mpira wa miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Michezo inaendeleza biashara ya watu na utumwa mambo leo

    Michezo inaendeleza Biashara ya watu Kwenye michezo sahivi ni pesa kwanza, maana yake biashara, watu wanauzwa na kununuliwa kama bidhaa mithili ya ilivyokuwa kwenye zama za utumwa miaka ile. Timu zinakaa mezani kupitia viongozi wao na kujadili bei ya wachezaji kisha kulipana pesa. Hii ni...
  2. Championship

    Kumi bora ya wacheza mpira wa miguu kuwahi kutokea hapa duniani mpaka sasa

    Wafuatao ndio wachezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea duniani. Vigezo ni mafanikio binafsi, mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwepo timu za taifa: 1. Lionel Messi 2. Edson Pele 3. Diego Maradona 4. Christiano Ronaldo 5. Franz Beckenbauer 6. Johan Cruyff 7. Zinedine Zidane 8. Ronaldo...
  3. P

    Tasnia ya Mpira wa miguu Kenya Vs Mpira wa miguu Tanzania

    Katika Afrika Mashariki ,watu wengi hupenda huu mchezo Kwa ranki za kimataifa Afrika mashariki kwa timu ni uganda inayoongoza,ila kwa vilabu bado soka la Tanzania lina ushindani mkubwa , uwekezaji na wafatiliaji wengi kuliko nchi zote.Kwa upande wa Kenya mambo bado si mazuri inahitaji nguu kubwa...
  4. Championship

    Carlo Ancelotti ndio kocha bora katika historia ya mpira wa miguu

    Apewe sasa heshima yake. UCL ya nne hiyo hapo. Kachukua msimu huu akiwa na kikosi cha kawaida sana (Real Madrid). Soma > FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France
  5. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Mpira una umbo la duara na miguu ina umbo ambalo kiuhalisia haliendani na kuuchezea mpira. Hii ni sababu muhimu kwa watoto wanaopenda soka kuzoezwa mapema kuuchezea mpira kwa muda mrefu. Kwa Afrika ni timu chache zenye uwezo wa kuwa na timu za watoto ambapo kila moja ana mpira wake kwa ajili...
  6. pwilo

    Kweli Simba ni next level

    Za weekend wadau wa soka, Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani. Ikiwa league inaelekea ukingoni huku Yanga akionekena kuwa na dalili zote za kuwa bingwa japo lolote linaweza kutokea ila kimahesabu ni bingwa mtarajiwa. Ila bingwa anaongoza...
  7. Roy Keane

    Msaada kwa anayefahamu API's bora kwa kutoa Livestream za mpira wa miguu

    Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze . Au kama kuna alternative nyingine ningependa pia kusikia. Chief-Mkwawa et al
  8. Fifteen

    Ukipewa nafasi ya kuongeza Sheria moja kwenye soka ungeongeza ipi?

    Habari wanamichezo, Ikatokewa umepewa nafasi ya kuongeza Sheria moja mpya kwenye mpira wa miguu ungeongeza ipi?
  9. Samia atosha tukutane2030

    Je, Watanzania kushangilia vita ya Ukraine na Russia kama mpira wa miguu ni mapungufu ya akili?

    Ukipita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian. Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji? Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia...
  10. adriz

    Uwanja mkubwa wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma upo katika hatua gani?

    Moja kwa moja.. Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama ushrikiano wa serikali ya JMT na Morocco huku serikali ya Morocco ikiahidi kutoa fungu kusaidia ujenzi...
  11. LIKUD

    Nimeacha rasmi kuwa shabiki wa mpira wa miguu na hizi ndizo sababu zangu

    1. Ushabiki wa mpira ni Aina Fulani hivi ya uwendawazimu, inahitaji akili ya mwendawazimu kuwa shabiki wa mpira wa miguu. Kwa mfano : Mashabiki wa timu kuomba mpira uishe pindi timu Yao inapokuwa inaongoza . Kwanini unataka mechi iishe haraka wakati wewe umeenda kuangalia mpira? 2. Tofauti...
  12. Kichwa Kichafu

    Hivi waamuzi wa Mpira wa Miguu Tanzania wanalipwa vizuri kweli? Tusilete lawama bure tu!

