mpesa

  1. canular

    Toeni Hela zenu kwenye Mabenki na mpesa hifadhini hela zenu wenyewe, anguko la uchumi limeingia

    Kama una vihela benki katoe zote, kama una hela M-Pesa toa zote kuwa na hela yako cash soon anguko linakuja, msije sema hamkujua Taarifa ndio hiyo kuwa na hela yako cash utachimbia ndani au kuzificha kwenye madumu fanya hivyo anguko la kiuchumi limeingia ndani ya nchi yetu
  2. P

    KERO Siku ya pili Mtandao wa Vodacom upande wa M-PESA unasumbua sana

    Siku ya pili mtandao wa vodacom upande wa MPESA unasumbua sana. Sisi wafanyabiashara na watu wanaoutegemea tunataabika sana. Alafu hayatoi taarifa wala nini.
  3. Ndikusyaganya

    JINSI YA KUWA SUPER AGENT au AGGREGATOR ( MPESA, TIGOPESA, Airtel Money n.k)

    Wakuu habarini hapa Jamvini? Weekend ya leo naomba mwenye uelewa mtoe ujuzi wa namna ya kuwa au kuifhinishwa kuwa Super Agent au AGGREGATOR wa mitandao mbali mbali ya simu haya TZ kwa huduma za e-money like TIGOPESA, M-Pesa, Airtel Money, Halo Pesa na zingine ... NB: Kwenye maduka yao hawatoi...
  4. comrade_kipepe

    Namba Mpya za voda 0792 Mpesa inasumbua sana kupokea pesa kutoka nnje ya nchi

    Hizi namba mpya za voda znasumbua Sana kupokea pesa kutoka ulaya na Marekani tofauti na namba za voda nyingine. Hizi laini zinashida gani??
  5. Kilo mbili

    Nimekubali kurudisha muamala wa mpesa kiasi cha shillingi 1.4M uliotumwa kwenye namba yangu kimakosa

    Habari wana jamvi Jana jioni mida ya saa 12 katika mtaa mmoja ninaoishi nilikuwa nimekaa na washikaji zangu tukibishana kuhusu kanuni za mpira baada ya bodi ya ligi kuahirisha mechi ya watani wa jadi simba na yanga Simu yangu mfukoni ika,vibrate kuashiria kwamba kuna sms imeingia, sikuifungua...
  6. Nyumba Nafuuu

    Miliki Sasa App/Site ya Kuuzia Digital Files Online - File Moja Uza kwa Wengi

    Want to own an app/site for Selling eBooks, PDFs, Magazines, Exams, Photos, Drawings, Music, Software, and More to thousands of customers online? We offer a ready-to-use web system that you can fully own! 📲 +255 657 685 268 🔥 Powerful Features Included: ✔ Instant Payments & Downloads –...
  7. E

    Natafuta eneo ya kufanya Uwakala wa Mitandao ya simu Kinondoni Dar es Salaam

    Habari za majukumu wanajamvi naomba msaada mtu anaeweza nisaidia kupata eneo zuri lenye mzunguko mzuri wa biashara za UWAKALA wa MPESA TIGO PESA na Banks pia. Iwe ndani ya KINONDONI-Dar es salaam Naomba aje inbox
  8. O

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine.

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine Laini za uwakala zote nne nauza kwa 300,000 Mashine ya selcom nauza kwa 200,000.(Inafanya kazi na ia hali nzuri) Laini zote zimesajiliwa kwa jina moja la biashara,hivyo ni rahis kwa wewe kwenda kuzibadilisha...
  9. Gulio Tanzania

    Nimeilipia huduma mtandaoni kwa M-PESA visa, dollar 1 ni sawa Tsh 3,000

    Kama kichwa cha habari hapo juu Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
  10. Trubarg

    KERO Makato ya M-PESA MasterCard ni kufuru

    Wadau, hii mitandao ya simu imeona kuna fursa kubwa kwenye malipo ya mtandaoni hasa Kwa kutumia hizi virtual cards. Nimeshangaa Kuona bili ya Dola 17.2 zimekatwa elfu sitini na mbili yaani (62,000). Exchange rate ya 3647. Jana hiii rate wametoa BOT au wapi. He BOT hawaoni kuna haja ya...
  11. Cute Wife

