mpwapwa

Mpwapwa is a market town, in the Dodoma Region of Tanzania. It is the district capital of Mpwapwa District. According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Mpwapwa (Mpwapwa Mjini ward) was 21,337.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    DOKEZO Kero katika huduma ya afya

    Hospitali ya (w) Mpwapwa ni moja ya hospitali ya umma yenye duka lake la dawa. Cha kushangaza zaidi unakuta kwenye dirisha la dawa la hospitali hakuna dawa ila kwenye duka la dawa la hospitalini kuna dawa. Na zaidi mgonjwa anaelekezwa akanunue dawa kwenye hilohilo duka la hospitalini. Pili...
  2. W

    TAKUKURU nawasihi Fikeni Wilaya ya Mpwapwa Dodoma

    Wilaya ya Mpwapwa ina Majimbo mawili, Mpwapwa Mjini na Kibakwe. Hamtakosa kuondoka na VICHWA kadhaa vya mtoaji na mpoleaji Sisi ngoja tuendelee kukusanya Ushahidi.
  3. DuaZaMama

    GE2025 Maiko Salali Hosea atia nia kugombea Ubunge, Jimbo la Mpwapwa

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Maiko Salali Hosea amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  4. Roving Journalist

    Doreen Kissia: Serikali ituletee umeme katika Mgodi wa Ikombo Hill - Kijiji cha Matonya (Mpwapwa) ili kupunguza gharama kubwa za uendeshaji

    Mmiliki wa mgodi wa Ikombo Hill uliopo katika Kijiji cha Matonya, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Bi. Doreen Kissia, ameibuka kuwa mfano wa kuigwa katika sekta ya uchimbaji wa madini ya shaba, akiwa mwanamke pekee anayeongoza mgodi unaotoa ajira kwa zaidi ya asilimia 98 ya wakazi wa vijiji vya...
  5. Izizimba

    Naomba kufahamu namna ya kufika Mpwapwa JKT 826 KJ

    Habari, Nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda Mpwapwa JKT. Naomba kufahamu namna ya kufika kambini. Mdogo wangu yupo Dodoma mjini. Akiwa anatokea Dodoma kwa usafiri wa bus ashukie wapi? Je kambi ipo mbali na Mpwapwa mjini?
  6. C

    TANZIA Mkuu wa Chuo cha Ualimu Mpwapwa afariki ajalini

    Mkuu wa Chuo cha Ualimu Mpwapwa Ndugu Richard Gerald Melkiori amefariki kwa ajali mbaya ya gari wilayani CHAMWINO. Bwana alitoka, Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.
  7. bopwe

    "SGR Imefika Mpwapwa, Lakini Mizigo Bado Inapiga Kambi Bandarini!"

    Kutokuiunganisha Bandari ya Dar es Salaam moja kwa moja na mtandao wa SGR ulikuwa uamuzi usio na mtazamo wa mbali, na ni moja ya makosa makubwa ya kimkakati katika mradi wa reli mpya. Je, Kulikuwa na Ukosefu wa Maono? Ndiyo, kwa sababu bandari ndiyo chanzo kikuu cha mizigo ya transit, na reli...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mpwapwa: Atoa tahadhari kwa Mbowe na Lissu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Mpwapwa mkoani Didoma, ametoa tahadhari kwa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho kuacha kulalamika pindi mmoja wao atakapochaguliwa kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Januari 21, 2025.
  9. K

    DOKEZO Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kuna mazingira tata, upandishwaji vyeo unafanyika kwa kujuana

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali hapa Mpwapwa Mkoani Dodoma, kero moja kubwa ni kuwa kuna urasimu wa upandishwaji wa Madaraja ya Mishahara na pia baadhi ya wenzetu lugha mbaya wanapokuwa katika majukumu yao. Kinachouma zaidi ni kuwa kuna watushi wana miaka zaidi ya kumi hawajapandishwa licha ya...
  10. chakutu

    Wanafunzi wakaidi na waanzilishi wa fujo wa Shule ya Sekondari Mpwapwa, Dodoma wachoma matranka na nguo za wanafunzi wenzao