    Habari wanamichezo na wapenda soka wote ndani na nje ya Tanzania. Haya mambo yamekuwa yakijirudia mara kwa mara katika misimu yote ya ligi kuu ya Tanzania kwa sasa 'NBC Premier League' kuhusu lawama kwa Kunguru wetu hawa wa mpira. (Referees) Tutafute hoja za msingi na mambo yanayoleta yote...
  13. karv

    Nini mchango wa serikali katika kuinua mchezo wa mpira wa miguu nchini?

    Habari wana JF leo naomba nizungumze kitu ambacho binafsi kinanikera sana na huwa sikielewagi Kitu chenyewe ni kuhusu muitikio wa serikali katika kuzisapoti timu zetu za taifa hasa mpira wa miguu Kwanza naomba kurudi nyuma kidogo wakati wa utawala wa rais Kikwete aliajiri makocha wa timu za...
  14. Yoda

    Kuna yapi ya kuzungumza zaidi ya mpira? Mpira wa miguu ni uraibu mpya unaoongezeka kwa kasi

    Nchi yetu sasa imeingia rasmi katika ulimwengu wa uvuvuzela wa mpira. Kama vile ulivyo uraibu wa pombe, ngono, sigara n.k Idadi kubwa ya raia wa nchi kwa sasa wanalala wanazungumza mpira, wanaamka wanazungumza mpira na wanashinda wanazungumza mpira. Bahati mbaya sana mpira wenyewe ambao...
  15. K

    Ni wakati sasa kuondokana na viongozi "wachuuzi wa mpira wa miguu" kwenye vilabu vyetu

    Baada ya Simba kufungwa jana na wabotswana tumeona kauli za haraka haraka kutoka kwa viongozi wa Simba kuandika mambo ambayo mimi naweza sema ni upuuzi. Kwa kuangalia comments za wapenzi wa soka wakijaribu kujaribu viongozi kwa ujinga walioandika (nimeweka baadhi hapo chini) nadhani ni wakati...
  16. Masibayi

    Yataka moyo kuwa mchezaji wa mpira wa miguu Tanzania

    Hebu piga picha, lengo la yanga ni kutafuta watu,lengo la simba ni kuonesha kikosi kipana. Ndugu zangu wanaobeti sasa! Unakuta anaitabiria yanga kufunga magoli saba huku haina kikosi kipana? Duh! Wao wanataka watu na siyo magoli,hhhhhh! Hongereni watani zangu yanga kaa ushindi wa jumapili.
  17. Replica

    TANZIA Mzee Muhidin Ndolanga afariki dunia, aliwahi kuhudumu kama rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania

    Medani ya soka nchini imepata pigo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Alhaji Muhidin Ndolanga kilichotokea leo jioni Dar es Salaam Ofisa habari wa TFF, Clifford Ndimbo ameiambia Mwanaspoti kuwa kifo cha Mzee Ndolanga kimetokea katika Hospitali ya TMJ...
  18. Mayunga234

    Soka sasa ina mashabiki wengi sana, imeanza ku-overtake Bongo Flava

    Mpira umeanza kuwa na mashabiki wengi sana hapa bongo ushaanza kuovertake bongo flavor usishangae baada ya miaka kadhaa bongo flavor ikageuka kuwa bongo movie kwa kukosa mashabiki. Wasanii angalieni hili kwa jicho la tatu Now kila mtu anashabikia mpira ata ambaye hajui mpira bongo now kuna...
  19. Suley2019

    Ugunduzi: Kijana Mtanzania atengeneza mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa

    Kijana wa chuo cha DIT Amani Simba amemshangaza Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Gabriel Robert kwa uwezo wake wa kufuma mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa alipofanya ziara ya kikazi katika chuo hicho mwishoni mwa wiki hii. Kwa Maelezo ya Mkurugenzi wa Chuo hicho tawi la Mwanza Dkt...
  20. mdudu

    Timu ya Mpira wa miguu Namungo inamilikiwa na Tamisemi?

    Wakuu habari za jumamosi? Naomba Kama kuna mtu mwenye uelewa anieleweshe. Ahsante
Back
Top Bottom