Poleni makolo kwa kupoteza fainali Jana...Ni matokeo ambayo watanzania wengi tulitegemea kutokana na uwezo WA Timu yenu
Jana niliona half time Camara na Ngoma wanagombana ,Alafu mwishoni kabisa kwenye medali Pin pin Camara ameenda kuchukua medali bila ya kuwa na jezi ya Simba
Wanalunyasi...