    Airtel huduma yenu ya mteja kuomba atumiwe pesa ni nzuri lakini inachochea utapeli, rekebisheni wateja wanalizwa

    Wakuu salaam, Airtel kama mitandao mengine ina huduma inayokuwezesha kuomba kutumiwa pesa na mteja mwingine (kwa TiGO sijaona huduma hii), lakini kwa Airtel iko tofauti kiasi. Kwa Airtel unaweza kutuma maombi hayo kwa mtu mwingine anayetumia Airtel pamoja na wateja wa mitandao mengine, yaani...
  12. O

    Niuzie Banda la chuma ninaloweza kulifanya kama kiofisi sio ya uwakala

    Banda lisiwe kubwa sana just size ya fut 5 x5 au 5x6 Location mwanza, lisiwe chakavu nitafurahi likiwa maeneo changamfu au kama bado halijaingia sokoni sio mbaya nicheki dm
  13. Megalodon

    BoT, TCRA ifanye auditing kwenye mikopo ya Mpesa, Tigo na Airtel . A case of MGODI

    Rate ya BoT kwenye kampuni za kukopesha ni 3.5% as a guidance issued by BoT. A simple study imefanyika kwenye mikopo ya Vodacom kupitia Mpesa and there is huge deviation which is believed to be against BoT guideline. 1. Informant amekopa kiasi cha 84,800, Mgodi huwa wanakata kwanza riba yao...
  14. Wakili wa shetani

    Benki za kwenye simu ni zaidi ya Benki Kuu!

    Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi? Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu. Hawahangaiki hata kuchapa pesa kama benki kuu, wanachapa tu codes, tunakopeshana keshi wenyewe...
  15. mfate42

    Vodacom, huu ni wizi mpya mlioubuni? Nirudishieni 30000 yangu M-PESA

    Habari IPO namna hii, Mimi ni mwenyekiti wa kikundi Fulani na watu huwa wanatuma pesa zao kwenye akaunt yangu kwa ajili ya kuwalipia M-Koba.. Laini nnayoitumia nliisajili kwa kitambulisho cha nida cha mke,. Nikaona isiwe kesi ,mke afute usajili ili nisajili kwa kitambulisho changu..na wakati...
  16. B

    Mpesa haifanyi kazi??

    Wadau, ninahangaika muda mrefu leo kufanya miamala ya mpesa lakini sifanikiwi?? Ni mimi tu au na nyie wenzangu?? Kulikoni???
  17. LIKUD

    Kuweni makini na vibanda vya huduma ya pesa kwa njia ya simu, wengi hutoa hela mbovu

    Ni kama vile huwa wanaambiana au wanapeana semina. Hii imenitokea mara nyingi mpaka nilipo anza kuchukua tahadhari. Hii inawahusu zaidi wanao toa kuanzia laki 2, 3 na kuendelea lakini pia hata wanao toa chini ya hapo inawahusu pia. Ni hivi ukienda kutoa hela kuanzia lets say laki 2 au 3...
  18. Mung Chris

    Miamala ya mpesa bado inaendelea au tunakatwa ujanja?

    Hiv serikali bado ina yale makato kwenye mpesa au walifuta. Muda huu nimefanya muamala imekuja hv
  19. Influenza

    Kenya: Baadhi ya maduka yaanza kugoma Wateja kulipa kwa ‘Lipa na Mpesa’

    Baadhi ya maduka yameanza kukataa huduma ya malipo kwa njia ya simu ‘Lipa na Mpesa’ wakikwepa ada ya juu ya kuwezesha ununuzi. Matangazo yamebandikwa madukani yakizuia Wateja kulipia huduma kwa njia ya simu yakitaja sababu ni ongezeko la gharama ya muamala kati ya simu na benki. Wateja sasa...
  20. The Burning Spear

    Mpesa inasuasua leo jioni hii 5/10/2023

    Kuna tatizo la Mpesa kutokufanyan kazi. Sijui watu wa mtandao huu wanatusaidiaje wateja wao. Transactions zote zimegoma kabisa. Vodacom Tanzania msaada wenu Tafadhali
Back
Top Bottom