mpenzi

  1. JamiiForums Tanzania Kutoka Mliman City, Diamond na Zuchu mahaba nje nje

    Mambo si mambo...!!! New couple in town? Wacha tuendelee kunywa mtori , nyama tutazikuta chini
  2. JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

    Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines. Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku. Zama amesema kuwa mumewe...
  3. JamiiForums Tanzania Ungependa mpenzi wako akuimbie wimbo gani?

    Mapenzi ni furaha ukiwa na umpendae huku penzi likikolezwa kwa utamu wa muziki murua wenye kutikisa ala za huba, huku mtima wa moyo ukiwa umetulia tulii kama kiu kikali kikitulizwa na maji ya mtungi! Ewe wangu laaziz sogea karibu yangu na uniimbie nyimbo hii mahususi Ukiniongeza na hii...
  4. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje?

    Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje? Kuna wakati anashituka mwili, na kuanza kunitafuta. Kuna wakati utakuta tu anaanza kuzidisha mapenzi kwangu. Wanasanyasi hebu tujadili hii condition inamaana gani? Najua kunikamata kuwa nachepuka ndio hawezi ila...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

    Mabibi na mabwana, Yule shemeji yenu aliyenivuruga na kunitelekeza na watoto kwa mbwembwe na kiburi sasa ana-force kurudi akiwa hoi bin taaban. Anadai hata nikim-crash vipi mimi ndio mume wake baba watoto wake. Maajabu na sasa. Yaani msg simu haziishi sorry za kila aina mhhh sijui katumwa huyu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwanasoka Mason Greenwood ni mchawi wa career yake mwenyewe

    Sometimes genes (vinasaba) zetu za Kiafrika zinatuponza. Mwanaume wa kiafrika anajulikana siku zote kuwa dominant katika mahusiano tofauti na races nyingine duniani. Mwanaume wa kiafrika huwa hakubali ujinga wa kutawaliwa na mwanamke. Sasa hali hii imemponza mwanasoka chipukizi pale Old Trafford...
  7. JamiiForums Tanzania Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

    Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka ...valentine imekaribia ila jaman hata sina wa kuniletea ua..... Uncle hana ishu za kisasa za kupeana maua... hapo nikiomba hela ntapewa nyingi tuu ila sasa ulete vitu romantic utashangaa na roho yako. Yani natamani mtoko wa maana nifanyiwe japo romantic...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ladha ya tendo inapungua ukiwa na mpenzi mmoja tu mda mrefu?

    Habarini wakuu, Mimi nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae mda mrefu sasa na huduma zote za chumbani huwaga ananipa yeye tu, yaani sichepuki. Ila cha ajabu naona kila siku zinavozidi kwenda, ladha ya tendo inapungua yaan utamu wa siku za nyuma haupo tena sikuhzi. Hivi hii ishawahi kuwakuta...
  9. JamiiForums Tanzania Nilivyofyeka shamba la jamaa aliyeniibia mpenzi wangu

    Katika harakati za maisha niliwahi kwenda kujaribu kilimo mkoa fulani kule nikapata binti mmoja mzuri sana, kumbe kuna mkulima mmoja wa zao fulani alikuwa ameanza kuvuna, hilo zao kwa wiki kuingiza milioni tatu ilikuwa kawaida na angeweza kuvuna kila wiki kwa miezi mitatu. Mimi zao langu...
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri msichana wa kizungu tuliye kutana nae mtandaoni ananipenda na anataka taarifa zangu kama namba lakini naogopa nifanyaje?

