mpunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ni uhakika; Menya punje tatu za mpunga ambao haujakauka na kuvunwa, tafuna. Utapata nafuu ya misuli na utajisikia vizuri

    Mpunga ambao upo shambani chuma shina moja, kisha chukua punje tatu tu za chuya ya mpunga, menya maganda kisha tafuna, muda huo huo utajisikilizia hali kubadilika na kujisikia hali ya utulivu ambayo unaweza kuangalia mechi ya mpira bila kuchoka Utafiti huu ni wangu ukitaka kuzalisha na kufungua...
  2. MONA WA KYEN

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mpunga Dodoma

    Wakuu habari napenda kuuliza anaefahamu kuhusu biashara ya kukoboa na kuuza mpunga maeneo ya Dodoma mjini na hata pembezoni mwa jiji. Ningependa kufahamu 1. Upatikanaji wa mpunga kwa bei rahisi na mzuri huwa hasa maeneo gani? 2. usafirishaji wake ukoje na garama yake ina range kiasi gani? 3...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mama mbaroni kwa kuwatelekeza watoto kwenye majaruba ya mpunga usiku

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limemtia mbaroni mama mmoja aitwaye Happyness Mafuru, kwa tuhuma ya kuwatelekeza watoto wake wawili katika majaluba ya mpunga, huko mtaa wa Mtakuja kata ya Nyamhongolo wilayani Ilemela Jijini Mwanza. Watoto hao wameokotwa wakiwa hai na kisha kupelekwa katika...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwenyekiti PAC amtaka Kangi Lugola kutoa maelezo kuhusu sakata la ufisadi katika ununuzi wa sare za Jeshi la Polisi nchini

    BAADA ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya ufisadi, sasa kuwekwa kikaangoni bungeni. Kaboyoka ametoa hoja hiyo wakati akizungumza bungeni jijini Dodoma, jana tarehe 29 Januari 2020, huku akimtuhumu Lugola kwamba...
  5. Chereko tena

    JamiiForums Tanzania Ushauei kuhusu mpunga msimu huu

    Wadau kwa Hali ya mvua mwaka huu kilimo Cha mpunga chaweza kuwa na manufaa,nataka kuwekeza mikoa ya shinyanga na tabora,ushauri kwenu Ni mda gani sahihi wakusia mbegu kabla ya kupanda-naweza mwaga mbegu nipande January mwishoni,ushauri wadau
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Mkakati mwingine wa kuendeleza mpunga waja

    Serikali imezindua mkakati wa taifa wa awamu ya pili wa miaka 10, wa kuendeleza zao la mpunga nchini ili kuhakikisha wanafikia hekta milioni moja ifikapo mwaka 2025. Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, ambapo alisema lengo ni kuona wanaongeza uzalishaji wa zao la mpunga...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vijana ni wakati wa kupiga pesa kwenye biashara ya mpunga

    Wakati huu maeneo mengi yanavuna mpunga, na tayari mchele mpya umeisha anza kuuzwa, kwa yule kijana mwenye uchu na mafanikio ni wakati wa kutengeneza pesa tena kwa mtaji kidogo. Biashara ya mchele ni biashara ya nzuri na hasara zake ni ndogo kutokana na ukweli kwamba huvunwa nchini kwa muda...
Back
Top Bottom