaswa kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira kwa...
  17. Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, unatarajiwa kukamilika Aprili 24, 2026

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Bi. Mwajuma Nasombe @mwajumaa_abasy ametangaza Kurudi kazini kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo april 24, 2026. Amesema hayo Leo, mbele ya Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro...
  18. Kulikoni mradi wa kilimo Cha mahindi wa Jakaya Kikwete wayeyuka?

    Huyu mzee si akalime Kama zamani? Hapa ni 2017 alijifanya analima kumbe anapanga mambo yake. Huyu mzee๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
  19. Mradi wa parking ya magari misugusugu umekufa wajanja wamepiga pesa

    Kuna wajanja walianzisha kimradi uchwara hapo misugusugu shule wakawahamisha watu Kwa mabilioni kutoka serikalini ambapo wao walikua wanachukua Nusu ya pesa ya Kila alieamishwa ni mwaka umepita mradi huo uchwara ulipoanzishwa kupo kimya wanafuga pori. Ama kweli Tanzania Ili upate utajiri ni...
  20. A

    KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