mradi

  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Julius Nyerere wakamilisha mtambo namba nane na kuingiza umeme kwenye Gridi ya taifa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umekamilika na sasa unaingiza megawati 235 kwenye gridi ya taifa. Dkt Biteko ametoa taarifa hiyo tarehe 14 juni 2024 wakati akizindua taarifa za...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akagua mradi wa maji wa Same - Mwanga - Korogwe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga – Korogwe. Makamu wa Rais ametoa pongezi hizo alipokagua Mradi huo na kushuhudia wananchi wakianza...
  3. karmaa Son

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mradi wa serikali na ukombozi wa vijana (mseuvija)

    Ni ukweli usiopingika kwamba katika maendeleo ya nchi yeyote basi rasilimali watu ndio mhimili mkuu kwasababu wao ndio huwezesha kitu kinaitwa human capital kama ilivyotambulishwa na Theodore W. Schultz (1961) ambao ndio msingi a maendeleo katika Nyanja zote za siasa, uchumi, teknolojia, na...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Tabora azindua Mradi wa Maji uliogharimu Tsh. Milioni 975

    Tarehe 04/05/2024 Mkuu Wa Mkoa wa Tabora, Paulo Matiko Chacha amefanya ziara katika Wilaya Uyui Jimbo la Igalula katika Kata za Tura, Kigwa na Igalula. Akiwa katika ziara hiyo ameambatana na Mkuu Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansasu pamoja na Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Daud protas, katika...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uganda kuiuzia Tanzania Mabasi ya Umeme kwaajili ya Mradi wa DART (Mwendokasi)

    Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART). Video ya tangazo la jaribio la kuendesha ni ya kuvutia🙌! Uzuri wa Tanzania unang'ara😍. Shuhudia Kayoola EVS Model 2024 ikifanya kazi jijini Dar
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu, Juma Aweso na Emmanuel Cherehani, wameshuhudia utiaji saini mradi wa Bilioni 44 wa maji ya ziwa Victoria

    DKT MWIGULU, WAZIRI AWESO NA MBUNGE CHEREHANI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA WA BIL 44 - USHETU Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso na Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani wameshuhudia utiaji...
  7. pro12membe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali kuanzisha mradi wa vituo vya utafiti na maendeleo ya kilimo nchini

    MRADI WA KUANZISHA VITUO VYA UTAFITI NA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI TANZANIA. kulingana na changamoto zilizopo katika sekta ya kilimo Nchini. nikaona si vibaya kufikiria juu ya sekta hii muhimu, ambayo tunasema ni utii wa mgongo wa taifa la Tanzania. Hivyo basi nikaona kuna haja ya kuanzishwa...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali yashindwa kulipa wakandarasi, mradi wa SGR Mwanza wasimama

    Mradi wa SGR Mwanza umesimama baada ya serikali kushindwa kulipa wakandarasi. Mmoja wa vibarua kwenye mradi huo amenambia walitangaziwa na wakandarasi kuwa hakuna pesa hivyo shughuli zinasimama mpaka serikali itakapolipa.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji Same - Mwanga 90% ya utekelezaji, aweso awasha pump kusukuma maji kwenda tenki la mwisho

    MRADI WA MAJI SAME - MWANGA 90% YA UTEKELEZAJI, AWESO AWASHA PUMP KUSUKUMA MAJI KWENDA TENKI LA MWISHO. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya utekelezaji wake ambapo ameshuhudia mifumo ya kutibu maji imekamilika...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Picha za mradi wa LNG msumbiji.

  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya: Wananchi wa Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa SGR wafike ofisini

    Serikali imetoa ufafanuzi juu ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui ambao wanadai malipo baada ya kutakiwa kuondoa kupisha mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR. Awali baadhi ya Wananchi hao walikaa kikao na kuiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tabora – Uyui: Wananchi waliotakiwa kupisha Mradi wa SGR waomba Serikali isaidie walipwe fidia zao

    Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika Machi 2023 na mpaka Mei 2024 hawajui hatima ya malipo yao. Wameyasema hayo wakati wakidai Sheria...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Machinjio ambao hautumiki, DC wa Uyui asema wametenga Tsh. 14m hadi 24m kuuboresha

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuulizia juu ya Mradi wa Machinjio uliopo Goweko akidai umekwama kuendelezwa licha ya fedha za walipa kodi tarkibani Shilingi Milioni 25 kutumika, Mkuu wa Wilaya ameelezea Sakata hilo. Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansansu amesema: Hayo Machinjio yana...
  14. arcoiris

    JamiiForums Tanzania Mradi wa NHC wa Safari City Arusha umetelekezwa?

    Vipi kuhusu mradi wa NHC wa safaricity arusha umetelekezwa? Anayejua muendelezo tafadhali atuhabarishe
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Video: Jengo la Ofisi ya Machinga Kilimanjaro

    Sikiliza, na tukutane tuujadili
  16. instagramer

    JamiiForums Tanzania Nani ni maarufu sana eneo unaloishi? Nini chanzo cha umaarufu wake?

    Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa, mfanyabiashara, tapeli, mchawi au vyovyote vile. Mi naanza na huyu.. Hapa Nyakato bana Kuna jamaa mmoja...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Nyakahamba- Kerege wakamilishiwa mradi, dawasa yawaita wakazi maunganisho ya maji

    Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa kuongeza msukumo wa maji kwenye kitongoji cha Nyakahamba Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo na kuwezesha upatikanaji wa huduma kwa wakazi takribani 250. Akizungumzia utekelezaji wa mradi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yafafanua juu ya gharama za Mradi wa Hospitali za Rufaa Mawenzi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji juu ya Mradi wa Serikali kupewa fedha nyingi kuliko bajeti iliyopangwa na kuripotiwa kutokamilika, ufafanuzi umetolewa Mdau alitoa mfano kwa kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya 2024/25 iliyosomwa bungeni Mei 14, 2024 ambapo Mradi wa Uimarishaji ya Hospitali...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Inakuwaje mradi unapewa hela zaidi ya walizoomba na haukamiliki?

    Nimepitia bajeti ya wizara ya Afya 2024/25 iliyosomwa bungeni May 14, nimekutana na kituko kwa baadhi ya miradi. Mmoja wa mradi wenye kituko ni Uimarishaji ya Hospitali za Rufaa - Mawezi. Mradi huu ulihitaji Sh bilioni 7 na ukapokea bilioni 12 lakini bado haujakamilika, upo 86%. Yaani kuna...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yashindwa kusaini mradi wa LNG kwa miezi 9 sasa bila sababu. Je tuendelee kumlaumu Hayati Magufuli?

    Wadau kama link inavyosema hapo chini. Nini tatizo? === Tanzania is delaying key agreements needed to realize a $42 billion liquefied natural gas plant, slowing a project that developers Equinor ASA and Shell Plc warn has limited time to become a reality before demand for fossil fuels begins...
Back
Top Bottom