Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr Philip Isdor Mpango ameweka jiwe la msingi Mradi wa chanzo cha Maji Butimba Ujenzi wenye kiasi cha Shilling Bilion 69.3.
Katika hatua nyingine ametembelea Mradi huo na kuzungumza na wananchi pamoja na Wafanyakazi katika eneo la...
KAZI INAENDELEA, RAIS SAMIA KUZINDUA MRADI WA MAJI WA MBALIZI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI ASUBUHI HII SAA 5.
Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa Agosti 05, 2022 anatarajia Kuzindua Mradi wa Maji wa Mbalizi (Songo- Igale). Mhe. Rais Samia pia atazungumza na Wananchi wa Mbalizi...
Mbunge wa Siha (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Dk Godwin Mollel amemtaka mkandarasi aliyejenga mradi wa maji wa Gararagua kutafutwa popote alipo kwani umejengwa chini ya kiwango.
Amesema hayo leo Alhamisi, Julai 21, 2022 katika Ofisi ya Bodi ya Maji, Magadini Makiwaru iliyopo Karansi wilayani humo...
Rais Samia akishuhudia utiaji saini mikataba ya Mradi wa Maji wa Miji 28 - Chamwino Jijini Dodoma, Juni 6, 2022.
=======
Samia Hassani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Viongozi wote mliopo na wote mliokuja kushuhudia utiaji saini, Jamhuri ya Muungano, Kazi iendelee
Ndugu zangu ni...
Kutoka Mlandizi, Chalinze - Mboga mkoani Pwani ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua mradi wa maji na kuzungumza na wananchi leo tarehe 22 Machi 2022.
======
Rais Samia Suluhu Hassan amesema upatikanaji wa...
ccm
chalinze
karibu
mheshimiwa
mradiwamaji
pwani
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
wananchi
Wizara ya Maji imeitaka kampuni iliyopewa zabuni ya kusambaza mabomba kwenye ujenzi wa miradi ya maji Kanda ya Ziwa inayotekelezwa na Serikali kupitia fedha za Uviko 19, kuhakikisha inafikisha mabomba hayo kwa wakati kwenye maeneo ya miradi.
Lengo ni kuepuka kukwamisha miradi hiyo na hatimaye...
MRADI wa Maji ya bomba wa kijiji cha Isulilo katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuwanufaisha wananchi wapatao 10,497.
Mradi huo unatekelezwa na wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa) kwa ufadhili wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan,
Meneja wa Ruwasa wilaya ya...
Ancient Nabataeans Water Management:
The 2,000 year old city of Petra,Jordan, known for its magnificent temples carved into its red sandstone cliffs is also home to an incredible feat of hydraulic engineering.
An extensive water supply system turned this ancient city into a man- made oasis...
CHALINZE
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amekagua na kuridhika kuruhusu maji yaanze kutumiwa na wananchi katika maeneo ya Chalinze ambapo miundombinu imekamilika.
Hizi ni habari njema kwa wananchi wa Chalinze ambao kwa muda mrefu wanahangaika na shida ya maji.
Kwa upande wa Mbunge wa Jimbo...
Nimeshangazwa na post ya Mkuu wa Wilaya leo huko Instagram akijigamba kuwa wana mradi wa maji Kisarawe wenye thamani ya Billion 2 ambapo zaidi ya Billion 1 na Milion 700 tayari zishalipwa kwa mkandarasi na mkandarasi yuko site, ajabu anakuja kuambqtanisha clip ikionyesha mkandarasi akifanya hiyo...