GE2025 Rais Samia: Katiba mpya itatekelezwa miaka 5 ijayo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge rasmi Bunge la nchi hiyo na kutoa ahadi mbali mbali.

Bunge hilo linatarajiwa kuvunjwa rasmi tarehe 3 Agosti ili kutoa fursa kwa taifa hilo kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

Akihutubia Bunge 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia amesema: “Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu Tume huru ya Taifa ya uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa siasa nchini”.

Aliendelea kusema kuwa: “Niseme kuwa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi itatangaza hivi karibui tarehe ya siku ya uchaguzi, zoezi la uandikishwaji limeshakamilika nchi nzima, Sote tumeshuhudia mwitikio mzuri wa wananchi kujitokeza kwenye vituo vya wapiga kura”

Rais huyo wa Tanzania amesema kuwa kuwa uhuru wa habari na uhuru wa watu kutoa maoni yao umeongezeka, akitoa mfano kuwa majukwaa ya kutoa habari nayo yameongezeka, ’’ Tunathamini na kutambua mchango mkubwa wa vyombo vya habari ”, amesema.

Ameongeza kusema kuwa ''Mchakato wa katiba mpya ni miongoni mwa ahadi ambazo zinaonekana katika ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2025/2030''
 
Yuko sawa, katiba jambo kubwa haitakiwi kulipua lipua
 
Kuna kila dalili kwamba baadh ya watanzania wezetu wameanza kujitenga na huyu rais.

Kuna kauli Kama 'mama yenu" "rais wenu" n.k
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge rasmi Bunge la nchi hiyo na kutoa ahadi mbali mbali.

Bunge hilo linatarajiwa kuvunjwa rasmi tarehe 3 Agosti ili kutoa fursa kwa taifa hilo kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

Akihutubia Bunge 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia amesema: “Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu Tume huru ya Taifa ya uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa siasa nchini”.

Aliendelea kusema kuwa: “Niseme kuwa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi itatangaza hivi karibui tarehe ya siku ya uchaguzi, zoezi la uandikishwaji limeshakamilika nchi nzima, Sote tumeshuhudia mwitikio mzuri wa wananchi kujitokeza kwenye vituo vya wapiga kura”

Rais huyo wa Tanzania amesema kuwa kuwa uhuru wa habari na uhuru wa watu kutoa maoni yao umeongezeka, akitoa mfano kuwa majukwaa ya kutoa habari nayo yameongezeka, ’’ Tunathamini na kutambua mchango mkubwa wa vyombo vya habari ”, amesema.

Ameongeza kusema kuwa ''Mchakato wa katiba mpya ni miongoni mwa ahadi ambazo zinaonekana katika ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2025/2030''
CCM hawawezi kukata tawi walilokalia, ikipatikana katiba mpya na wao ndio bai bai.
 
Wanaanza upya watu wajilie maposho posho au wanaanzia alikoishia Warioba
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge rasmi Bunge la nchi hiyo na kutoa ahadi mbali mbali.

Bunge hilo linatarajiwa kuvunjwa rasmi tarehe 3 Agosti ili kutoa fursa kwa taifa hilo kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

Akihutubia Bunge 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia amesema: “Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu Tume huru ya Taifa ya uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa siasa nchini”.

Aliendelea kusema kuwa: “Niseme kuwa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi itatangaza hivi karibui tarehe ya siku ya uchaguzi, zoezi la uandikishwaji limeshakamilika nchi nzima, Sote tumeshuhudia mwitikio mzuri wa wananchi kujitokeza kwenye vituo vya wapiga kura”

Rais huyo wa Tanzania amesema kuwa kuwa uhuru wa habari na uhuru wa watu kutoa maoni yao umeongezeka, akitoa mfano kuwa majukwaa ya kutoa habari nayo yameongezeka, ’’ Tunathamini na kutambua mchango mkubwa wa vyombo vya habari ”, amesema.

Ameongeza kusema kuwa ''Mchakato wa katiba mpya ni miongoni mwa ahadi ambazo zinaonekana katika ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2025/2030''
Ndiyo alivyosoma hajasema yeye
 
Tu
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge rasmi Bunge la nchi hiyo na kutoa ahadi mbali mbali.

Bunge hilo linatarajiwa kuvunjwa rasmi tarehe 3 Agosti ili kutoa fursa kwa taifa hilo kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

Akihutubia Bunge 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia amesema: “Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu Tume huru ya Taifa ya uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa siasa nchini”.

