mpya

  1. Vodacom nawapa onyo kwa mara ya mwisho kabla sijafuata hatua mpya

    Ndugu zangu hamjambo ? Natumia ukurasa huu kuwaambia watumishi wa Vodacom na wahusika wote wa MGODI kuwa mtamponza mtumishi wenu kwa hizi sarakasi zenu . Mimi natumia laini ya voda mwaka jana nilijiunga na huduma ya MGODI specifically nilipendelea kuweka kiasi cha akiba kwenye akaunti ya akiba...
  2. Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
  3. D

    Kuwashwa mwili ni tatizo jipya Dar es Salaam?

    Salaam wakuu. Siku za hivi karibuni nimeona na kushuhudia wakazi wengi hapa Dar es salaam wametokwa na vipele na kuwashwa mwili. Hasa watoto nimeona wengi pia wanawashwa na vipele mwili mzima. Hivyo nauliza, huu ni ugonjwa wa kawaida au Kuna tatizo lipo? Nauliza na nini cha kufanya ikiwa...
  4. Wananchi wa Tanzania hawataki utawala wa haki na Sheria. Matendo yao ndiyo yanathibitisha. Binafsi sioni umuhimu wa katiba mpya, hii inatosha

    Habari za asubuhi! Katiba ya Tanzania sio kikwazo cha maendeleo, katiba ya Tanzania sio kikwazo cha haki za binadamu. Yet, mapungufu madogo madogo yapo lakini si makubwa. Nchi zote duniani katiba zao zina mapungufu kulingana na muda. Hivyo nashauri marekebisho kufanyika kidogo kidogo kadri siku...
  5. Papa na Vatican wataja maeneo ambayo kanisa la RC wanafanya katiba mpya, bandari na tume yauchaguzi hayamo

    Pope Francis meets with President of Tanzania Pope Francis holds an audience with President Samia Suluhu Hassan of the United Republic of Tanzania, expressing their joint commitment to promoting peace in the world. By Deborah Castellano Lubov Pope Francis received the President of the United...
  6. Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalorushwa na CMG lazidi kujibebea umaarufu duniani

    Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China (CCTV Gala) ama kwa jina jingine linajulikana kama Chunwan, ni tamasha maalum la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalotayarishwa na Shirika Kuu la Utangazaji la China, (CMG). Tamasha hili ambalo hutangazwa kila mwaka katika mkesha wa Mwaka Mpya wa China sio tu...
  7. Je, jeshini na vyuoni ndio sehemu kubwa za kuleta teknolojia mpya kwa nchi?

    Jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuchangia katika kuleta na kukuza teknolojia mpya kwa nchi, lakini ni muhimu kutambua kwamba sehemu zingine za jamii na sekta zinaweza pia kuchangia kwa njia kubwa. Hapa kuna jinsi ambavyo jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuwa sehemu muhimu ya kuleta teknolojia mpya...
  8. R

    Kwanini wagonjwa wamepungua hospitalini baada ya sheria mpya ya bima ya afya NHIF?

    Kuna upungufu wa wagonjwa hospitalini hasa wazee na watoto. Wanafunzi wanarejea nyumbani badala ya kupelekwa hospital wanapoumwa. Muda wanaotumia wanafunzi kufuatilia bima ya afya ni mwingi kuliko muda wa masomo. Kadi za bima kwa wanafunzi hazitoki na mara nyingi utoka wanapomaliza mwaka kwa...
  9. Karibu mkuu mpya wa shule ya sekondari Nyiendo hapaHalmashauri ya mji wa Bunda...

    Binafsi nipongeze mabadiliko yaliyofanywa ya kuleta mkuu mpya wa shule ya Sekondari Nyiendo hapa Bunda.Ushauri wangu kwako naomba ujikite kwenye maeneo yafuatayo ill ufanikiwe 1.Epukana na wapambe ambao kwa lugha za siku hizi wanaitwa "machawa".Hawa ndio sumu kwa maeneo mengi ya makazini...
  10. Makonda: Stendi mpya Iringa ipewe jina la Chongolo

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amesema ataishawishi Serikali na Uongozi wa juu mara baada ya kukamilika kwa stendi mpya Iringa ili ipewe jina la aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kwakuwa ameacha alama ndani ya CCM. Makonda amenukuliwa akisema...
  11. Ghana: Serikali yasitisha Kodi mpya ya Umeme baada ya Wananchi kuigomea