    Wakaidi hao Wanajigamba hakuna Mwalimu yeyote wala Mkuu wa Shule anayeweza kuwafanya chochote, Mpaka sasa Wanafunzi wanaendelea na Masomo. Ninachojiuliza ni hivi kama wangeunguza Mabweni ingekuwaje ? Mali zote za shule kongwe kwa kweli zingeungua pamoja na Vifaa vyao
  11. E

    Simbachawene fuata yako ya jimbo la Kibakwe ya kwetu Mpwapwa tuachie tutamaliza wenyewe

    Umekuwa mstali wa mbele ukimpigia chapuo kijana Mkemwa ambaye ni wakwenu huko jimboni Kibakwe ili eti awe Mbunge wa Mpwapwa kwa sababu huyu aliyopo ameshindwa kabisa ku-crick. Huoni kamaa hututendei haki na unatuingiza chakaa kwa makusudi kabisa? Pili huoni kama waziri unapen yeza agenda zako...
  12. The Book

    Mgogoro dayosisi ya Mpwapwa

    KUTOKA KANISA ANGLIKNA DAYOSISI YA MPWAPWA! Baada ya kifo cha ghafla cha aliyekuwa askofu wa dayosisi ya Mpwapwa aliyefia Tanga baada ya kuhudumu kwa siku sita tu,ukaitishwa uchaguzi mwingine ambao umeleta mgogoro wa muda mrefu tangu mwezi mei hadi leo hii. Chanzo hasa cha mgogoro huo ni mmoja...
  13. Swahili AI

    DOKEZO Barabara ya Kongwa - Mpwapwa ni tatizo

    Hakika katika wilaya nchini zinazosababisha Tanzania kuendelea kuwepo kwenye kumi bora ya nchi zenye wanachi wasio na furaha basi hii wilaya ina mchango mkubwa. Barabara ni ya vumbi na mbaya zaidi ina matuta madogomadogo a.k.a rasta ambapo kwa basi au gari mtikisiko unaotoka kwa kupita kwenye...
  14. N

    Bilioni 27 kujenga bwawa la umwagiliaji Mpwapwa!

    Source: ITV habari (saa 2 usiku). Mama, M/Mungu akutilie wepesi kwenye kila mnalolipanga.......hakika unajitahidi kuupiga mwendo. Vitendo vitasema vyenyewe baadae!
  15. naliwe

    Mpwapwa: Askari adaiwa kumpiga risasi mwenzie wakati wa kumkamata bodaboda

    Kwa hali isiyo ya kawaida, Askari aitwae NANGU amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na askari mwenzie kwenye harakati za kukamata bodaboda, tunaendelea kulifuatilia swala hili kwa ukaribu kwa maelezo ya kina.
  16. Msitari wa pambizo

    Askofu wa Kanisa Angliakana Dayosisi ya Mpwapwa afariki siku 6 baada ya kuwekwa wakfu

    Katika hali ya majonzi na maskitiko askofu mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania Mahimbo Mndolwa ametangaza kifo cha Askofu mpya wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa George Chiteto leo tarehe 3.9.2022 ikiwani nitakribani siku sita tangu askofu huyo alipowekwa wakfu wa kuwa askofu mkuu wa dayosisi...
  17. Motheojohn

    SoC02 Janga la Njaa Mpwapwa

    JANGA LA NJAA MPWAPWA Mpwapwa ni wilaya inayopatikana mkoani Dodoma nchini Tanzania , ni wilaya yenye ardhi iinayosifika zaidi Kwa kilimo kikubwa Cha mazao ya biashata na chakula . Baadhi ya mazao yanayopatikana wilayani humo ni kama Mahindi ,Kkaranga,, mtama, alizeti, ufuta, viazi mviringo...
  18. Greatest Of All Time

    Askari Polisi wa Mpwapwa, Rashid Mohamed Juma ambaye afariki akiangalia Mchezo wa Simba na Yanga

    Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma! Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
  19. Red Giant

    Safari ya Shaaban Robert kutoka Tanga kwenda Mpwapwa

    ABIRIA CHEO CHA PILI DARAJA yangu katika kazi sasa ilikuwa imeniwezesha kusafiri kama abiria wa cheo cha pili katika gari moshi. Mapendeleo haya yanayotamaniwa yalinijia baada ya miaka kumi na nane ya kazi serikalini. Julai 13, 1944, nilichukua tikiti, na baada ya kuagana na marafiki...
Back
Top Bottom