    Habari zenu wadau Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii. Sasa tatizo...
  11. JamiiForums Tanzania Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

    Habari wakuu. Mimi ni mtu mkimya sana kitaa sina hata marafiki wengi. So mambo mengi yanayotokea huwa nasolve mwenyewe tu na mara nyingi yanaisha.. lakini hili naona limenikaa sana na sina wa kumwambia akanielewa. So naona ni bora niliweke hapa. Lengo sio kuomba ushauri wa mtu.. leo ni kushare...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    Mimi nimeoa na mke ila nimekutana na mdada nae ni single mother tulianza mahusiano yapata mwaka sasa, ananipenda sana ila naona mwisho sio mzuri, coz kwanza anapenda sana sex, sasa kwa maisha hya ya kibongo ukipiga hesabu kudate nae 30,000x4 = 120000/ sasa kwa kipato gani unafanya zinaa tu...
  13. JamiiForums Tanzania Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

    Una mtu wako hujamuoa ila mpo mna muda mrefu ila umemchoka kabisaa Ila anakupenda sanaa kias kwamba umejarib jaribio la kwanza la kumuacha imeshindikana yaan. Amekua hadi depressed kabisa .kula hali..hadi anaumwa..ndugu na rafik wanakupigia simu kila mara. Hivi unafanyaje hali hii inapotokea na...
  14. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anapokwambia "flani ananitongoza" anakua anamaanisha nini?

    Juzi kaniambia mwanasheria wa kampuni yao anamtongoza akanitumia na screenshot ya meseji na hio sio mara ya kwanza kuniambia nadhani ni ya nne wahusika wakiwa tofauti tofauti Sasa najiuliza hiv huyu dem ananambia hivi ili iweje??anataka nikampge huyo anaemtongoza?au ananitambia tu ili kutishana...
  15. JamiiForums Tanzania Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

    Hahahah hebu cheki hii mkeo anavyoomba ruhusa ili akajinafasi na mjuba Co-worker ambaye wana crush ili wakalane vizuri! We unaagwa anaenda kwenye birthday ya Millen amepitiwa home na Suzy kumbe wameachania Samaki Samaki. Suzy kamuacha mkeo na Alfred huku Suzy naye Kaenda kwa Kelvin amekuwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu bar-maid

    Ni miezi 5 sasa tangu niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...😢 Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar, club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi huwa naishiwa nguvu KABISA , japokuwa ananiambia unajua alichokifata hapo (kazi) Nishaurini jmn....😟😟
  17. JamiiForums Tanzania Kusali pamoja huongeza upendo, kumuombea mpenzi wako huongeza uaminifu

    Unajuwa hawa ma slay queen wanaovaa chupi mara moja kisha huitupa kwasababu hawawezi kufua, mimi huwa Naona wanaishi maisha feki sana kiasi kwamba ukisha gonga hutamani tena kukanyaga. Leo siwaongelei hawa, nawaongelea wale wenye wapenzi genuine. Wapenzi mnapo omba kwa pamoja uwezo wa Nguni za...
  18. JamiiForums Tanzania Msaidieni huyu, miaka 23 hajawahi kukubaliwa

    Wakuu habarini, nina ndugu yangu toka kuzaliwa ana komwe, sasa ana miaka 23 now na anatamani sana kunyoa haircuts za kisasa, imekuwa changamoto kwake, jamani hivi dawa ya kuondoa komwe mwaifahamu? Yaani anakataliwa mno, hajawahi kukubaliwa na msichana mpaka umri huu. Yupo tu home hapa, muda...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi serious wa kufikia malengo ya kuoana ndani ya mwaka 1

    Ni kijana wa umri wa 27 Elimu: degree Dini: mkristo Makazi: dar es salaam Kazi: kujiajili, wakala wa Tigopesa na kusajili lines Anayehitajika Elimu: form 4 mpk darasa la 7 Msichana umri chini ya miaka 23 Urefu wa saiv ya kati Uwe serious kweli. Whatsapp 0674028267
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wadada: Huwa mnafanyaje mpenzi wako akiwa na hii tabia?

    Habari. Ni mpenzi wako, na kila mtu anajua status ya afya ya mwenzake. Wote kwa pamoja hamjaamua kuwa na watoto. Lakini tatizo unakuta hapendi kutumia kinga hata kama anajua upo siku za hatari. Hata akitumia katikati lazima alalamike hadi aivue tu, na hapo atakuahidi ata pull out ila hafanyi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…