    Serikali ya ghana imesitisha mipango ya kutekeleza ushuru wa 15% kwa nguvu, kufuatia ghasia za umma kwamba itazidisha mzozo wa gharama ya maisha. Kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ilipaswa kutozwa kwa watumiaji wa ndani wa umeme. lakini vyama vya wafanyikazi vilipinga ushuru huo mpya na...
  12. Waziri Mkuu Ufaransa amteua aliyekuwa mume wake kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

    Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Gabriel Attal ambaye ni shoga amemteua mume wake Stephane Sejourne kuwa waziri wa mambo ya nje, siku chache tu baada ya yeye kuwa shoga wa kwanza aliyejinadi hadharani kushikilia wadhifa wa uwaziri mkuu wa nchi hiyo. Sejourne, ambaye pia anaongoza chama cha siasa...
  13. Hossam Hassan awa kocha mpya wa Misri

    Chama cha soka cha Misri kimemteua mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo kuwa kocha mpya wa timu hiyo Hii ni katika kujipanga upya baada ya kuboronga kwenye michuano ya Afcon
  14. Signings zetu Mbili mpya zinaanza Kulipa, zao Mbili moja Imesharogwa na nyingine inaendelea Kujitafuta wakati haijui Mpira kabisa

    Na safari hii tunatumia Mbinu mpya ya Kuwakinga Kindumba / Kiuganga na tabia zenu za Kuwaroga ili wasiwike kama huko walikokuwa hamtotuweza tena. Kuna Siku hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilisema kuwa kuna Mchezaji wenu Mmoja aliwika ghafla na mkampenda kuliko Maelezo anaenda kupotea Kitabia...
  15. Maazimio mangapi ya mwaka mpya umeshayavunja?

    Kuna maazimio mazito niliyaweka lakini wapi nishapoteza mengi tu. Nilisema sitakunywa soda na nimeshakunywa tano, nilisema sitatumia sukari na nishainywa. Nilisema sigusi nje tayari kuna mmoja alijileta. Yaani tafrani tupu.
  16. ACT Wazalendo waitaka Serikali kusitisha Nauli mpya za Mabasi na Daladala, kushusha bei ya Sukari

    Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kupunguza mzigo wa gharama za maisha kwa Wananchi kwa kusitisha Nauli Mpya za Daladala na Mabasi zilizoanza kutumika Desemba 2023 pamoja na kushusha Bei ya Sukari inayolalamikiwa Nchi nzima. Kupitia taarifa yake, ACT Wazalendo kimesema kitendo cha...
  17. G

    Nini kilisababisha Katiba Mpya isipitishwe 2014?

    Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa. 1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane? 2. Nini kilisababisha katiba mpya isipatikane? 3. Hasara gani tumezipata kama taifa baada ya kupoteza nafasi ile ya kupata...
  18. Mnaotumia bidhaa mpya ya microsoft ya windows 10 someni tena hapa mjue hatari inayowakabili

    Mada hii imeshajadiliwa na wenzetu kabla. Hata hivyo kutokana na umuhimu wake ni muhimu kuijadili katika vipembe vingine kuzidi kuifahamu Microsoft wameshatangaza kuwa toleo la windows 10 liliopo sasa litafikia ukomo ifikapo oktoba 2025.Watumiaji wake wataachwa kujikongoja na toleo hilo na...
  19. Kabla ya Katiba Mpya tupige kura kuhusu hatima ya Muungano

    Kabla ya zoezi la kuandaa katiba mpya halijaanza, nivema tupige kura kuamua hatima ya muungano huu ambao kwa maoni yangu sioni kama una tija. Baada ya kupiga kura ikitokea wananchi wamekataa muungano basi Watanganyika tuendelee na zoezi la kuunda katiba yetu, na wazanzibari watajua wenyewe...
  20. Maonesho ya Miaohui ya kuadhimisha Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yafanyika nchini Uganda

    Maonesho ya Miaohui ya kuadhimisha Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yaliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini Uganda pamoja na idara ya utamaduni ya Uganda yamefanyika hivi karibuni mjini Kampala, na kuwavutia maelfu ya watu waliotaka kushuhudia utamaduni maalumu wa Kichina. Maelfu ya Waganda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…