Mwanamke aitwaye Pendo Medusela (37), mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Timithoy Magesa (35), kwa kumkata kwa wembe sehemu mbalimbali za mwili wake kutokana na wivu wa kimapenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi...
Nilitumia mbinu ya uchawi wa kisasa(Hyposis) kutoka kwenye YouTube kwa wiki moja.
Nimekuwa nikikuta video mbalimbali za wanaume na wanawake wakitoa " Ushauri wa Uchawi ". Mfano, mbinu za kuongea, Kutoa Mapendekezo ambao ni ngumu kukataliwa. Mazoezi ya kujenga ujasiri, Hata " miiko" midogo ya...
Wadau.
Nimeota demu wangu amevishwa pete ya uchumba na jamaa askari polisi na kwamba yeye ndiye alimtoa bikra. Kwamba demu anampenda sana mshikaji.
Mtu mmoja akahoji mbona anaavaa pete ya uchumba muda wote? Anamlingishia nani? Nikacheka. Halafu ni kweli demu ana pete kidole cha kati...
Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini?
Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada.
Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha,
Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu).,
Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga...
Wajomba na Mamshangazi habari zenu.
Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia.
Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi.
1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3
2. Kujibiwa majibu...
Natafuta rafiki wa kike, kabila yoyote, kuanzia miaka 40-50. Dini yoyote, mfanyabiashara au mwajiriwa. Naishi Dar.
Nina miaka 50, mwanaume, urefu wa kati, maji ya kunde. Msukuma na Mjita. Mzaliwa wa Dar.
Mfanyabiashara.
Karibu atakayependezewa.
Tafadhali naomba dharau, dhihaka na utani vikae...
Hallo.
Aah wana jukwaa baada ya celibacy ya muda wa miezi 9 bila sex. Toka December mpaka mosi August juzi amekuja mpenzi wangu wa muda since 2014. Nimeshindwa kukaza kumwambia nipo celibacy.
Basi nikala vyangu round mbili baada ya mapunziko kiasi tupo kitandani jogoo kama kawa mpenz wangu...
Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa na furaha isiyoelezeka. Habari inahusu huyu mpenzi wangu niliyemtolea taarifa kwenye huu uzi; Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama
Baada ya majadiliano ya kina huyu bibie kaahidi Mungu akipenda kunipatia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa...
Nimekuja direct kwenu wana jf kuna story yangu nataka kushare nanyi, iko hivi;
Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza nilipata mpenzi tumwite (Grace) siyo jina halisi. Grace alikuwa mwaka wa pili, katika uhusiano wetu nikiwa mwaka wa pili, nikagundua kaanza mahusiano na mtu mwingine tumwite Juma...
Kwenye mahusiano mengi wapenzi hua wanatamani kujua body count zao, sasa nilikua naulza je ni sawa ??
Kwa sababu mimi sioni umuhimu wa mpenzi wangu kujua body count yangu kwasababu haina msaada kwake na spendelei kabsa maswali ya mtindo huu
Wakuu!
Nimetulia zangu hapa ufukweni nikakumbuka tukio moja la ajabu, lakini la kweli kabisa. 🌊😌
Mara nyingi kuna mambo madogo ambayo yanatuudhi kimya kimya… lakini hatuwezi kusema. Labda kwa sababu tunaogopa kumuumiza au tunajua "hawezi kubadilika".
Rafiki yangu mmoja aliwahi kumuacha...