mpya

  1. L

    JamiiForums Tanzania Idadi ya safari wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yaashiria uhai na ufunguaji mlango

    Msimu wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China umeanza hivi karibuni. Msimu huu ni wa kwanza wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China tangu kutangazwa kwa mapumziko ya siku nane ya sikukuu hii, kupanuliwa kwa sera za kutohitaji visa, na kuongezwa rasmi kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China...
  2. JamiiForums Tanzania Ngoma mpya ya Mex Cortez ni moto wa kuotea mbali.....!!!!

    Huyu jamaa bwana kiukweli kibongobongo ni so underrated. Anavitu adimu sana kwenye flows zake, sasa hili jiwe kamshirikisha mkongwe G- Nako kwenye chorus na verse 2 kasimama Dizasta vina 'the black maradona'. Ebana eeeh, hebu kula chuma...
  3. JamiiForums Tanzania Imeisha hiyo: Samia ndo Rais 2025-2030. Nguvu zote zielekezwe kwenye Katiba Mpya iliyo bora

    Ndugu zangu sukuma gang poleni sana. Najua mmeumia sana. Ila huo ndo mchezo wa siasa ulivyo. Watu wali mu underestimate sana Samia kuhusu uwezo wake wa kufanya siasa. Sasa mmejionea kwa chenga ya mwili aliyowapiga kule Dodoma wote mliokuwa mnapanga kumuangusha kupitia mchakato wa ndani ya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuanzisha utamaduni mpya wa kuchukulia ni jambo la kawaida mwanamke kuzaa, kuwepo sherehe, pongezi na zawadi baada ya DNA TEST

    Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Erling Haaland asaini mkataba mpya kubaki Man City mpaka 2034

    MSHAHARA WA ERLING HAALAND NDANI YA MAN CITY Thamani ya Mkataba Jumla £260,000,000 (Tsh. Bilioni 798.6) Kwa Mwaka £26,000,000 (Tsh. Bilioni 79.8) Kwa mwezi £2,166,666 (Tsh. Bilioni 6.6) kwa Wiki £500,000 (Tsh. Bilioni 1.5) Kwa siku £71,428 (Tsh. Milioni 219.4) Kwa Saa £2,976 (Tsh. Milioni...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jahazi linapoelekea kuzama Mbowe na CCM waja na mkakati mpya. Tuona na kusikia mengi!

    Kwamba? Ila mdahalo wameukimbia? Kwani mahuku-taabu lini waliwahi kumpenda au kumtakia jema? Ukweli mchungu: "kunguru hategwi au kushawishiwa kwa maharage makavu!"
  7. JamiiForums Tanzania Tunaelekea Zama Mpya

    Kwanzia mwaka huu 2025 dunia itashuhudia mambo mengi ya kutikisa akili, kusisimua na ya maajabu mbele ya macho yetu Kwenye upande wa medicines, technology, uongozi, kutakua na uwezekano usio na mwisho mfano watu wataweza kujenga nyumba kwa siku moja na mengine mengi get ready funga mkanda...
  8. JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi limewekwa leo kwenye nipashe

  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki mpya ya kazi unauzwa

    Pikipiki ya kazi na ya uhakika kutoka KINGLION, hii inapita popote na inafanya kazi wakati wowote. Model: 150-9AEngine Capacity: 150ccFuel consumption: 1L/55KM Ukinunua unapata usajili bure, jacket, T-shirt na Helmet 2. Piga simu au WhatsApp: 0683535699
  10. JamiiForums Tanzania Sekondari Mpya Kijijini Muhoji: Wazazi Waamua Kutoa Chakula cha Mchana kwa Watoto Wao

    SEKONDARI MPYA KIJIJINI MUHOJI: WAZAZI WAAMUA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATOTO WAO Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, lina Sekondari za Kata 26 na 2 za Binafsi. Sekondari mpya 6 zimepagwa kufunguliwa mwaka huu. Matayarisho ya kuanza ujenzi wa sekondari nyingine sita (6) yamekamilika...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu akiwa Mwenyekiti Mpya; Mbowe akawa mshauri wa Chama, Dr. Slaa atarejea CHADEMA?

    Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama. Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka mpya niliulia Cello ya Police

    Wadau wasalaam.Toka nizaliwe sijawahi kulala Police ila tarehe 2 nililala. wadau pale nilivua viatu na nikakaguliwa nikawakuta jamaa wawili wakituhumiwa kuiba ndizi na kuku. Wadau pale sakafuni palikua na baridi la kufa mtu na sio poa. Ndugu zangu fanya yote ila pale sio poa yani. Tarehe 3...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo anunua Ndege mpya Gulfstream G650 yenye thamani ya Bilioni 187

    https://fntaz.com/cristiano-ronaldo-anunua-ndege-mpya-yenye-thamani-ya-75-milion/
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kesho ndo utekelezaji wa mtaala mpya kwa kidato Cha kwanza unaanza: vitabu havijafika mashuleni, mafunzo kwa walimu yametolewa wakati likizo na Bure..

    Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya! Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess). Waliohudhuria, walilazimika kugharamika kidogo kinauli pamoja na muda wao wa kupumzika. Mafunzo yalikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Lebanon anasema magaidi wa hezbollah hawana nafasi katika nchi hio

    Mwamba anaitwa joseph aoun. Aliwahi kuhudumu kama jenerali katika jeshi la Lebanon.
  16. R

    JamiiForums Tanzania TRA Portal, ni mfumo mpya unaohitaji Elimu ya kutosha na maandalizi ya mwaka mzima

    Habari , Nimepata taarifa kuwa, T.RA inawatangazia Watu kuwa Kuna mfumo mpya unatakiwa kuanza matumizi mwezi February 2025, Mfumo huu unampa access ya Moja Kwa Moja mteja mwenye tin namba kuweza kubadili umiliki wa chombo chake direct kupitia mfumo mpya wa T.RA Portal . Pia upatikanaji wa...
  17. JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa kumtaka Mbowe apumzike

    https://youtu.be/wotqcW18b80?si=NFAt1ArFxLTbV80L Wakuu, Mbowe kachokwa na Wanachama na Watanzania kwa ujumla, sijui ni kwanini hasomi alama za nyakati?. https://youtube.com/shorts/N_2vsS8I9r0?si=zsAT7UMXzF9JhWzB
  18. K

    JamiiForums Tanzania YAHUSU MTAALA MPYA

    Jana usiku nilifuatilia mjadala wa Hoja yenye kichwa cha habari kinachohusu Mtaala Mpya katika Shule za Sekondari ambayo inasisitiza "Elimu Ujuzi". Nia ya mpango huu ni nzuri kabisa na nimponngezee Mhe. Rais na viongozi wote walioliona wazo hili. Wanafunzi wanatakiwa wawe na elimu ya ujuzi ili...
  19. JamiiForums Tanzania Mshindi Uenyekiti CHADEMA anaweza kutangazwa usiku wa manane!

    Kwa Hizi figisu kuna kila dalili Mshindi wa uenyekiti atatangazwa usiku wa manane ili kupunguza vurugu. Natanguliza salamu za Pongezi kwa Mwenyekiti FAM kwa ushindi mnono wa kura
  20. JamiiForums Tanzania Heri ya mwaka mpya , Heri ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu!

    Ikiwa Leo ni Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu, Umri ukiwa umesogea sana nimeona niwaachie ujumbe kidogo Maisha yanapokupa baraka nyingi usikimbilie kusema wenzako ni Wavivu, watu wapo kimya hawasemi tu ila wanapigana vita nyingi sana na wanafeli ila hawalalamiki, ukipata shukuru. Mwanangu wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…