Ni wazi mpira wetu wa miguu Tanzania bara kwa sasa umekuwa, lakini kukuwa bila ya ongezeko la usajiri kwa wachezaji wazawa nje na ndani ya nchi ni kazi bure. Maana haitasaidia kwenye ongezeko la ajira kwa vijana na ukuaji kiuchumi ,bali kumnufaisha tu mmiliki wa timu.
Kuwekeza kwenye Data na...
Nimeona kwenye clip ikitaja mishahara ya wachezaji wa Klabu ya Yanga na kuja kugundua kuwa wachezaji wazawa ukiwalinganisha na wachezaji wa nchi za kigeni wanalipwa mishahara midogo sana.
Kuna wachezaji wazawa ambao ndiyo tegemeo la klabu wanalipwa wastani wa T.shs. millioni tano kwa mwezi...
Habari za majukumu ndugu zangu, naomba kujua nini faida anazopata mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda kombe.
Natanguliza shukrani
Pia soma: Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu
Tofauti na basketball kuwa mchezo wa watoto wenye malezi bora na wanaothamini elimu ,soccer,football,kandanda ni mchezo wa kihuni tu bora hata boxing.
Kule USA huwezi kucheza ligi kuu ya kikapu kama hujapitia college,hata uwe na kipaji vipi lazima upitie college.
''Yanga waliandikamkataba kwa...
Hili ni andiko langu kwa wapenda soka nchini.
Bila shaka mtakubaliana nami, kwamba, tangu kuanzishwa kwa UMITASHMITA na UMISETA, kumekuwa na malalamiko mengi kwa walimu na wadau wengine kuwa, UMITASHMITA NA UMISETA hazijatusaidia sana kwenye sekta ya michezo hususani mpira wa miguu, hii...
Tanzania inajivunia utamaduni mzuri wa soka, huku timu zetu pendwa za Simba, Azam na Yanga zikizidi kuwasha shauku kubwa katika anga za kitaifa na kimataifa. Hata hivyo, hali ya sasa ya viwanja vya soka kote hapa nyumbani inashindwa kuendana na shauku hii. Hebu fikiria nyasi chakavu, vifaa duni...
1. Kocha Anaweza Kucheza Kwa Timu Kama Atakavyo: Wengi hawajui hili lakini kocha ni sehemu ya timu na anaweza kumtoa mchezaji na kuingia uwanjani kucheza. Mfano wa kawaida ni Gianluca Vialli ambaye alikuwa akicheza kwa Juventus na baadaye akawa kocha wa Chelsea, alikuwa bado anaweza kucheza na...
TIMU ZA MPIRA WA MIGUU ZIWE HURU KIBIASHARA.
Kipindi cha wakoloni mataifa ya Afrika yalitawaliwa na nchi zilizoendelea hadi zenyewe zilishidwa kuendela, ukiangalia kwa macho ya kawaida utasema wakoloni walileta maendeleo kwa sababu walijenga barabara, Treni, Shule hadi baadhi ya wapigania uhuru...
Kwanza nianze kwa kuwapa maua yenu Jamiicheck, binafsi nawakubali sana kazi yenu. Big up sana sana.
Twende kwenye mada.
Naona kuna Picha za wachezaji wa kike wakiwa wanaweka mpira ndani ya jezi tumboni, baadhi ya watu wanasema hiyo ni kampeni ya kuvitaka vilabu wasiachane na wachezaji wao...
Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana.
Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya...
Wanasema mpira sio kushinda magoli tu, bali mpira ni kujua kuuchezea na kuutawala.
Huu ni uzi maalumu wa kutupia video za udambwi dambwi wa mastaa kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu.
Mimi naanza na hawa viumbe wawili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo
DONDOSHA NAWEWE CLIP YA VIDEO...
Kwa mpira wa jana Simba dhidi ya Singida nashawishika kusema TFF hawana budi kuchunguza Mechi zote ambazo simba Wanacheza.
Inawezekana ndio mpango wa maboss wao kuwarubini Waamuzi ili wapate matokeo. Haiwezekani mechi zaidi ya 5 waamuzi Wanaochezesha mechi za Simba kufungiwa/ kulaumiwa
Kibaya...
Habari wanajukwaa ikiwa mwaka 2023 unaishia ishia. Taja member ambao unaona wanauelewa wa kiwango cha chini kwenye mpira, au pengine unazi wa utimu umemzidia. Mimi kwangu ni hawa wafuatao wakabadilike kuelekea mwaka mpya 2024.
1) Laban Og huyu nyuzi zake hazinaga maana zaidi ya unazi...
Wakuu mpo?
Naamini wengi tunaangalia mechi inayoelekea mwishoni kati ya Chelsea na Man City ila pia huenda tunnangalia mechi inayoendelea kati ya Lazio na Roma ambayo huenda ikaisha kwa suluhu ya 0-0.
Hivi kwa logic ya kawaida ni sahihi Chelsea na Man City walifungana 4-4 wapate point moja...
Kati ya vitu vinavyoniletea shida ni Ajira za Hawa waheshimiwa na walimu wengine kwa ujumla.Ebu tufikilie hapa kocha au mwl anapewa timu na anafanya kwa kadri ya uwezo wake na mwisho wa siku yeye haingii uwanjani kucheza na Yale alowaelekeza wachezaji wake wakishindwa kutekeleza zigo...
Mwananchi Communications Limited
Serikali ya Tanzania imejipanga kwelikweli katika kubeba jukumu la uenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 itakayoshirikiana na nchi za Kenya na Uganda.
Mara baada ya nchi kutambua kuwa inataka uenyeji wa fainali hizo zitakazokuwa za 36...
Mchezo wa kabumbu, ujulikanao kama Mpira wa miguu, kwa kimombo Soccer au Football. Ni miongoni mwa michezo pendwa Duniani, na ni mchezo unaoshika nafasi ya kwanza duniani kwa kutizamwa na kufatilia. Kwa hapa Tanzania mpira wa miguu umekuwa una vipindi maalumu vya uchambuzi kwenye Radio na TV...
Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) imetua salama alfajiri ya Septemba 9, 2023 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea nchini Algeria kwenye mchezo wa wa kufuzu mashindano ya AFCON 2023 yatakayochezwa mapema mwakani 2024 nchini Ivory Coast.
Katika mchezo huo...
Akihutubia kama mgeni Rasmi siku ya Simba Day, Rais Dk. Samia amesema Serikali yake Itajenga Viwanja vya Mpira wa Miguu vipya 2 kwenye Miji ya Arusha na Dodoma Ili kujiandaa na kuwa mwennyeji wa AfCoN 2027.
Rais Samia amesema viwanja hivyo vitakuwa na uwezo wa kuchukua Watazamani elfu 30,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.