Aliendelea kusema kuwa: “Niseme kuwa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi itatangaza hivi karibui tarehe ya siku ya uchaguzi, zoezi la uandikishwaji limeshakamilika nchi nzima, Sote tumeshuhudia mwitikio mzuri wa wananchi kujitokeza kwenye vituo vya wapiga kura”

Rais huyo wa Tanzania amesema kuwa kuwa uhuru wa habari na uhuru wa watu kutoa maoni yao umeongezeka, akitoa mfano kuwa majukwaa ya kutoa habari nayo yameongezeka, ’’ Tunathamini na kutambua mchango mkubwa wa vyombo vya habari ”, amesema.

Ameongeza kusema kuwa ''Mchakato wa katiba mpya ni miongoni mwa ahadi ambazo zinaonekana katika ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2025/2030''t
Tuweke kipengele cha kuwanyonga mpaka kufa viongozi aina ya Samia na Kikwete.
 
Niwaambieni TU,
Katiba mpya ni fupa ngumu Sana Kwa Kila raisi alieko madarakani kuongoza nchi hii.

Na hakuna Raisi yeyote Toka CCM anaetamani jumba bovu limuangukie akiwa kwny utawala wake, akaandikwe vibaya kwny vitabu vyote vya historia ya tanzania

Kikwete aliona amsakizie jpm pindi anaondoka ili ahangaike nalo, yeye akienda zake mapumzikoni.

Jpm akalipiga chini laivu kabisa kupepesa.

Na matumaini yakahamia Kwa samia , kwasababu ni ke wakaamini atawaonea huruma.

Samia kastuka katiba itampiga pini Hadi yeye mwenyewe kuongoza nchi, kaamua kusogeza 5yrs ahead, ili nae akamsakizie Raisi mwingine ajae.

Nnachoamini mimi,
mwendo utakua ndo huu huu for many years to come, mtatulizwa afu kitu kitasogezwa mbele.

Hakuna Raisi anaipenda katiba mpya ikamtese kwenye urasi wake.

mifano ni mingi sana.

Angalia Kwa majirani Kenya,

1. jins katiba mpya inavomtesa kenyatta punde baada ya kutoka madarakani, check Jinsi waliokua maadui zake kisiasa wanavomshughulikia nje ya mfumo Kwa kutumia katiba Ile ile aliyoipitisha yeye mwenyewe.

2. Angalia jinsi ruto anavoshindwa kuitawala nchi yake, nchi Ina uhuru WA manyani Hadi anahisi kuchanganyikiwa.

-Juzi kati katoka kuzibuana na makamu wake WA Raisi,mpk Sasa ni mbwai mbwai. Aliekua makamu wake anamchafua presdaa Kila anakopewa kipaza, ndani ya Kenya mle mle. Huo ujinga kamwe uwezi kuufanyia nchi hii.

-Hivi karibuni GENZ nao wamemkalia kooni, maandamano Kila KUKICHA Hadi asset za bunge zinaharibiwa, Hana Cha kuwafanya. Kisingizio, ni kuandamana ni haki Yao kikatiba, hawataki kupangiwa.

Kwa Sasa Pale, Kenya Kila mtu ni kambale, hajulikani mkubwa nani, mdgo nani. Majaji ndo wamegeuka maRaisi WA Kenya.

Kuongoza Kenya Kwa Sasa, ni Bora ukakae nyumbani kwako uleee wajukuu zako TU, maana sio Kwa mateso yake anayopitia ruto.

Idara ya usalama WA taifa Kenya, imekua Kama kiwango security TU, Haina meno kabisa.

NCHI IMEKUA NI VURUGU KILA KUKICHA

HADI JANA RUTO KASEMA mwnyw "ANATAMANI sn KUJIFUNZA JINS TANZANIA WANAVOWEZA KUSHUGHULIKA NA kuyazuia maandamano kabla hayajatokea"

KIUHALISIA SUALA LA KATIBA SIO LELEMAMA
 
Hata ilani ya uchaguzi ya 2015/20 ilikuwa na ahadi ya katiba mpya ndani yake lakini baada ya uchaguzi CCM waliikana. Kwa hiyo hamna lolote hapo, ni hadaa hizo
Vyama vya Siasa HAVIWEZI kuleta Katiba Mpya Tanzania, but it's the will of tanzanians that will bring The New Constitution of the United Republic of Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom