dada_rose New Member Joined Sep 15, 2026 Posts 1 Reaction score 4 Sep 15, 2026 #1 Nina mpunga aina ya sindano kutoka songwe Zipo gunia 200 Ujazo debe 7 Mpunga ni safi na tayari kwa biashara Karibuni ,kwa mawasiliano 0681823347
Nina mpunga aina ya sindano kutoka songwe Zipo gunia 200 Ujazo debe 7 Mpunga ni safi na tayari kwa biashara Karibuni ,kwa mawasiliano 0681823347
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,538 Reaction score 9,014 Sep 19, 2026 #2 dada_rose unagawa bure.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,965 Reaction score 21,976 Sep 19, 2026 #3 Daaaah sio kwa bei iyo mkuu. Kazi ni kipimo cha utu
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 21,160 Reaction score 64,774 Sep 19, 2026 #4 Unauza bei gani kwa gunia la debe 7? Ukiweza ambatisha na picha ili wasiofahamu waweze kufahamu huo mpunga sindano Mcheki Rafael yule jamaa wa Uyole, anaweza kununua wote
Unauza bei gani kwa gunia la debe 7? Ukiweza ambatisha na picha ili wasiofahamu waweze kufahamu huo mpunga sindano Mcheki Rafael yule jamaa wa Uyole, anaweza kununua wote
Messenger RNA JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 1,497 Reaction score 3,874 Sep 19, 2026 #5 dada_rose said: Nina mpunga aina ya sindano kutoka songwe Zipo gunia 200 Ujazo debe 7 Mpunga ni safi na tayari kwa biashara Karibuni ,kwa mawasiliano 0681823347 Click to expand... Jitahidi, unapoweka tangazo zingatia masuala muhimu ikiwemo bei.
dada_rose said: Nina mpunga aina ya sindano kutoka songwe Zipo gunia 200 Ujazo debe 7 Mpunga ni safi na tayari kwa biashara Karibuni ,kwa mawasiliano 0681823347 Click to expand... Jitahidi, unapoweka tangazo zingatia masuala muhimu ikiwemo bei.